Spika Ndugai: Baadhi ya watu wananiandika vibaya kwasababu mimi Mgogo

Haumkumbuki Steven Kibona Waziri wa Fedha enzi za Mwinyi? Je Mzee Cheyo?

Siku nyingi sijapita maeneoya Masokono na Sange labda kuna vijna wa ccm huko siku hizi mm siwajui

Ila johnthebaptist atakuwa Wandali wengi wanaokula mema ya nchi
Hao wote hawajawahi kuandikwa vibaya kwa sababu ni Wandali bali kwa makosa yao binafsi, aidha hawajawahi lalamika kwa sababu ni Wandali bali walikuwa wanajitetea wao binafsi.
 
Sijawahi kuwa na huruma na maccm... Acha yaweweseke tu hii ni laana ya kuwafanyia mabaya watz....
NA BADO WATAANIKA WENYEWE KILA KITU
 
Ndugai uwezo wake ni mdogo sana ilikuwaje mpaka amekuwa Spika? Katiba mpya ni muhimu sana kuwepo
Spika ndugai ni DHAIFU
 
Mtu mjinga akikosa hoja anakimbilia hoja za kikabila

Kumbe ujinga wote anaoufanya Bungeni ni kisa anajishuku watu wanamdharau kwa kuwa Mgogo? Mburula kabisa huyu, bloody fool
 
Serikali imekopa 1.3 imeenda direct kwenye mashule na vituo vya afya. Ndugai amamaind. Mpigaji huyu. Hataki wananchi wanufaike, watoto wa some. Alishazoea kuwazuga wananchi wa kongwa huku akifurahia umasikini wao.
 
Ndio...wagogo mafala sana mkipata vinafasi, mnakuwa kama mmekunywa maji ya bendera ya nchi
 
Wagogo ni watu wema sana na wenye akili ila siyo NDUGAI. Nawafahamu majina makubwa kama akina Ndyanao Balisidya, Job Lusinde, John Malecela, Ndejembi, Padri Supa, Askofu Chilongani just to mention a few.

Hatuna shida na wagogo kabisa, ila Ndugai ana false upbringing inayompelekea kuwa sociopath, barbaric and lunatic
 
Anamaanisha kuwa video zilimrecord vibaya ama.... Inawezekana hawa ndiyo wale Wahuni anaowasema Slowslow.
 
Ndugai alikubali kutumikia siasa chafu za Magufuli, sasa anajaribu kujifichia kwenye kichaka cha kabila lake. Na kwa akili yake ndogo anadhani atatupoteza maboya tusijue madhaifu yake.
Wewe jamaa huwa kila mahala lazima umtaje Magufuli. Acha ubwege we ndina
 
Hahaahhaahh,Alikuwq anajifanya huyu enzi za Jiwe .
Kwani mpira upo kwenu sasa hivi lakini mechi inaendelea, yatajiri mengi mpaka ifikapo 2025 hamtaamini . kama una ufahamu wa mambo ukisikia kauli ya mtu kama spika, (ni wa ngapi kutoka rais) anasema tutaonana 2025, ujue kumenoga tayari, mipango asubuhi, Atapatikana mtu anaendaliwa hivi sasa . kumekucha we unavuta shuka!!!!!!!,
 
Yaani captein akipigwa chenga uwanjani anasingizia kabila lake kufharauliwa.
Haya mambo yanapaswa kukemewa, huu uduwanzi aliufanya Zuma na kupelekea machafuko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…