LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Ndugai kafanya Nini jimboni kwake? Zaidi ya kuchapa bakora wenzie na kuvunja katiba ya nchi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawezi mzidi ndugai...Lisu ni debe tupu
Siku zake zinahesabika.Huyu Spika itakua aanakaribia.
Na hajifunzi kutokana na makosa ya wengineKuna kitu kikubwa sana hakiko sawa kwa Ndugai.
Hajui kabisa majukumu ya Spika. Spika na mipasho kwa wabunge wa upinzani wapi na wapi hivi? Sijui Lisu alimfanyaga nini Ndugai aisee. Anashindwa kabisa kuacha kumuongelea.
Mzee wa visasi angetoa hela ya kupeleka maji Ikungi kweli,mbona mnajifanya kusahau Mara hii! "Mlifanya makosa kumchagua mpinzani sitaleta maendeleo" nyie acheni mchawi wa maendeleo ya Ikungi ni CCM. Over and out.Jibu hoja yake, aliacha nini jimboni?
Acha kumtetea MIGA, mambogani ya maana unataka yaongelewe, maji siokitu cha maana?.Hivi huyu bwana hana kazi nyingine hapo Bungeni? anahangaika tu ooh Mbowe ooh Lema ooh Lisu , huyu jamaa vipi? kwakweli hapa tumepatikana , mambo yamaana hayaguswi hata kidogo hii ni takataka kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23] hupati like hata moja ,tegemea matusiLeo kwenye mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara ya maji, spika Ndugai amesema kwa masikitiko makubwa kuwa licha ya Tundu Lissu kuwa mbunge wa Ikungi kwa miaka 10 lakini hakuna alichofanya cha kukumbukwa na wananchi!
Ndugai amesema hata kijiji anachotoka Lisu hakuweza kuwapelekea maji kwa miaka kumi!
My take
Nguvu aliyoitumia Lissu mzee wa MIGA kutetea Acacia angeielekeza kutetea wananchi wa jimbo lake wangefika mbali sana kwa miaka 10.
Inasikitisha sana wananchi hawana maji alafu yeye anatetea wezi wa madini !!!
Kwani jembe alimfanyanini Miga mbona bado anapambana na upepowake mbakaleo.Kuna kitu kikubwa sana hakiko sawa kwa Ndugai.
Hajui kabisa majukumu ya Spika. Spika na mipasho kwa wabunge wa upinzani wapi na wapi hivi? Sijui Lisu alimfanyaga nini Ndugai aisee. Anashindwa kabisa kuacha kumuongelea.
Kwa Dj nakataa ndugai hausiki kabisa DJ alilewa hiyo haina ubishi.Hivi ni huko Ikungi tu spika ameona tatizo la maji? Kwake Kongwa kila kijiji kina maji? Je huko kwetu Isimani Ndugai anakujua pamoja na shida yake ya maji? Na huko ni kwa Lissu?
Halafu ivi mbunge anahela za kupeleka maji kwenye jimbo lake, kama sio seriksli ndiyo yenye jukumu hilo? Spika amejiridhisha kuwa Lisu hakuwahi kupigia kelele shida ya maji jimboni kwake na nchi nzima?
Nachoona Ndugai anahukumiwa kwa dhambi aliyoshiriki kuwatendea CDM, na hususani Lisu na Mbowe maana majina yao hayamkauki kinywani mwake pengine kuliko jina la mamsapu wake! Dawa kwake ni kuweka wazi dhambi hizo ili afunguliwe vifungo vya hukumu ambayo itamuandama maisha yake yote.
Ha ha haSiku Ndugai akipita bila kupingwa,natabiri nchi italipuka kwa shangwe.
Kwani Jimbo lisipokuwa na mbunge inamaana huduma hazipelekwi?labda tupendekeze tufute mfumo wa kuwa na wabungeNi lini Lisu aliikumbusha serikali badala ya kuwa bize akitetea Acacia?
Hivi jizi hili lililotumia mabilioni ya pesa zetu kwa matibabu India bado linaweweseka na Lissu tu? Je jukumu LA kupeleka maji vijijini ni la nani? Ni ka serikali. Kama serikali inaona kijiji fulani hakina maji kwa nini kisipeleke?Hivi huyu bwana hana kazi nyingine hapo Bungeni? anahangaika tu ooh Mbowe ooh Lema ooh Lisu , huyu jamaa vipi? kwakweli hapa tumepatikana , mambo yamaana hayaguswi hata kidogo hii ni takataka kabisa
Sijui walipompiga risasi walikuwa wanategemea akiwa hospitali awe anatuma pesa za maendeleo, ndiyo maana walimpiga risasiKwani Jimbo lisipokuwa na mbunge inamaana huduma hazipelekwi?labda tupendekeze tufute mfumo wa kuwa na wabunge