Spika Ndugai: Nyani wanashangilia kifo cha mkulima wa mahindi wanasahau mwakani hawana pa kula

Gap kati yamaskini na matajiri limeongezeka.
Wafanyabiashara wakubwa wamezidi kuwa wakubwa! Mishahara ya wafanyakazi wa hawa wafanyabiashara wakubwa je, ime reflect ukuaji wa biashara za matajiri??
Shift 12hours mshahara 3,500.
Kipato cha kati kimepotea, wadogo wamezidi kuwa wadogo.

Wamatumbi ndiyo 80% ya sisi tuliobakia huku vijijini. Tunalima tule na ziada tuuze! Tupate hela ya sabuni!

Wenzetu mliozaliwa kwenye asali na maziwa, siku zote mmejifunza kanuni za kututawala, demoralize, terrorize & make them poor. Give them wages that demoralize the poor!
Mnatambua an educated, confident, rich majority is difficult to rule.

Mama Samiah rudisha INVESTORS confidence, waje wawekeze kwa wingi, dhibiti unyanyasaji wa TRA, peleka ukaguzi HESLB, rudisha ajira serikalini, simamisha miradi ya Chattle.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Most of you miss the point kwanini wanyonge mnaowasemea awajafaidika, wanawashangaza msiba ndio umewagusa zaidi.

If you know anything about Maslow hierarchy of needs Magufuli alichowapa watu maskini kwanza ni sense of belonging ndani ya nchi yao.

Kawatoa unyonge kama ilivyozoeleka hawana sauti, haki zao kupata shida na awasikilizwi.

Pamoja na hayo kawapelekea basic needs muhimu kama vituo vya afya na kuwajengea watoto wao mazingira mazuri ya kupata elimu sio kukaa chini.

Magufuli kawarudishia hadhi na thamani wana haki kama mtu mwingine yeyote ndani ya taifa lao na ni jukumu la viongozi kuwasikiliza na kuja na majibu.

Huko kwenye uchumi ni swala la muda hizi investment zake zipo Kwenye incubation period japo kuna faida tayari za wawekezaji; tofauti na unavyodai but the full impact zitakuja baada ya miaka 5–10 ya kukamilika na ndipo hapo ajira zitakuja kwa wingi.

Na ni investment za lazima Investor’s need access to resources and reliable supply of electricity.

Swala la wages ni serikali sasa sio mimi but then inabidi uthibitishe na faida zenyewe za anasa hayo makampuni yanayopata huku wakilipa watu mishahara kiduchu.

Vinginevyo ideal mfanyabiashara anaelipa kodi bora aongeze mishahara ili expenses zake ziongezeke kuliko hiyo hela alipe kodi ya faida.

So kabla ya kulaumu watu onyesha faida zao then demand minimum wages.
 
Kwamba hao nyani wakirudi tena wataikosa Tanzania!?

Vere irelevanti comparison.
 
Aliyetangulia alikuwa na kiburi hicho hicho lakini Mungu amempenda zaidi Ndugai kumbuka kuwa siku moja utakufa utaenda kumjibu nini muumba wako.
 
Wapi nimesema ndugai ndio kaanzisha huo msemo? Wewe ni kubwa jinga mkuu.
Unataka kuniambia mpaka huo msemo ndugai kausema tu hajaanisha kitu hata kwa mawqzo yake?
pia unathibitisha ulivyo mpvmbavu maana umetafsiri hayo maneno literally....poor you!

Wote tumeona ulichoongea ni kubeba huo ujinga wa Ndugai, kwa taarifa yako Ndugai kabeba mfano usioendana na anachokiongea. Kwa bahati mbaya na ww ukabeba huu ujinga kuja kuitolea mfano usioendana.
 
Yeye lazima ataumia sana kwasababu atakosa mtu wa kumpa maelekezo mara washughulikie bungeni wakija nje tutawashughulikia,shame on him.
 
Kafa nyerere na bado watu tunakula chakula. Jitu puuzi Kama ndugai ambao walimchukulia mh rais Magufuri rip.kama mungu ndiyo yakiwaza hata mvua inaletwa na Magufuri Sasa amekufa haziwezi kunyesha. Pumbavu kabisa
 
napata sana moyo mkuu wetu spika.kwel kabisa walifurahia kifo cha mkulima wakisahau kwamba kwa kumuombea kifo mkulima alivowadhibiti kula na kuharibu mazao ingawaje walikua wanashiba
sasa wanasahau kuwa mwakan mkulima hayupo
viva tanzania viva mama samia rais wa wanyonge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umavi umavi tu, nachoomba mumpuzishe mama janeth ni MTU wa Mungu amechoka, mnamchokesha tu bila sababu yoyote, Mara Zanzibar Mara Dodoma Mara mwanza ...Leo hana nguvu kabisa, hapo ana safari tena hadi Zanzibar ..unnecessary travels ..zikeni mambo yaishe
 
Kafa nyerere na bado watu tunakula chakula. Jitu puuzi Kama ndugai ambao walimchukulia mh rais Magufuri rip.kama mungu ndiyo yakiwaza hata mvua inaletwa na Magufuri Sasa amekufa haziwezi kunyesha. Pumbavu kabisa
kweli kabisa
 
Jamani manenomaneno na mipasho tuache. Tumzike mja wa Mungu alale salama.
Usije ukawa mwendelezo, ajibu mtu, waache wafu wazikane... Na mengine yasiyofaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…