Acha kupiga ramli wew mgogo,hyo sheria anaijua ndugai tu.Kiufupi ni ujeuri wa madaraka kukiri makosa ya kuvunja katiba hvyo ameamua kujitutumua tu!!!Alikua wapi siku zote,mbona anaropoka hatuambii anatumia sheria ipi iliyokiukwa?Mpaka hapo inaonesha wazi spika anajua chadema walikosea wapi kisheria ndio maana kila siku anawataka wapeleke
Maybe kwenye hiko kikao akidi ilikuwa haijatimia au kuna mapungufu kutokana na Katiba yao
Hajazungumza nje ya ukumbu wa bunge, kazungumzia ndani ya ukumbi! Nafikiri hadhi ya ule ukumbi unaifahamu vyema na akiwa amevaa lelo joho.Kuna jambo moja ambalo Ndugai analikwepa, na pia kuna kosa Ndugai anafanya, hivyo naweza kusema anafanya makosa makubwa mawili kwa makusudi.
1.Spika huwezi kutoa agizo au maelekezo kwa chama cha siasa kwa mdomo bali anapaswa kufanya hivyo kwa kuwaandikia CHADEMA barua rasimi licha ya ukweli kuwa hata haki hiyo ya kuhoji maamuzi ya CHADEMA hana.
2.Pili, kama anataka nyaraka za kuwafukuza uanachama wabunge hao, atuonyeshe au ahoji pia nyaraka za wabunge hao kuteuliwa na CHADEMA kuwa wabunge wa viti maalumu kutoka kwa Mamlaka iliyowasilisha majina hayo kwake(NEC).
CHADEMA mawasiliano yote kuhusu hili sakata yako kimaandishi ila Ndugai anapiga porojo tu(naona anakwepa maandishi ingawa ana kinga na zaidi anafikiri CHADEMA watafanya anachokitaka).
Viatu alivyovaa Ndugai si size yake.
issue ya dollar bilion 1 za european union za utawala bora zimebuma wazungu wanajua mchezo wote unaoendelea jamaa waliiiba kura kupitiliza vigezo na masharti vikapotea ikabidi sasa covid 19 walazimishwe kuingia kwenye hilo jengo linaloitwa bunge dhaifuwapishe mjengoni fasta.
Mbona anjieleza sana?siyo kuwaonea wivu tu wanatakiwa wawe jela kwa forgeryCHAMA CHA ****** (CHACHANDU) what a waste of space?Unawaonea wivu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Subirini muone! Unafikiri Ndugai anajiamini bure tu? Anajua sana kilichotokea tatizo nyie wafuasi sugu hamuwezi kuelewa haya mambo
Tunakoelekea Job ndugai atakuwa kama mpuuzi mpuuzi tu mmoja anayekula pesa za walipa kodi.Me nafikir ifikie wakat mambo ya kiofisi yapelekwe kwa taratibu za kiofisi, na hyo ndio professionalism.
Hivi spika aliwajibu CHADEMA ya kuwa barua waliyoiandika haikua barua ila kimemo?
Hivi taratibu alizozizungumzia na anazoendelea kuzizungumzia ya kwamba CHADEMA imewapasa kuzifuata anawaelekeza anapokua katika kiti chake Bungeni au amewaandikia official letter ili kuwajuza viongozi husika?
Bwana Job Ndugai, Bungeni sio sehemu ya kufanyia taarabu na propaganda. Waeleze hayo yote kupitia official letter na sio Bungeni!
