Spika Ndugai: Lissu kwa miaka 10 ya Ubunge hakuna 'legacy' yoyote aliyoacha Jimboni kwake

Duh
Duh! Lissu hayupo bungeni lakini kivuli chake kinawatesa!!!
 
Hivi huyu bwana hana kazi nyingine hapo Bungeni? anahangaika tu ooh Mbowe ooh Lema ooh Lisu , huyu jamaa vipi? kwakweli hapa tumepatikana , mambo yamaana hayaguswi hata kidogo hii ni takataka kabisa

 
Ni lini Lisu aliikumbusha serikali badala ya kuwa bize akitetea Acacia?
Ndugu,
Hivi hilo ndio ulilo karirishwa na Marehemu Jiwe aliekuwa hataki kukosolewa?
Waonaje ukitulia japo kidogo ukajisomea na kufahamu swala zima lilikuwaje?
Ukikubali kuimbishwa nyimbo na mtu aliempiga binadamu mwenzie fimbo za kichwani HADHARANI mpaka kuzimia, ili tu kupata ubunge, UWEZO wako wa kufikiri utazidi kutia mashaka kama wa huyo Ndg Chilongani.
Fuatilia kwanza alikwepaje kufunguliwa kesi ya jinai.
 
Yaani Lissu amekuwa mjadala bungeni!
Huyu spika kweli sasa kaishiwa hoja!

Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
 
Yuko mwingine alipiga picha shule ya msingi kijijini kwake Ndugai.
 
Ifike hatua spika Ndugai afokasi kwenye mambo ya msingi. Legacy yake ya kumpiga mgombea mwenzake kule Kongwa nayo anajivunia.
 
Ifike hatua spika Ndugai afokasi kwenye mambo ya msingi. Legacy yake ya kumpiga mgombea mwenzake kule Kongwa nayo anajivunia.
 
Mpuuzi mkubwa huyo Ndugai na genge lake. Ni lini budget au maendeleo yalipelekwa mikoa ya upinzani? Mtwara kwenyewe kwa CUF mmeua Korosho. Mikoa ya Kaskazini maendeleo naona wanajifanya wenyewe kupitia vyama vyao vya maendeleo. Yaani acheni Siasa za chooni. Yule mbobezi wa hizo siasa majitaka hayupo tena na aliyepo sasa huo ushuzi hautaki. Sijui kwa nini huo umeme haukumalizi. Mnapakua damu kila siku mnaweka za ngamia. Shit.
 
Na miaka mingine nyuma ya hiyo miaka 10 kulikuwa na maji? Maana Tanzania tulipata uhuru mwaka 1961 na ukitoa miaka 10 ya Lissu unapata miaka 50 kabla yake, je kulikuwa na maji na hii miaka 10 ya Lissu ndiyo iliyoyaondoa? Naamini maji ni moja ya mahitaji muhimu ya binadamu na wananchi wana haki ya kuyapata. Lakini siyo huko tu, bado kuna sehemu nyingi Tanzania hakuna maji na nyingi maana yake more than one.
 
Jielekeza kwenye shutuma ondoa ushabiki, watu wanataka maji. Ushabiki haulizi maji. Tujifunze kukubaliana kwente mapungufu yetu kwa kujenga nchi bora.
Wewe ndie shabiki.
Lengo la Ndugai liko wazi, ni kukashifu, nawe walijuwa hili wazi kabisa.
Bahati mbaya hoja mpya ndio hana tena na aliyekuwa anabeba upuuzi wake keshakwenda zake.
Au labda alichobakiza ambacho nawe waogopa, sijui kwa nini, ni fimbo za kichwani kama yaliyomkuta Ndg Chilongani mpaka akazimia.
Lakini wote hamtafanikiwa wala haitawasaidia.
Poleni
 
Haijalishi ni mbunge wa chama gani kama alifanya uzembe wakati majimbo mengine wenzao walichangamkia fursa...ni mzembe. Na ondoa mawazo ya kijinga kwamba fulani akifanya uzembe na wewe ufanye uzembe then uutumie uzembe wa mtangulizi wako kama justfication ya kuzuia kukosolewa kwa uzembe wako wa sasa.
 
Vp kule kongwa 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Maji anapeleka nani au raisi wakuuu wa wilaya wakurugezi mkuu wa mkoa wapo mkoani kwa jambo gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…