stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 7,134
- 4,556
-Miradi hewa yote itakufa itakayoendelea ni ile yenye baraka za bunge.
-Midege yote iuzwe.
Aiseee, hizi akili zipo nchi hii kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
-Miradi hewa yote itakufa itakayoendelea ni ile yenye baraka za bunge.
-Midege yote iuzwe.
Unataka kusema Chato ni Kenya au!? Kaa kwa kutuliaKwamba miradi ya Chato iko pale pale.
Naye aache maneno mengi anaweza kuingia nyavuni.
Kivipi mkuu ,akili gani?aiseee, hizi akili zpo nchi hii kweli?
Na tushirikishwe kwani sisi ndio walipa kodi,Asiishie kutoa pole tu tunahitaji na kujua tathmini ya gharama ya miradi kadhaa aliyoifanya mwendazake.
Ipitiwe upya na kwa uwazi.
Huyo wa pili kutoa kulia ni nani vile??.
Alikuwa Das Musoma huko, amefariki wiki iliyopita.Huyo wa pili kutoa kulia ni nani vile ??.
Mwenyezi Mungu ni Mkali wa Kuadhibu.
Crew nzima haipo. Dah!!!, Ukisikia nchi kubaki ukiwa ndio huku sasa.
daAtake, asitake atalazimishwa tuuuuuu, ngaja twende majimboni kwanz,. Mataga mpoooooooooo
😅😅😅😅washenzi wote wanaendelea kupukutikaNdugu angalia utakufa ingali siku si zako. Una mawazo hasi sana kuhusu CHADEMA. Kiungulia cha chadema hakitakuisha na utakata roho mapema uiche chadema ambayo kila siku unasema imekufa ila hauachi kuitaja
chadema ipo sana. Na wewe kama Magufuli mtakufa muiache
Mshahara wa dhambi ni mauti. Mungu hasemi uongo kamweCrew nzima haipo.Dah!!!, Ukisikia nchi kubaki ukiwa ndio huku sasa.
Watajuana wenyewe.Hata hatujazika ameanza kukimbilia miradi..miradi tunajua itaendelezwa tu kwani kuna shida gani, wewe baba ako alikua anajenga nyumba akaachia kwenye lenta, Bahat mbaya akafariki , utaiacha nyumba usiimalizie ?