Spika Ndugai: Nampa onyo kali Jenerali Ulimwengu kuchunga ulimi wake, haipendezi mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyo ovyo

Ukiona mtu anakuwa mkali, ujue hana uwezo. Huyo spika amepanic baada ya udhaifu wake kuwekwa hadharani. Yeye atumie vyombo vya dola kumfanyizia mzee Ulimwengu maana kuna mahusiano ya kihalifu kati ya mihimili ya nchi na vyombo vya dola, lakini msg sent fullstop.
 
#Hovyo , CAG Assad ndio kasema.
#Dhaifu
 
Ile mashine ya kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo, iondolewe nyumbani kwake ipelekwe kwenye hospitali ya umma isaidie wananchi wengi wanaoteseka badala ya kumuhudumia mtu mmoja tu wakati imenunuliwa kwa gharama kubwa kwa fedha za umma.

Huu ni ubinafsi uliopitiliza.
 
kweli kuna kitu kama hicho? This is really new news
 
Hii ni observation muhimu. Kitendo cha Ndugai kuhamaki maneno ya Jenerali mitandoni, basi ni ushahidi tosha kuwa wanashinda mitandaoni, wanasoma.
Kwahiyo tuandike sana, kumbe wanasoma, wanapata ujumbe kutoka kwa wananchi.
TUANDIKE SANA
Ukiona mtu yeyote anaogopa kukosolewa madhaifu yake basi ujue ni dhaifu sana
 
Ndugai afanyie kazi udhaifu wake, asihangaike kuwatisha wanaomuonesha udhaifu wake, kusemwa yeye kila siku ajue ana tatizo.
Alisha zoeshwa kuwa yeye hawezi kukosolewa na mtu zaidi ya mteuzi wake.
 
Tuandike vitu vya maana sio ujinga ujinga
Tutaandika sana kumkosoa madhaifu yake ili hatimaye bunge letu liwe ni jicho na mdomo wa wananchi wa tanzania.

Wabunge wote pale wanalipwa kwa kutumia kodi zetu.

Hatuna sababu ya kuwaogopa bali tuwaheshimu maana ni wawakilishi wetu
 
Ndugai hana uwezo wa kuliona hilo. GOOD umelisema atalisoma, nadhani kwa sasa the most effective informative channel ni JF ambapo mtu anaandika bila unafiki!
Jf kwa sasa ndio kimbilio la wananchi wanao hitaji habari + kwa ujenzi wa taifa letu.
 
Hujui kisa cha yeye kuwa chawa wa shetani wa kuzimu badala ya kuwa msema chochote?

Hiyo mashine imenunuliwa na shetani wa kuzimu maana hela za nchi hii aligeuza ni pesa zake na anafanya atakavyo na anampa amtakae.

Chief Hangaya analijuwa hili ndio maana alimuonya mapema aache kudemka bungeni na ameufyata kimya.
 
Kwa tanzania tatizo hili limeota mizizi kwenye awamu ya 5 haswaa.

Mtu akijitokeza kukosoa utendaji wa wakubwa basi unaitwa mchochezi.
 
Mkuu kwani anaimiliki kihalali?

Tatizo lake ni lipi haswaa hadi aishi na hiyo mashine?
 
Ndiyo maana kuna wengine hawana vyama hata hawaoni aibu
Mm mpaka nina kadi ya CCM ila toka walivyoanza mambo ya upuuuzi sijarudia tena kuwapigia kura,, naona tu wanaharibu nchii,, bora niwapigie upinzani kuliko hawa ndugu zangu CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…