Spika Ndugai: CHADEMA wajiandae kulipa gharama za kesi ya Tundu Lissu kuvuliwa Ubunge

Ukiona mtu anakichwa kikubwa kuliko mwili au mwanaume anamakalio makubwa kuliko mwili wake ujue lazima alipigwa na degedege akili yake huwa ya mashaka
 
Hiyo nakala ampe KUB mpya Lwakatare, atazilipa gharama zote
 
Nachomshaur ndugai ajue tu kuwa spika hana kinga ya kutoshitakiwa ajiangalie

Its not over until its over...[emoji769]
 
Tutaona vitimbi vingi sana vya ndugai kipindi hiki dhidi ya Chadema ili kumfurahisha jiwe aweze kumrudishia uspika tena baada ya uchaguzi mkuu, msimshangae sana
 
Nakuona keyboard warrior
 
Yani huyu mbilikimo siku akifa nahisi 90% ya watanzania watazizima kwa nderemo na vifijo
Ana roho mbaya sana
Nasikia alishaandika risala ya msiba wa Lisu
 
Huyu mzee ana chuki za wazi sana

Halafu hiyo chuki ni kubwa kiasi kwamba hawezi kuificha. Kumbuka yeye binafsi anachuki na cdm, halafu amebeba na chuki ya jiwe. Sasa changanya chuki ya watu wawili wenye mamlaka ambao wanaweza kuagiza vyombo vyote vya kimamlaka kufanya watakavyo.
 
Chadema kila kona kwa mabaya tu. Mara utapeli,mara kutukana,Mara kufungwa,mara kukimbia wananchi,mara utapeli

Chama cha wezi hiki?

Sent using Jamii Forums mobile app

Uzuri sasa hivi wananchi wanajitambua, hivyo propaganda uchwara hazina nafasi tena. Siku za nyuma NCCR na CUF zilimalizwa na matendo ya kikatili ya vyombo vya dola, kisha ikatumika propaganda mfu kuwamaliza. Lakini kizazi hiki ni tofauti kabisa, hizi propaganda za kizee wananchi wamebaki wanawachora tu.
 
Huyu jamaa dawa zenye kemikali zimeshamuathiri ubongo wake!
 
ANAJUA ATASHINDA PIA? Usiombe kuugua akili.
 
Hata yeye Ndugai aseme anataka kuotesha nywele chama cha CHADEMA kichange pesa... Tutamchangia tuko tayari.
 
Wanachama wake hawana shida wataichangia tu serikali bila shida
 
Siajelewa kabisa, kwamba Mahakama iliiamuru serikali iilipe CDM na serikali ikakataa.
Ilikua kwenye kesi gani hiyo ili tuihimize serikali ilipe maramoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Cdm imeshinda kesi haijawai kufungua kesi ya kuomba kufidiwa baada ya kushinda kesi. Hata serikali haijawai kufanya ivyo. Nilisikia tu Sugu akisema anampango wa kukamata bombadia moja maana ataifungulia serikal mashtaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo spika mpuuzi hana kazi za kufanya huko bungeni tofauti na kuwasema sema Chadema

Ana mdomo mrefu utafikiri wanawake wa bar za uswahilini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…