bunge la speaker huyu halina hadhi bwana weeeeeeeee, ni comedy tu na masarakasi kule ,utopolo mtupuHajazungumza nje ya ukumbu wa bunge, kazungumzia ndani ya ukumbi! Nafikiri hadhi ya ule ukumbi unaifahamu vyema na akiwa amevaa lelo joho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kenge ni hasara kwa familia yakosafi sana spika kama wanashindwa basi hawana nia ya kuwavua uanachama na kama hawaleti vielelezo basi kuna sehemu wamebugi sana wanaona wakileta tu kimewanukia siyo myika kwa kuwa aliambiwa na mdee kuwa alikuja na ndala chadema basi ndiyo anataka kumrudishia kwa hapo amenoa walete viambata
Hao viongozi wenu wanawachezesha chekundu, wameona ishu ya kuwavua ubunge ningumu sasa wanahamisha magoli wanasema nani aliwateuwa.Tuachane na sakata la kuvuliwa Ubunge, hoja ni nani aliwateua kuwa wabunge wa viti maalumu? Katibu Mkuu wa CHADEMA ameweka wazi kitabu cha kusaini upokeaji nyaraka NEC, anauliza nani aliwasilisha yale majina NEC? Hii ndiyo hoja Spika anapaswa ajibu....
Sio kila hoja lazima uchangie, wakati mwingine unakaa kimya ili kuficha ujinga wako uliokujaa, unakuwa na akili mbovu kama job ndugai mzeeyes wamepeleka majina wenyewe halafu wanayakana waende mahakamani wakaseme wamefogiwa
Ili iweje? Acha uongo. Ndugai tangu lini amempenda Mbowe kiasi cha kumfichia siri ambayo ingeweza kumtoa kabisa katika siasa?Hayo ni makubaliano yapo kati ya Mbowe, Mnyika na Ndugai.
Aliwahi kukupiga bao ngapi ?mbowe ni mpgaji wafuasi wake ni kama misukule tu
Mmesha pewa maelekezo yafuateni mambo yaende mbele sio kuanzisha zengwe jipya la official,official,official.Me nafikir ifikie wakat mambo ya kiofisi yapelekwe kwa taratibu za kiofisi, na hyo ndio professionalism.
Hivi spika aliwajibu CHADEMA ya kuwa barua waliyoiandika haikua barua ila kimemo?
Hivi taratibu alizozizungumzia na anazoendelea kuzizungumzia ya kwamba CHADEMA imewapasa kuzifuata anawaelekeza anapokua katika kiti chake Bungeni au amewaandikia official letter ili kuwajuza viongozi husika?
Bwana Job Ndugai, Bungeni sio sehemu ya kufanyia taarabu na propaganda. Waeleze hayo yote kupitia official letter na sio Bungeni!wasubiri official letter wataipata.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ili iweje? Acha uongo. Ndugai tangu lini amempenda Mbowe kiasi cha kumfichia siri ambayo ingeweza kumtoa kabisa katika siasa?
Matumaini yake ilikuwa CHADEMA waite Baraza ili wakina Halima waweze kwenda Mahakamani. Mbona maneno yote haya hakuyasema wakati Mwendazake yupo? Sasa hivi anajua kuwa aliyepo anaweza kumtosa mambo yakiharibika. Chuki binafsi kwa Mbowe na ubabe ndio umemfikisha hapa. Angejikalia kimya tu, wakina Halima wangeendelea kuwepo bila shida yeyote maana ni yeye peke yake mwenye mamlaka ya kuwavua ubunge.
Amandla..
Madaktari waliokuwa wanamtibu ndugai kule Mirembe wanapaswa kumpa dozi mgonjwa waoHii ishu imeishajibiwa vzr sana na wabobezi wa Sheria,huyu anajifanya hamnazo
We Boya,safi sana spika kama wanashindwa basi hawana nia ya kuwavua uanachama na kama hawaleti vielelezo basi kuna sehemu wamebugi sana wanaona wakileta tu kimewanukia siyo myika kwa kuwa aliambiwa na mdee kuwa alikuja na ndala chadema basi ndiyo anataka kumrudishia kwa hapo amenoa walete viambata
Acha kupiga ramli wew mgogo,hyo sheria anaijua ndugai tu.Kiufupi ni ujeuri wa madaraka kukiri makosa ya kuvunja katiba hvyo ameamua kujitutumua tu!!!Alikua wapi siku zote,mbona anaropoka hatuambii anatumia sheria ipi iliyokiukwa?