Etii??? amesahau ya kwamba siku hizi kuna degree na first class nyingi tu za chupi, wasomi wengi huko wanajua kukariri lakni kwenye kupambanua mambo ya msingi ni weupe yaani unaona bora hata raia wa kawaida wa mtaani wanaweza jenga hoja na kutetea hoja tofouti na hao wanoitwa vipanga wa chuo kikuu.
Negotiations ni skills ambazo husomwa ili kukidhi majukumu ya mtu husika kutokana na taaluma yake. Hata uwe na ufaulu kiasi gani lakini kama mhusika hana hiyo skills haisaidii.Ndugai ana point hapa
Bright people ndo wanapaswa wapewe kazi kama hizi
Sasa wewe na bachelor yako ya Kiswahili unapiga mayowe hapa?Hivi unaijua First Class lakini wewe. Mimi nina GPA 4.3 lakini mziki wake usipime. Wamawake waliopata GPA kuanzia 4+ hasa vyuo vikubwa kama UDSM, SUA, MZUMBE, MUHAS n.k. Usiwachukulie poa.
Mkuu kwa hivyo vikozi vingine ni rahisi sana kupata GPA ya 4+, labda uniambie engineering au medicineHivi unaijua First Class lakini wewe.
Unajua mpaka mtu anapata First Class atakuwa amefaulu kozi zisizopungua thelasini na sita (36) kwa kiwango cha A na B+ huku Grade A zikiwa nyingi zaidi.
Hivi unajua kozi hizo zaidi ya thelasini na sita kwa miaka mitatu mpaka mitano kutegemeana na Faculty zinafundishwa na Wakufunzi(huenda ni Madokta au maprofesa) Tofauti tofauti. Hivi unalijua jambo hilo?
Au unadhani kozi zinafundishwa na mwalimu mmoja au wawili. Kama umefika chuo ninaimani Uliona. Maprofesa na madokta tofauti wakifundisha masomo tofauti tofauti. Japo wapo wanakufundisha mwaka wa kwanza na ukamuona tena kwenye kozi ya mwaka wa tatu.
Sasa mtu mpaka anapata First Class ya chupi. Unafikiri atakuwa ametembea na Madokta wangapi.
Mkuu First Class iache iitwe First Class. Huwezi kuipata kirahisi nakuhakikishia hata uvue lichupi lako.
Sikatai kuwa hakuna wanaovua chupi kupewa marks za bure lakini sio kwa level ya First Class.
Mimi nina GPA 4.3 lakini mziki wake usipime. Wamawake waliopata GPA kuanzia 4+ hasa vyuo vikubwa kama UDSM, SUA, MZUMBE, MUHAS n.k. Usiwachukulie poa.
Alafu unasema ni degree za chupi. Na wanaume wanaozipiga nao wamevua chupi?
Au ndio kuwadhalilisha wanawake na kuwaona hawana uwezo wa kupiga First Class.
Nakuhakikishia, Huwezi pata First Class kwa kuvua chupi. Niamini mimi.
Hiyo tu Second Upper Class (SUC) Inaweza usipate.
Shida ya waafrika wajinga huamini ufaulu wa darasani ndio kila kitu. Makampuni makubwa Duniani hayaajiri watu wenye first class, ni watu wa kawaida wenye exposure, skills na capability, sio As za darasani.Hahhaahhaha Africa shida sana, first class degree eti inakwenda kufanya negotiation na mchina ambaye hata diploma hana..
Good knowledge, skills, exposure in business ndio silaha kwa wenzetu na ndio negotiation skills inakuwa kubwa kupitia humo,, you can't negotiation if you know nothing about the business...
Mmmh???? Prof. nao wapo kwenye hili kundi? Mbona wanaharibugi hivyo? Ni mtazamo tu
Kuna div 1 wanapigwa chini na Div 3 au pass jamaa ana first class kichwa buyu....Spika wa bunge mh Job Ndugai ameitaka serikali kuwa makini inapounda timu za kufanya majadiliano ya kimataifa ( negotiations) na kupeleka watu makini badala ya wababaishaji.
Serikali isiangalie tu kuwa huyu ni Mkurugenzi, RC au Katibu bali iangalie sifa zake alipokuwa shule.....peleka watu waliopata division 1 O level na A level kisha first class degree chuo kikuu hata kama ni vijana wadogo amesisitiza Ndugai.
Haijalishi ukurugenzi umeupataje cha msingi ni je una vyeti vinavyoheshimika, amemalizia Spika Ndugai.
Spika Ndugai ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma leo
Chanzo: ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Umeongea kwa hisia kali!!
!
Ni Upuuzi Mkubwa Sana Kuangalia Vyeti Tupu Kwenye Hilo Jambo. Akina Chenge Ndio Walikuwa Vipanga Kwelikweli Hadi Havard Huko Wameleta Tija Gani?
Elimu Ya Kusomea Mitihani Hii Na First Class Za Chupi Na Kukariri Kutatusaidia Nini
Una degree ya kitu gani mkuu?Hivi unaijua First Class lakini wewe.
Unajua mpaka mtu anapata First Class atakuwa amefaulu kozi zisizopungua thelasini na sita (36) kwa kiwango cha A na B+ huku Grade A zikiwa nyingi zaidi.
Hivi unajua kozi hizo zaidi ya thelasini na sita kwa miaka mitatu mpaka mitano kutegemeana na Faculty zinafundishwa na Wakufunzi(huenda ni Madokta au maprofesa) Tofauti tofauti. Hivi unalijua jambo hilo?
