Bondpost
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 7,019
- 10,455
Mie mwenyewe bado najiuliza kwani Ulimwengu amesema nini kuhusu Bunge la mgalilaya wa kongwa?Ni Siri ya Ndugai
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie mwenyewe bado najiuliza kwani Ulimwengu amesema nini kuhusu Bunge la mgalilaya wa kongwa?Ni Siri ya Ndugai
Wale ni washkaji na walikuwa wanakunywa wote ule ugomvi wao usiingilie maana wakitumaliza, hushangai Mkapa na mramba walizaa na demu mmoja na Mkapa akaendelwa kuishi nae ingali walikuwa washkaji na akampa uwaziri tena wa fedha????Huyo jenerali huwa akifilisika tu anatukana hovyo,alimfanyia marehemu mkapa hivyo na mkapa akamnyang'anya uraia wake
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Spika siyo bunge, wabunge huchaguliwa na wananchi japo kwa Tanzania sivyo! Spika anaweza kuwa mtu yeyote yule hata kama si mbunge, hii inawezekana kulingana na katiba ya nchi, pia wabunge wanao uwezo wa kumtimua spika wakiona mwenendo wake ni wa hovyo na bunge litabaki kuwa bunge bila kuathirika, kwa sisi hapa Tanzania bunge letu halifuati katiba ya nchi linakwenda kulingana na matakwa ya CCM na kutokana na hili tunao wabunge wasiokuwa na vyama na ambao hawakuchaguliwa na wananchi.Huwezi kumtenganisha Spika na bunge!
Kipimo cha akili ni kipi?..Ndungai..anamuonya Ulimwengu?
Ama kweli ukikaa pembeni na siasa utakuja kuongozwa na watu uliowazidi akili..
Dah
Unamfahamu jenerali twaha ulimwwngu vizuri?Kwani Jenerali ni nani mpaka kudhihaki bunge na spika? Kwanza Jenerali siyo mtanzania
Hebu tutajie hilo neno la dharau,na ni nani amedharauliwa. Wewe jamaa unajipendekeza mno hadi aibu. Unajiona kama wewe ndiyo una mzigo saaaana na hilo chama chakavu. Wacha hizo.Siasa za Tanzania ni za kuheshimiana....hatuko katika nchi za magharibi....
Kwani haiwezekani mtu kukosoa bila ya kumdharau mwingine?!!!!
Inashindikanaje mtu kumkosoa mwingine bila ya kummwagia DHIHAKA ZENYE CHUSHO?!!!
Siempre JMT
Mkuu watu kama hawa ni wa kusamehewa tu. Kawaza tu lake kichwani kua Jenerali c mtanzania, akaliandika. Hajui historia ya jamaa na pengine hajui hata Jenerali Ulimwengu ni naniUnamfahamu jenerali twaha ulimwwngu vizuri?
Unajua yeye ndiye aliesoma risala siku Tanzania inapata Uhuru 1961?,hivi mtu ambae sio raia mamlaka ya nchi ingeweza kumpa kazi hiyo?
Fuatilia historia take vizuri.
Mtu ambae sio raia anaweA kupewa uukuu wa wilayA?
Hiki kinyago alichochonga Mwendazake, bado kinauwezo wa kutisha watu?Ametoa onyo hilo leo Mjini Dodoma na amemtaka Ulimwengu kuacha mara moja kutoa lugha za dharau dhidi ya Mhimili wa bunge .
Bali hakusema ni hatua gani atachukua ikiwa Jenerali Ulimwengu atakaidi onyo hilo , ila anasema watapambana naye ndani na nje .
----+
Akizungumza katikati ya mjadala wa marekebisho ya Sheria mbalimbali uliowasilishwa Bungeni, Spika Ndugai amesema Ulimwengu ambaye ni Mwandishi wa Habari Nguli amekuwa akilikashfu Bunge na Spika apendavyo.
"Jenerali amekuwa akilivunjia heshima Bunge na Spika pia, napenda kumpa onyo kali kuchunga ulimi wake, haipendezi Mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyoovyo, akiendelea na sisi tutaacha ukimya itabidi Watu washughulike nae ndani na nje yaani Mahakamani, habari imfikie uvumilivu wetu umefika mwisho, sisi sio kama anavyodhani" ——— Spika Ndugai
Kumbe mnasoma mitandao, GOOD, VERY GOOD!Ametoa onyo hilo leo Mjini Dodoma na amemtaka Ulimwengu kuacha mara moja kutoa lugha za dharau dhidi ya Mhimili wa bunge .
Bali hakusema ni hatua gani atachukua ikiwa Jenerali Ulimwengu atakaidi onyo hilo , ila anasema watapambana naye ndani na nje .
----+
Akizungumza katikati ya mjadala wa marekebisho ya Sheria mbalimbali uliowasilishwa Bungeni, Spika Ndugai amesema Ulimwengu ambaye ni Mwandishi wa Habari Nguli amekuwa akilikashfu Bunge na Spika apendavyo.
"Jenerali amekuwa akilivunjia heshima Bunge na Spika pia, napenda kumpa onyo kali kuchunga ulimi wake, haipendezi Mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyoovyo, akiendelea na sisi tutaacha ukimya itabidi Watu washughulike nae ndani na nje yaani Mahakamani, habari imfikie uvumilivu wetu umefika mwisho, sisi sio kama anavyodhani" ——— Spika Ndugai
Ndugai na Magufuli wote vichaa pia mtumizi ya arv kwa mda mrefu yamewaasthiri pakubwaAmetoa onyo hilo leo Mjini Dodoma na amemtaka Ulimwengu kuacha mara moja kutoa lugha za dharau dhidi ya Mhimili wa bunge .
Bali hakusema ni hatua gani atachukua ikiwa Jenerali Ulimwengu atakaidi onyo hilo , ila anasema watapambana naye ndani na nje .
----+
Akizungumza katikati ya mjadala wa marekebisho ya Sheria mbalimbali uliowasilishwa Bungeni, Spika Ndugai amesema Ulimwengu ambaye ni Mwandishi wa Habari Nguli amekuwa akilikashfu Bunge na Spika apendavyo.
"Jenerali amekuwa akilivunjia heshima Bunge na Spika pia, napenda kumpa onyo kali kuchunga ulimi wake, haipendezi Mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyoovyo, akiendelea na sisi tutaacha ukimya itabidi Watu washughulike nae ndani na nje yaani Mahakamani, habari imfikie uvumilivu wetu umefika mwisho, sisi sio kama anavyodhani" ——— Spika Ndugai
Hawa viumbe ni chukizo kwa Mungu na WatanzaniaKwani wewe unajuaje kama ni mtanzania? Acheni ubaguzi wa kishamba kenge ninyi nzi wa kijani
Kuna faida gani kuwa na raia asiyekuwa na kitu kichwani kama Ndugai, si akheri huyo asiyekuwa raia lakini mchango wake kwa jamii unaonekana?Kwani Jenerali ni nani mpaka kudhihaki bunge na spika? Kwanza Jenerali siyo mtanzania
Hawa huwa hawaponiJob Ndugai bado anaumwa