Spika Ndugai: Lissu kwa miaka 10 ya Ubunge hakuna 'legacy' yoyote aliyoacha Jimboni kwake

Kuna kitu kikubwa sana hakiko sawa kwa Ndugai.

Hajui kabisa majukumu ya Spika. Spika na mipasho kwa wabunge wa upinzani wapi na wapi hivi? Sijui Lisu alimfanyaga nini Ndugai aisee. Anashindwa kabisa kuacha kumuongelea.
Na hajifunzi kutokana na makosa ya wengine
 
Inawezekana kunashida mahala. Viongozi wetu sasa wanafanya personal attack, wanakuwa more subjective ktk maneno yao hata ktk matendo. Hii iaweza kuwa na madhara hasi ktk ustawi wa taifa letu.
 
Hivi huyu bwana hana kazi nyingine hapo Bungeni? anahangaika tu ooh Mbowe ooh Lema ooh Lisu , huyu jamaa vipi? kwakweli hapa tumepatikana , mambo yamaana hayaguswi hata kidogo hii ni takataka kabisa
Acha kumtetea MIGA, mambogani ya maana unataka yaongelewe, maji siokitu cha maana?.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hupati like hata moja ,tegemea matusi
 
Kuna kitu kikubwa sana hakiko sawa kwa Ndugai.

Hajui kabisa majukumu ya Spika. Spika na mipasho kwa wabunge wa upinzani wapi na wapi hivi? Sijui Lisu alimfanyaga nini Ndugai aisee. Anashindwa kabisa kuacha kumuongelea.
Kwani jembe alimfanyanini Miga mbona bado anapambana na upepowake mbakaleo.
 
Kwa Dj nakataa ndugai hausiki kabisa DJ alilewa hiyo haina ubishi.
 
Jamaa kashadata!! Mnara hausomi... Kuna muda dawa hizi huwa zinaanza kugoma sasa ukishaona hivi basi safari ya mavumbini huwa i mbioni..ni muda wa maombi yetu kwake ili aongezewe siku hamna namna nyingine kwa kweli
 
Huyu bwege anamtaja Lisu pekee na wakati kwenye jimbo kuna DC, DAS, DED, Mwenyekiti wa halmshauri na wakuu wa idara mbalimbali achilia RC na RAS hao wote kazi yao nini kama siyo kuwaletea maendeleo wananchi na nani anayekusanya kodi? Kongwa wananchi wamejaa shida mpaka kwenye makalio
 
Hivi huyu bwana hana kazi nyingine hapo Bungeni? anahangaika tu ooh Mbowe ooh Lema ooh Lisu , huyu jamaa vipi? kwakweli hapa tumepatikana , mambo yamaana hayaguswi hata kidogo hii ni takataka kabisa
Hivi jizi hili lililotumia mabilioni ya pesa zetu kwa matibabu India bado linaweweseka na Lissu tu? Je jukumu LA kupeleka maji vijijini ni la nani? Ni ka serikali. Kama serikali inaona kijiji fulani hakina maji kwa nini kisipeleke?
 
Kwani Jimbo lisipokuwa na mbunge inamaana huduma hazipelekwi?labda tupendekeze tufute mfumo wa kuwa na wabunge
Sijui walipompiga risasi walikuwa wanategemea akiwa hospitali awe anatuma pesa za maendeleo, ndiyo maana walimpiga risasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…