Etii??? amesahau ya kwamba siku hizi kuna degree na first class nyingi tu za chupi, wasomi wengi huko wanajua kukariri lakni kwenye kupambanua mambo ya msingi ni weupe yaani unaona bora hata raia wa kawaida wa mtaani wanaweza jenga hoja na kutetea hoja tofouti na hao wanoitwa vipanga wa chuo kikuu.
njaa ikishazd akili inaamia tumboni mwsho unaanz kua shogaNi mwanasheria mzuri tu hata lile tundu halimfikii hata chembe
State agent
Ipi hiyo Mkuu?Jah people amesoma elimu mbadala!
Kupata division katika masomo sio kua huyu mtu anakua smart katika negotiations nk ingekua hivyo basi watu wenye division na first class ndo wangekua matajiri na wenye kutoa ajira Duniani!Ndio maana amesema O level na A level wawe na division 1......uwe unaelewa!
Ni kweli wenzetu ukienda kwenye majadiliano jiandae kukutana na vipanga wa kutoka vyuo vikali Duniani Kama Oxford ,havard Yale,MIT nkNdugai ana point hapa
Bright people ndo wanapaswa wapewe kazi kama hizi
HahahahNdugai aanzie bungeni hivi Mbowe aliyepata division zero form six anastahili.kweli.kuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni?
Amwondoe huo wadhifa Mbowe
Mbowe uyo ziroKauli hii imetolewa bungeni leo na Spika Job Ndugai.
Kimsingi kuna hoja ya msingi, lakini je, ni nani anayepelekewa ujumbe huo?
Of course, sisi wananchi tumekusikia .
Aliwapeleka Ikulu masela fulani kutoka mitaa ya Kibera akawatambulisha kama wanunuzi wa Korosho. Masela wakala pioi zetu pale ikulu then wakarudi zao kubera kuendelea kuoiga watu roba za mbao.Hivi mimacho yeye ana ngapi
Jiwe la Lumumba acha uzushi wa kipumbavu. Misitu na wanyama ndo fani yakeNi mwanasheria mzuri tu hata lile tundu halimfikii hata chembe
State agent