Spika Ndugai: Nampa onyo kali Jenerali Ulimwengu kuchunga ulimi wake, haipendezi mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyo ovyo

Spika Ndugai: Nampa onyo kali Jenerali Ulimwengu kuchunga ulimi wake, haipendezi mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyo ovyo

Huyo jenerali huwa akifilisika tu anatukana hovyo,alimfanyia marehemu mkapa hivyo na mkapa akamnyang'anya uraia wake

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Wale ni washkaji na walikuwa wanakunywa wote ule ugomvi wao usiingilie maana wakitumaliza, hushangai Mkapa na mramba walizaa na demu mmoja na Mkapa akaendelwa kuishi nae ingali walikuwa washkaji na akampa uwaziri tena wa fedha????

Kuna story fuatilia timu ya Mkapa aliyekuwa mpiga debe wakati wa kampeni za ndani na Mambo kibao ndio utaelewa igomvi wa Mkapa na Ulimwengu hao walikuwa wanakunywa ewote Seaview Mkapa akaona cheo Cha kumpa no ikuu wa wilaya Tena sijui karagwe huko, Ulimwengu alikataa na story ni ndefu Ila fahamu hivyo.

Sasa kama mtu asie raia anaweza kupewa ukuu wa wilaya na akaukataa na akaendelwa kuishi hapa basi hata Magu hakuwa Raia na akapewa Urais kama wanavyosema🤷
 
Huwezi kumtenganisha Spika na bunge!
Spika siyo bunge, wabunge huchaguliwa na wananchi japo kwa Tanzania sivyo! Spika anaweza kuwa mtu yeyote yule hata kama si mbunge, hii inawezekana kulingana na katiba ya nchi, pia wabunge wanao uwezo wa kumtimua spika wakiona mwenendo wake ni wa hovyo na bunge litabaki kuwa bunge bila kuathirika, kwa sisi hapa Tanzania bunge letu halifuati katiba ya nchi linakwenda kulingana na matakwa ya CCM na kutokana na hili tunao wabunge wasiokuwa na vyama na ambao hawakuchaguliwa na wananchi.
 
Kwani Jenerali ni nani mpaka kudhihaki bunge na spika? Kwanza Jenerali siyo mtanzania
Unamfahamu jenerali twaha ulimwwngu vizuri?
Unajua yeye ndiye aliesoma risala siku Tanzania inapata Uhuru 1961?,hivi mtu ambae sio raia mamlaka ya nchi ingeweza kumpa kazi hiyo?
Fuatilia historia take vizuri.
Mtu ambae sio raia anaweA kupewa uukuu wa wilayA?
 
Siasa za Tanzania ni za kuheshimiana....hatuko katika nchi za magharibi....

Kwani haiwezekani mtu kukosoa bila ya kumdharau mwingine?!!!!

Inashindikanaje mtu kumkosoa mwingine bila ya kummwagia DHIHAKA ZENYE CHUSHO?!!!

Siempre JMT
Hebu tutajie hilo neno la dharau,na ni nani amedharauliwa. Wewe jamaa unajipendekeza mno hadi aibu. Unajiona kama wewe ndiyo una mzigo saaaana na hilo chama chakavu. Wacha hizo.
 
Sijui kwa nn Spika wa bunge letu ni muoga sana kuambiwa ukweli. Kama ana hoja ampinge Jenerali kwa hoja. Zama za kutisha watu zimeisha enzi za Jiwe.
 
Unamfahamu jenerali twaha ulimwwngu vizuri?
Unajua yeye ndiye aliesoma risala siku Tanzania inapata Uhuru 1961?,hivi mtu ambae sio raia mamlaka ya nchi ingeweza kumpa kazi hiyo?
Fuatilia historia take vizuri.
Mtu ambae sio raia anaweA kupewa uukuu wa wilayA?
Mkuu watu kama hawa ni wa kusamehewa tu. Kawaza tu lake kichwani kua Jenerali c mtanzania, akaliandika. Hajui historia ya jamaa na pengine hajui hata Jenerali Ulimwengu ni nani
 
Ametoa onyo hilo leo Mjini Dodoma na amemtaka Ulimwengu kuacha mara moja kutoa lugha za dharau dhidi ya Mhimili wa bunge .

Bali hakusema ni hatua gani atachukua ikiwa Jenerali Ulimwengu atakaidi onyo hilo , ila anasema watapambana naye ndani na nje .

----+

Akizungumza katikati ya mjadala wa marekebisho ya Sheria mbalimbali uliowasilishwa Bungeni, Spika Ndugai amesema Ulimwengu ambaye ni Mwandishi wa Habari Nguli amekuwa akilikashfu Bunge na Spika apendavyo.

"Jenerali amekuwa akilivunjia heshima Bunge na Spika pia, napenda kumpa onyo kali kuchunga ulimi wake, haipendezi Mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyoovyo, akiendelea na sisi tutaacha ukimya itabidi Watu washughulike nae ndani na nje yaani Mahakamani, habari imfikie uvumilivu wetu umefika mwisho, sisi sio kama anavyodhani" ——— Spika Ndugai
Hiki kinyago alichochonga Mwendazake, bado kinauwezo wa kutisha watu?

