Spika Ndugai: Lissu kwa miaka 10 ya Ubunge hakuna 'legacy' yoyote aliyoacha Jimboni kwake

Spika Ndugai: Lissu kwa miaka 10 ya Ubunge hakuna 'legacy' yoyote aliyoacha Jimboni kwake

Dr. Slaa aliacha maji karatu. Lissu hata choo hakuna hata Mnyika hovyo kabisa.
 
Ng'ombe kukaa mbele na kuongoza wenzake sio kawa mtu bali ni ng'ombe km ng'ombe jingine ujue.
 
Dr. Slaa aliacha maji karatu. Lissu hata choo hakuna hata Mnyika hovyo kabisa.
Slaa alishughulika na miradi hii kutumia connection zake tokea akiwa Baraza la Maaskofu Katoliki, TEC. Wakati akiwa CHADEMA , wapumbavu wa ccm walikula njama kuhujumu miradi hiyo, eti kumkwamisha. Leo mnaongelea Karatu? Ccm hamnaga hata aibu.
Serikali bungeni imetakiwa kushughulikia changamoto za maji nchi nzima. Nchi nzima haina maji, mazuzu, pamoja na mleta uzu, na vibaraka wake, wanaamini Lissu ndio tatizo. Ndio maana tatizo la maji halitaisha mpaka hapo ccm itakapowekwa pembeni, pamoja na kuegemea wizi wa kura
 
Kwani Lisu ndio anasambaza huduma za kijamii?
Huko kongwa Ndugai amesambaza maji kwa asalimia ngapi?
Vipi amewajengea nyumba wapiga kura wake au ni fulu mapagala?
Hivi yule mkewe aliyetuhumiwa kufuja fedha za umma kule Morogoro vipi aliwajibishwa? Bunge liwajibishe wakurugenzi wezi kama kweli ni wazalendo
 
Eeeeh Kongwa kunani kule
OIP.jqCWm1eLt4YRzRKELWUCWQHaEn
Imagine hilo ndio jimbo la Spika aliyekalia ubunge kwa miaka zaidi ya 20 sasa. Wagogo wamejiridhikia tu
 
Kwani Lisu ndio anasambaza huduma za kijamii?
Huko kongwa Ndugai amesambaza maji kwa asalimia ngapi?
Vipi amewajengea nyumba wapiga kura wake au ni fulu mapagala?
Hivi yule mkewe aliyetuhumiwa kufuja fedha za umma kule Morogoro vipi aliwajibishwa? Bunge liwajibishe wakurugenzi wezi kama kweli ni wazalendo
Kiazi yule tumemvumilia sana hapa kongwa. Hatimae samia atatusaidia
 
We kijana kila siku unatandikwa BAN takatifu kulikoni ?

Nashauri mtu akitandikwa BAN 10 afutwe uanachama wa JF
Hakika kabisa iwe hivyo.
Halafu haya yanayotandikwa ban kila leo ndio yenye ID nyingi nyingi kama kubwa la mapopoma,kubwa la vilaza na kubwa la mazuzu.
 
Nimejiulizq kwa miaka 7 aliyokaa Ndugai kama spika na mitano kama naibu speaker ameacha Legacy gani?

"Kipimo unachopimia wenzako ndicho hicho hicho kitatumika dhidi yako..." maandiko matakatifu
 
Anayetaka kugombea ubunge jimboni hapo mafimbo yanamhusu
Ila hii nchi jamani,kweli nikama msituni mwenye nguvu kuonea wanyonge
Hii ni laana ya Uvamizi kwa Zanzibar Na kuuwa watu zaidi ya 10000
 
Huyo mgalilaya wa kongwa yeye ameacha legacy gani hapo jimboni kwake zaidi ya Ile ya kupiga marungu wagombea wenzake.
Ndugai ameacha legacy gani Kongwa alikotawala wajinga wenzake kwa nusu karne?
Kwani kuwa spika sio legacy ?

..hili suala walaumiwe serikali na ccm / chama tawala.

..pia Spika alipaswa kumhoji Miraji Mtaturu ambaye kabla ya kuwa mbunge alikuwa mkuu wa wilaya.

..kwanini Mtaturu alipokuwa DC alishindwa kupeleka maji ktk wilaya yake?
Mhh...? ofisi ya DC haina bajeti yeyote ya kutekeleza miradi kama hiyo, Sana Sana labda angekuwa mkurugenzi.
 
Kwani kuwa spika sio legacy ?

Mhh...? ofisi ya DC haina bajeti yeyote ya kutekeleza miradi kama hiyo, Sana Sana labda angekuwa mkurugenzi.
Wajibu wa DC katika wilaya ni nini? Ndio msimamizi wa Sera za serikali na shughuli zote za umma.
Mbunge ni sauti tuu ya watu
 
Wajibu wa DC katika wilaya ni nini? Ndio msimamizi wa Sera za serikali na shughuli zote za umma.
Mbunge ni sauti tuu ya watu
DC ni msimamizi wa sera tu (cheo cha kisiasa tu ) ila hana bajeti yoyote .
 
Back
Top Bottom