Spika Ndugai haya uliyosema kuhusu Wabunge wa CHADEMA waliofukuzwa mbona mwaka 2017 hukuyasema wabunge wa CUF walipotimuliwa?

Nchi yoyote hapa Duniani haiwezi kuwa na kiongozi mkubwa wa nchi mwenye akili kama za Ndugai , nchi ikaendelea hakuna
 
Upo sahihi kabisa maana hii ni aibu ya mwaka .
Haijawahi kutokea bunge la tanzania kuingia kwenye hii aibu.
Kumbuka wale wa enzi za Covid 19 last year, usijitoe ufahamu!
 
Spika mnafiki sana!!
Hii jinai itamtafuna sana
Hadi anakera.
Akumbuke maneno ya Rais Mama SSH kuwa matendo ya mtu hufuatana naye siku zote.
Hili spika analo. Litamganda hadi udongoni!!
 
Ndugai achunguzwe na CAG pamoja na TAKUKURU huenda hao wabunge kuna % ya mshahara wao wanampatia maana haiwezekani kabisa atumie nguvu kubwa kuwatetea hao wabunge

Hivi wale wabunge wa CUF baraza gani lilikaa kuwafukuza mpk yeye akakubali kwa speed ile ya mwanga kuwafuta uanachama na yeye kuwaondoa bungeni huyu spika ni tatizo
 
Siasa za bongo ni hatari tupu. Statement ya Job ya leo ipo contrary kabisa na hiki unachokiandika. Kwa kifupi kasema hivi
1. Eti CHADEMA walimpelekea barua (kakiita kijipeperushi) bila necessary attachments kama Katiba ya Chama na Muhtasari wa Kikao kilichoazimia kuwavua uanachama

2. Kawataka CHADEMA watimize kwanza takwa la KATIBA yao, re: kuitisha Baraza Kuu

Kamalizia kwa kusema eti yeye kama Speaker hapangiwi na mtu yeyote lini afanyie kazi barua ya yeyote. Pia kaahidi kuwalinda wabunge kwani hiyo ni moja ya kazi zake.

Hii kitu bado sana. Haitoshangaza kuwaona akina Mdee wakidunda mpaka 2025

 
Hivi ccm itadhalilisha nchi hii hadi lini ?
 
Nikisema ni ushubwada nitakuwa nakosea..!
 
Utashangaa na hutoamini.
 
Kama Nape Nnauye atakomaa nao lazima watatolewa nduki bungeni.

Nyuma ya Nape kuna nguvu kubwa isiyoonekana ambayo imeapa kuvisambaratisha vikaragosi vyote vya naniliu!
Nape ni tishio hata kwa nyinyi toilet paper za CCM mtandaoni
 
Hv yule tumbo kubwa yuko wap
Upo Sawa kumwonea huruma, na ni desturi zetu waafrika kuwaonea Huruma na kuwafariji waliopatwa na msiba! Nakuunga mkono na nitafuata nyayo zako! Kufiwa na #munguwakabudi ambaye ni #yesuwalugola siyo jambo dogo!
 
Ndugai alivoambiwa jina la soko jipya la stendi ya dodoma litaitwa jina lake akajua na mapato yatokanayo na soko yatakuwa ya kwake pia,

Huyo mgogo hayupo sawa kichwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…