Spika Ndugai: CHADEMA kuna mfumo dume

Spika Ndugai: CHADEMA kuna mfumo dume

Ma-commander wanawake walisoma alama za nyakati, wakachangamkia tender mapemaaa.
First come first served, Ndungai's rule.
 
Nafikiri kwa umaarufu wa kina Halima, CCM wali under estimate maamuzi ya CC ya CDM. Hawakufikiri inaweza kuwavua uanachama. Niliona mahali clip ya Msukuma.....akisema CDM haina ubavu wa kuwafukuza uanachama kina Halima.
 
Hii ni nukuu kutoka kwenye moja ya magazeti siku ya leo.
Inatajwa kuwa Chadema kuna mfumo dume hivyo kuna umuhimu wa kuwatetea wanawake.
Spika Ndugai anasubiri barua rasmi.
Ndugai hajitambui na kama ni barua ataisubiri sana mpaka Oktoba 2025 sababu CHADEMA hawatamwandikia barua kwa wabunge isiyo watambua.

BTW wapinzani ninwapinga maendeleo bungeni anawataka wa nini?
 
Wanawataka viti maalumu si kwamba wanawapenda Bali kupata pesa za wafadhili.Hii ni aibu Sana kwa Hii Dona kantri
 
Ndugai hajitambui na kama ni barua ataisubiri sana mpaka Oktoba 2025 sababu CHADEMA hawatamwandikia barua kwa wabunge isiyo watambua.

BTW wapinzani ninwapinga maendeleo bungeni anawataka wa nini?
Wanawatakia kuvunia pesa za mabeberu walisahau hilo walipoiba kura
 
Hii ni nukuu kutoka kwenye moja ya magazeti siku ya leo.
Inatajwa kuwa Chadema kuna mfumo dume hivyo kuna umuhimu wa kuwatetea wanawake.
Spika Ndugai anasubiri barua rasmi.

Hiyo spika alikuwa anaongoza kwa kumtoa Halima Bunge lililopita, je alikuwa anaongozwa na mfumo dume? Yeye kaingia bungeni kwa kunajisi uchaguzi, asitake kujifanya ana busara wakati tunajua uwepo wao bungeni umepatikanaje.
 
Hii ni nukuu kutoka kwenye moja ya magazeti siku ya leo.
Inatajwa kuwa Chadema kuna mfumo dume hivyo kuna umuhimu wa kuwatetea wanawake.
Spika Ndugai anasubiri barua rasmi.
Huyu spika kapoteza credibility.Kati ya maspika wote waliomtangulia huyu Hana mvuto kabisa kwa wananchi ni angekaa kimywa tu amalize muda wake kuliko kubwabwaja hivyo hivyo.
 
Loudspeaker haiwezi ongea kinyume na maneno ya mc
 
MATAGA ilipokuwa Oktoba: "wabunge wa Chadema ni wapinga maendeleo, wasumbufu bungeni afadhali hawapo na bunge litakuwa live"

MATAGA ilipofika November: "Tunawapongeza wabunge wa Chadema kuonesha uzalendo kwenda kuapishwa. Sasa tuchape kazi"

MATAGA/UVCCM/Job ndugauli ubongo wao ni 'ki WONDER' cha kuchakata upumbavu duniani
 
Nduga kila wakati alikuwa akimfukuza halima bungeni je aliongozwa na mfumo jike?
 
Back
Top Bottom