Spika Ndugai: Miradi yote aliyoacha Rais Magufuli iko salama

Kwani Ngugai ni rais au makamu, anawezaje kumpangia mwelekeo wa utendaji rais ajaye!?

Kama gesi ya mtwara na bandari ya Bagamoyo vilivyokufia huko baada ya Pombe kuingia kwa state house basi jua hata mambo ya Pombe baadhi au yote itakuwa tupa kule
 
Asiishie kutoa pole tu tunahitaji na kujua tathmini ya gharama ya miradi kadhaa aliyoifanya mwendazake.

Ipitiwe upya na kwa uwazi.
Na tushirikishwe kwani sisi ndio walipa kodi,
Pia tutunze hii text ya Ndugai tuje tuone hapo baadaye kama itabaki imesimama hivi
 
Muulize hapo - Vipi ule motto wetu wa lazima tumwongezee miaka, akatate, asikatae? Bado watamlazimisha?
 
😅😅😅😅washenzi wote wanaendelea kupukutika
 
Hata hatujazika ameanza kukimbilia miradi..miradi tunajua itaendelezwa tu kwani kuna shida gani, wewe baba ako alikua anajenga nyumba akaachia kwenye lenta, Bahat mbaya akafariki , utaiacha nyumba usiimalizie?
 
Hata hatujazika ameanza kukimbilia miradi..miradi tunajua itaendelezwa tu kwani kuna shida gani, wewe baba ako alikua anajenga nyumba akaachia kwenye lenta, Bahat mbaya akafariki , utaiacha nyumba usiimalizie ?
Watajuana wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…