Spika Ndugai: CHADEMA wajiandae kulipa gharama za kesi ya Tundu Lissu kuvuliwa Ubunge

Binamu kooona hawa ndio watu wa kuwatembelea. Ukawape dozi yako mjarabu
 
Stupid Ndungai.

Corona ngoja ifanye mambo titakuja kuongea badae..
Every one ia exposed including me
 
Hili la kuvuliwa ubunge Lissu na Nasari sitetei hata kidogo ni uzembe wa CDM pamoja na mpango wa Mashinji kuiua CDM.
 
Kesi afungue Lissu, gharama walipe CHADEMA. Wale wahujumu uchumi wote ni wanachama wetu wa CCM, kesi zao Chama kimewalipia?
Kama Nchi hii ingekuwa inafuata maadili ya Uongozi, Taifa lisingekuwa na Spika aliyepatikana kwa kumpiga mwenzake na gongo kichwani mpaka akazirai. Huyu alipaswa asipewe hata nafasi ya kugombea Ubunge.
Bahati mbaya Chama chetu kiliondoka na Hayati Baba wa Taifa. Waliobaki ni wapigaji tu katika hadhi tofauti.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo bila shaka ni maagizo kutoka kwenye remote control iliyojificha kule chattle.
 
 
Hata hivyo mnaisingizia mahakama na mahakimu sema mwenyekiti wa chama Cha Ndugai katoa hukumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…