Spika Ndugai: Lissu kwa miaka 10 ya Ubunge hakuna 'legacy' yoyote aliyoacha Jimboni kwake

Ufafanuzi mzuri huu.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Kaangalie Kongwa alafu kulinganisha
Labda mheshimiwa sana Spika Ndugai angetusaidia jambo moja tuu, kwa nini hao anaowasema yeye kuwa hawajafanya jambo lolote kwa wananchi mbona tuliona wakifika kwa wapiga kura wao yaani wananchi wa majimbo husika wanapokelewa kwa heshima kubwa sana tofauti na yeye ambaye watu walimpokea kwa mabango na kumkataa mbele ya hayati Rais Magufuli?
Kipimo cha mwanasiasa ni jinsi anavyokubalika na wananchi na sio anavyokubalika na Spika.
Jee haoni kuwa tunaweza kuamini kuwa serikali ilikuw haipeleki hayo maji kwa hao walipa kodi kwa sababu Lissu hakupendwa na Spika na serikali?
Logic simple kabisa!
 
Kazi ta kuleta maji jimboni ni ya Mbunge?
 
..Unajua Miraji Mtatiro alikuwa mkuu wa wilaya wakati Lissu ni mbunge?

..Kwa hiyo kama wilaya imekosa maji basi Mtatiro anastahili lawama kubwa zaidi kwasababu yeye ndio alikuwa mtendaji wa serikali na muwakilishi wa rais magufuli wilayani.
Ufafanuzi mzuri sana umefanya JokaKuu. Asiyekuelewa ni kuwa hataki tuu kama vile ambavyo punda anaweza kulazimishwa kubeba mzigo lakini akakataa kulazimishwa kunywa maji.
Ila jina la huyo mbunge wa sasa na ambaye wakati wa Lissu alikuwa DC ni Miraji Mtaturu sio Mtatiro (huyo ni DC wa Tunduru hadi sasa)
 
NYANI HAONI KUNDULE
 
Rafiki najisikia vibaya sana tangia nilivyokuudhi juzi![emoji19][emoji19][emoji19]
Umeniudhi wapi rafiki? Mbna sikumbuki na sijui hilo? Ktk uzi gani kwani? Hebu relaaaax bhana, mie sinaga kinyongo ujue, mwendo wa kufurahi tyuuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maisha mafupi haya.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Huyu ni mwehu sana hatujawahi kupata hasara kama hii kwenye uongozi wa muhimili muhimu kama bunge.

Yeye kule Jimboni kwake hata barabara hakuna, nilipita kwenda mpwapwa wallah Ile njia sio mchezo.

Naona yeye anaacha legacy ya Ile hospital maarufu kule Dodoma ambayo alisema ana vyeti vya pale kwamba alikuwa certified client🤷
 
Huyo Ndungai jimboni kwake wapiga kura wake wanakunya porini hata kuchimba vyoo wanangoja Serikali ije iwachimbie, pumbavu kabisa huyu mbilikimo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…