Au unadhani kozi zinafundishwa na mwalimu mmoja au wawili. Kama umefika chuo ninaimani Uliona. Maprofesa na madokta tofauti wakifundisha masomo tofauti tofauti. Japo wapo wanakufundisha mwaka wa kwanza na ukamuona tena kwenye kozi ya mwaka wa tatu.
Sasa mtu mpaka anapata First Class ya chupi. Unafikiri atakuwa ametembea na Madokta wangapi.
Mkuu First Class iache iitwe First Class. Huwezi kuipata kirahisi nakuhakikishia hata uvue lichupi lako.
Sikatai kuwa hakuna wanaovua chupi kupewa marks za bure lakini sio kwa level ya First Class.
Mimi nina GPA 4.3 lakini mziki wake usipime. Wamawake waliopata GPA kuanzia 4+ hasa vyuo vikubwa kama UDSM, SUA, MZUMBE, MUHAS n.k. Usiwachukulie poa.
Alafu unasema ni degree za chupi. Na wanaume wanaozipiga nao wamevua chupi?
Au ndio kuwadhalilisha wanawake na kuwaona hawana uwezo wa kupiga First Class.
Nakuhakikishia, Huwezi pata First Class kwa kuvua chupi. Niamini mimi.
Hiyo tu Second Upper Class (SUC) Inaweza usipate.
Ndugai anamchokonoa Makonda. Mwambieni anachokitafuta atakipata.Kauli hii imetolewa bungeni leo na Spika Job Ndugai.
Kimsingi kuna hoja ya msingi, lakini je, ni nani anayepelekewa ujumbe huo?
Of course, sisi wananchi tumekusikia .
Wachina ndiyo wahataki win to win situation tofauti na labla tuseme Marekani, mchina kwenye negotiation ukizembea anakupiga tobo, bora Marekani anaweza asikuumize sanaSijaelewa ama,
Kufanya negotiations na Wachina kwenye jambo au mambo gani?
Kwa nini wametajwa Wachina na sio jamii nyingine ya wanadamu?
Upo sahihi kabisa kwasisi tunaoujua mziki wa UNIVERSITY hasa vyuo kama UDSM, MZUMBE, UDOM, SUA ,ARDHI ,NIT, DITHivi unaijua First Class lakini wewe.
Unajua mpaka mtu anapata First Class atakuwa amefaulu kozi zisizopungua thelasini na sita (36) kwa kiwango cha A na B+ huku Grade A zikiwa nyingi zaidi.
Hivi unajua kozi hizo zaidi ya thelasini na sita kwa miaka mitatu mpaka mitano kutegemeana na Faculty zinafundishwa na Wakufunzi(huenda ni Madokta au maprofesa) Tofauti tofauti. Hivi unalijua jambo hilo?
Au unadhani kozi zinafundishwa na mwalimu mmoja au wawili. Kama umefika chuo ninaimani Uliona. Maprofesa na madokta tofauti wakifundisha masomo tofauti tofauti. Japo wapo wanakufundisha mwaka wa kwanza na ukamuona tena kwenye kozi ya mwaka wa tatu.
Sasa mtu mpaka anapata First Class ya chupi. Unafikiri atakuwa ametembea na Madokta wangapi.
Mkuu First Class iache iitwe First Class. Huwezi kuipata kirahisi nakuhakikishia hata uvue lichupi lako.
Sikatai kuwa hakuna wanaovua chupi kupewa marks za bure lakini sio kwa level ya First Class.
Mimi nina GPA 4.3 lakini mziki wake usipime. Wamawake waliopata GPA kuanzia 4+ hasa vyuo vikubwa kama UDSM, SUA, MZUMBE, MUHAS n.k. Usiwachukulie poa.
Alafu unasema ni degree za chupi. Na wanaume wanaozipiga nao wamevua chupi?
Au ndio kuwadhalilisha wanawake na kuwaona hawana uwezo wa kupiga First Class.
Nakuhakikishia, Huwezi pata First Class kwa kuvua chupi. Niamini mimi.
Hiyo tu Second Upper Class (SUC) Inaweza usipate.
Hakika mkuu.....hata wenyeviti wa vyama wanatakiwa wale "Vipanga"Ndugai kaongea jambo la msingi sana
Ova
Kwani Chenge naye ni kilaza??????Kwa mara ya kwanza nimemwelewa Ndungai yupo sahihi kuna watu wamelitia ili taifa hasara ya mikataba kwa kushindwa kutafasiri lugha tu.
Kibajaji vpHakika mkuu.....hata wenyeviti wa vyama wanatakiwa wale "Vipanga"
Mkuu JokaKuu,..pamoja na vyeti nadhani waangalie job perfomance ya mhusika.
..kwa mfano, namfahamu Daktari mmoja alipata div 1 O-level halafu akapata div O A-level.
..baada ya hapo akaenda kuchukua cheti cha Med Assistant. Then akaenda Muhimbili akafaulu vizuri na leo hii ana PhD.
..sasa huyu kwa mujibu wa Spika Ndugai hafai kwasababu alipata div O ktk mtihani wa A-level.
..tutafute watu wenye ujuzi kwelikweli na masuala ya mikataba. Particularly watu wanaojua masuala ya kodi, na finance, maeneo ambayo huwa tunapigwa zaidi.
..Tz hatupigwi kwasababu tuna wanasheria wasio na weledi. Tunapigwa kwasababu hatuna wataalamu wazuri wa kodi na finance waliobebea ktk sekta ya madini na gesi.
Cc Chige