Spika Ndugai: Mnaogopa nini kuleta viambatanishi ili tuwavue Ubunge kwa Haki?

Yeye documets za kuwaapisha kama wabunge alizitoa wapi?

Yaani chama kifundishwe kazi na mpumbavu kama Job?.. AENDELEE KUWALINDA TU
 
yes wamepeleka majina wenyewe halafu wanayakana waende mahakamani wakaseme wamefogiwa
hivi kwanini wabunge wanatumia muda wetu vibaya kwa kila siku kuzungumzia mambo yasiyo na tija kwa taifa?
kwanini wasitafute muda mwingine na wayamalize hii kitu inakera!
ni sawa na huku kwetu ugogoni watu wanasikia furaha ukifungwa kuliko kumlipa deni na tena kabla hajakupeleka mahakamani anatamka na kumuomba hakimu akufunge miaka 5 na yupo tayari kumaliza ng'ombe hakimu anavuta na rufaa ipo wazi unaweza kutoka vilevile ndo hiyo kesi watu wanakaza wakati wao ubunge wao ni wa mashaka kuanzia kupitishwa kwao mpaka uchaguzi wao.
 
mwendazake alipeleka viambatanishi alipomtumbua sophia simba?
 
Hawa wabunge 19 hawakuwai kuteuliwa na chama chini ya katibu mkuu Myika Je wewe ulipokea barua ya kuteuliwa kwao kutoka kwa katibu mkuu?
wewe una aibisha wana sheria wenzako bora ungekaa kimya ndugai hawezi kuteua watu lazima kuna majina kaletewa na kapokea kutoka tume sasa kwanini msiende tume kuuliza hayo majina alipeleka nani kwa ndugai mnashambulia mtu aliyeletewa majina msizani ndugai ni minga kama nyinyi anajua analofanya
 
Tuwaonee huruma kina Mdee.... watakuwa wanapitia wakati mgumu sana.
 
Huyi mtu nadhani kuna ujonga alioamua kuutumikia. Yeye anaongelra kuwavua ubunge lwa sababu ya covid 19 kufukuzwa uanachama. Haelewi hata hoja iloyopo!

CHADEMA wanasema hawakuwahi kuwateua wabunge wa viti maalum. Spika aseme hayo majina aloyapata wapi?
 
Mpaka hapo inaonesha wazi spika anajua chadema walikosea wapi kisheria ndio maana kila siku anawataka wapeleke.

Maybe kwenye hiko kikao akidi ilikuwa haijatimia au kuna mapungufu kutokana na Katiba yao.
Hakuna anachoelewa yule. Ni ujinga tu. Suala siyo kufukuzwa uanachama, bali CHADEMA hawakuwahi kuteua wabunge wa viti maalum. Spika aseme alipata wapi majina?
 
Anatakiwa awaulize tume ya uchaguzi NEC walipataje majina ya hao covid wanao lalamikiwa na CHADEMA. Hili ni bomu lao na sio issue ya chadema.
 
Hakuna anachoelewa yule. Ni ujinga tu. Suala siyo kufukuzwa uanachama, bali CHADEMA hawakuwahi kuteua wabunge wa viti maalum. Spika aseme alipata wapi majina?

Alishasema majina aliletewa na tume
 
Ni ajabu sana, ndugai na timu yake walishaambiwa anademka bungeni hataki kusikia.
Hayo anayoongea kila siku bungeni kuhusu hao kina mama hayana tija kwa Taifa na KODI zetu.
 

Hata nyie mlidharau katiba na sheria kwa kugoma kupeleka wabunge wa viti maalum wakati ni jambo la kisheria
 
swala la chadema waekosea wapi au akidi haijatimia sio lake hio ni issue ya MAHAKAMA . kageuza ofisi ya UMA kua ofisi binafsi anajipangia atakalo

Na nyie chadema si muende mahakaman kuomba tafsiri? Sasa Tweeter na Jf vitasaidia nn?

Viongozi wenu wanajua kila kitu walichofanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…