Huko Bungeni hao wanaokubali kuongozwa na mtu kama huyu asiyekuwa na chochote kichwani na wao wanajidhalilisha.
 
Jenerali anaongea ukwel huyo ndungai ina maana haelew sisi wananchi tumelidharau bunge sana hatuliangalii na kuna baadhi hawajui hata kama bunge lipo vinaendelea na vikao
 
Ametoa onyo hilo leo Mjini Dodoma na amemtaka Ulimwengu kuacha mara moja kutoa lugha za dharau dhidi ya Mhimili wa bunge .

Bali hakusema ni hatua gani atachukua ikiwa Jenerali Ulimwengu atakaidi onyo hilo , ila anasema watapambana naye ndani na nje .

----+

Akizungumza katikati ya mjadala wa marekebisho ya Sheria mbalimbali uliowasilishwa Bungeni, Spika Ndugai amesema Ulimwengu ambaye ni Mwandishi wa Habari Nguli amekuwa akilikashfu Bunge na Spika apendavyo.

"Jenerali amekuwa akilivunjia heshima Bunge na Spika pia, napenda kumpa onyo kali kuchunga ulimi wake, haipendezi Mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyoovyo, akiendelea na sisi tutaacha ukimya itabidi Watu washughulike nae ndani na nje yaani Mahakamani, habari imfikie uvumilivu wetu umefika mwisho, sisi sio kama anavyodhani" ——— Spika Ndugai
Kumbe mnasoma mitandao, GOOD, VERY GOOD!
Wwe ndugai, Jenerali amekuzidi sana in all aspects of every field of life on earth! Wewe kuwa hapo ni ngekewa kwa nchi zetu za kijinga! Tunaongozwa na taahira , Anayesema hovyo hovyo ni wewe. Kusemwa unakuona kubaya Covid 19 vipi?
 
Sisi wananchi tunashangazwa sana na ubabe wa kishamba unaofanywa kupitia mhimili wa Bunge letu. Ikumbukwe hili Bunge la sasa liliundwa kwa kukiuka taratibu nyingi sana kupitia kitu kinachofananishwa na Uchaguzi mkuu 2020

Tumemsikia Spika akitoa onyo kali dhidi ya Jenerali Ulimwengu kuwa wameishiwa uvumilivu.

1. Spika anakiuka ibara ya 18 ya Katiba ya sasa

2. Tangu uhuru mpaka leo, Bunge halijawahi kutunga sheria bali linapitisha miswada ya sheria zinazotungwa na Excutives. Ndo maana unasikia wabunge wanasema SERIKALI ILETE SHERIA BUNGENI ili waipitishe.

3. Ndugai atupatie ushahidi lini Bunge liliwahi kuiwajibisha serikali kupitia ripoti ya CAG

4. Je, kanuni za kudumu.za Bunge zilifuata utaratibu katika kutungwa na kupitishwa kwake? Kwanini zinatumika kama sheria wakati hazijakidhi vigezo vya kuwa sheria?

5. Bunge linatoa wapi mamlaka ya kutishia wananchi?

Bwana Ndugai, wananchi kwa sasa hawafuatilii sessions za Bunge. Haya ni matokeo ya kunajisi sheria za Uchaguzi na ukiukwaji wa maadili ya uongozi.

CCM tuna wakati mgumu sana 2025

Nipinge kwa hoja
 
Ametoa onyo hilo leo Mjini Dodoma na amemtaka Ulimwengu kuacha mara moja kutoa lugha za dharau dhidi ya Mhimili wa bunge .

Bali hakusema ni hatua gani atachukua ikiwa Jenerali Ulimwengu atakaidi onyo hilo , ila anasema watapambana naye ndani na nje .

----+

Akizungumza katikati ya mjadala wa marekebisho ya Sheria mbalimbali uliowasilishwa Bungeni, Spika Ndugai amesema Ulimwengu ambaye ni Mwandishi wa Habari Nguli amekuwa akilikashfu Bunge na Spika apendavyo.

"Jenerali amekuwa akilivunjia heshima Bunge na Spika pia, napenda kumpa onyo kali kuchunga ulimi wake, haipendezi Mtu wa umri wake kuwa anaongea ovyoovyo, akiendelea na sisi tutaacha ukimya itabidi Watu washughulike nae ndani na nje yaani Mahakamani, habari imfikie uvumilivu wetu umefika mwisho, sisi sio kama anavyodhani" ——— Spika Ndugai
Ndugai na Magufuli wote vichaa pia mtumizi ya arv kwa mda mrefu yamewaasthiri pakubwa
 
Kwani wewe unajuaje kama ni mtanzania? Acheni ubaguzi wa kishamba kenge ninyi nzi wa kijani
Hawa viumbe ni chukizo kwa Mungu na Watanzania
IMG-20211104-WA0002~2.jpg
 
Kwani Jenerali ni nani mpaka kudhihaki bunge na spika? Kwanza Jenerali siyo mtanzania
Kuna faida gani kuwa na raia asiyekuwa na kitu kichwani kama Ndugai, si akheri huyo asiyekuwa raia lakini mchango wake kwa jamii unaonekana?
Ndugai ni mzigo mzito sana kwa taifa hili.. Hata sielewi ni sifa zipi zilizofanya bunge limpe uspika!
 
Back
Top Bottom