Mzalendo_Mwandamizi
JF-Expert Member
- Dec 12, 2007
- 1,117
- 4,772
🤣🤣🤣Sawa Sheikh Yahya. Ngoja tusubiri!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Sawa Sheikh Yahya. Ngoja tusubiri!!!
Nchi yoyote hapa Duniani haiwezi kuwa na kiongozi mkubwa wa nchi mwenye akili kama za Ndugai , nchi ikaendelea hakunaInashangaza taifa ambalo katiba yake imetamka wazi kuwa ni taifa linaloheshimu misingi ya demokrasia haki na utii wa sheria alafu linakuwa na spika asiyejitambua. Hii ni aibu kwa karne hii ambayo kila mtu anatambua umuhimu wa kuheshimu sheria.
Kama spika unayejitambua basi ungesoma ibara ya 8(1)(a) alafu ukawaomba msamaha watanzania kwa jinsi ulivyokengeuka na kuisigina katiba inayotoa mamlaka ya kutawala.
Kwa kuwa katiba ndio inatoa mamlaka ya kutawala na mamlaka hayo yapo kwa watu wanaounda taifa la Tanzania basi ulipaswa kuacha mara moja kuikanyaga katiba maana madhara yake ni makubwa.
Ibara ya 71(1)(e) ya katiba ya jamhuri ya Tanzania ipo wazi na haihitaji ufafanuzi. Ukomo wa mbunge utatokea pale uanachama wake utakoma kwenye chama alichochaguliwa kuwa mbunge.
Sasa kama watu walishafukuzwa Chadema, na chama chao kikakuandikia barua kuwa walishafukuzwa wewe kwa nini hutaki kuamini kuwa walishafukuzwa? Ok kama huamini kwa nini usiombe uthibitisho kuwa walifukuzwa na vikao halali?
Kwa kuwa katiba ni sheria mama na ndio inayotoa mamlaka ya kutawala na mamlaka haya yapo mikononi mwa wananchi basi tambua hii nchi ni mali ya watanzania. Hivyo usifanye maamuzi kwa utashi wako bali zingatia kaiba inasema nini.
Unaliabisha taifa letu kwa kuleta ubabe usio na maana.
Kumbuka wale wa enzi za Covid 19 last year, usijitoe ufahamu!Upo sahihi kabisa maana hii ni aibu ya mwaka .
Haijawahi kutokea bunge la tanzania kuingia kwenye hii aibu.
Hivi ccm itadhalilisha nchi hii hadi lini ?Kutokana na shinikizo la kutaka wabunge hawa waondolewe Bungeni, na pia ili kumpa Spika amani na zaidi ili kulinda hadhi ya Bunge isiendelee kuporomoka, wenye mamlaka watawataka wabunge hawa wajiuzu ila watahakikisha wanalindwa hata wakiwa nje ya Bunge.
CCM na Ndugai swala hili limewakalia vibaya na sioni uwezekano wao wao kuendelea kuwalinda hawa wabunge zaid ya kuwataka tu watangaze kujiuzulu ila watakubaliana wabunge hawa waseme nini kwa umma siku ya kutangsza kujiuzulu.
Hii aibu ni ngumu kuibeba tena huku nafasi inskusta hivyo ni swala la muda tu.
Baada ya Bunge hili kwisha,sitarajii kama watarudi katika mkutano ijayo wa Bunge
Tusubiri.
Nikisema ni ushubwada nitakuwa nakosea..!Kutokana na shinikizo la kutaka wabunge hawa waondolewe Bungeni, na pia ili kumpa Spika amani na zaidi ili kulinda hadhi ya Bunge isiendelee kuporomoka, wenye mamlaka watawataka wabunge hawa wajiuzu ila watahakikisha wanalindwa hata wakiwa nje ya Bunge.
CCM na Ndugai swala hili limewakalia vibaya na sioni uwezekano wao wao kuendelea kuwalinda hawa wabunge zaid ya kuwataka tu watangaze kujiuzulu ila watakubaliana wabunge hawa waseme nini kwa umma siku ya kutangsza kujiuzulu.
Hii aibu ni ngumu kuibeba tena huku nafasi inskusta hivyo ni swala la muda tu.
Baada ya Bunge hili kwisha,sitarajii kama watarudi katika mkutano ijayo wa Bunge
Tusubiri.
Siasa za bongo ni hatari tupu. Statement ya Job ya leo ipo contrary kabisa na hiki unachokiandika. Kwa kifupi kasema hivi
1. Eti CHADEMA walimpelekea barua (kakiita kijipeperushi) bila necessary attachments kama Katiba ya Chama na Muhtasari wa Kikao kilichoazimia kuwavua uanachama
2. Kawataka CHADEMA watimize kwanza takwa la KATIBA yao, re: kuitisha Baraza Kuu
Kamalizia kwa kusema eti yeye kama Speaker hapangiwi na mtu yeyote lini afanyie kazi barua ya yeyote. Pia kaahidi kuwalinda wabunge kwani hiyo ni moja ya kazi zake.
Hii kitu bado sana. Haitoshangaza kuwaona akina Mdee wakidunda mpaka 2025
Nape ni tishio hata kwa nyinyi toilet paper za CCM mtandaoniKama Nape Nnauye atakomaa nao lazima watatolewa nduki bungeni.
Nyuma ya Nape kuna nguvu kubwa isiyoonekana ambayo imeapa kuvisambaratisha vikaragosi vyote vya naniliu!
Umeshafura manka!Nape ni tishio hata kwa nyinyi toilet paper za CCM mtandaoni
Sorry wewe ni Christine Ibrahim??Mungu yupo kazini!
Tutaelewana tu
Kama Nape Nnauye atakomaa nao lazima watatolewa nduki bungeni.
Nyuma ya Nape kuna nguvu kubwa isiyoonekana ambayo imeapa kuvisambaratisha vikaragosi vyote vya naniliu!
Mshana regansi ndo kitu gani?Wakikubali wataibomoa regansi vibaya sana
Una wazimu si bure
Upo Sawa kumwonea huruma, na ni desturi zetu waafrika kuwaonea Huruma na kuwafariji waliopatwa na msiba! Nakuunga mkono na nitafuata nyayo zako! Kufiwa na #munguwakabudi ambaye ni #yesuwalugola siyo jambo dogo!
Namshukuru sana Mungu kwa kukuondolea mauza uza ya ccm kichwani mwako na sasa upo huruuuu.
Nayakemea mapepo toooooka
Nayakemea mapepo tooooka