Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
Kweli nimeamini hatuna wachawi, huyu mzee alikuwa wakumloga kama kweli uchawi ungekuwepoKwa vile mahakama zipo mifukoni mwao nisawa.
Kwani kuna takwimu baada ya mkuu kugundua mbuzi wana corona? Takwimu zimeshawachanganya kila mtu anakufa na kupona kwa huruma ya Mungu. Baada ya kuona tunaelekea kwenye mamia ya vifo na maelefu ya wagonjwa akastopisha kutoa taarifaSpika kwa siku anaitaja Chadema mara nyingi zaidi kuliko tunavyopata idadi mpya ya vifo vya Corona.
Sisi tunazipata na zitakuja kumtokea puaniKwani kuna takwimu baada ya mkuu kugundua mbuzi wana corona? Takwimu zimeshawachanganya kila mtu anakufa na kupona kwa huruma ya Mungu. Baada ya kuona tunaelekea kwenye mamia ya vifo na maelefu ya wagonjwa akastopisha kutoa taarifa
Huyu jamaaa ni Maskini sana wa Roho.
SPIKA wa Bunge, Job Ndugai, amekitaka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kujiandaa kulipa gharama za kesi iliyofunguliwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
Amesema amepewa nakala ya hukumu kutoka Mahakama Kuu iliyotupilia mbali rufaa yake namba 42 ya mwaka 2019 iliyowashitaki yeye (Spika ) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuhusu ubunge wa Singida Mashariki.
“Nimepata nakala ya hukumu, Spika na Mwanasheria Mkuu wa Serikali walikuwa wameshitakiwa na Bwana Tundu Lissu katika shauri la Mahakama Kuu namba 42 la mwaka 2019 ya kwamba Mahakama imetupilia mbali madai hayo tena kwa gharama kwa hiyo wajiandae kulipa,” amesema Ndugai.
Lissu alifungua kesi hiyo akipinga kuvuliwa ubunge wake wa Singida Mashariki ambalo kwa sasa linaongozwa na Miraji Mtaturu kutoka Chama Cha Mapinduzi.
Huyu mzee ana chuki za wazi sana
Kiongozi unatakiwa kuwa na hekima na busara, vitu ambavyo amekosa vyote.Ukifululiza sana kufanyiwa Oparesheni halafu tena ukiwa na Maradhi yaliyogundulika mwaka 1980 huwezi kuwa na Akili nzuri.
Chadema kila kona kwa mabaya tu. Mara utapeli,mara kutukana,Mara kufungwa,mara kukimbia wananchi,mara utapeli
Chama cha wezi hiki?
Sent using Jamii Forums mobile app