Bambushka
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 3,952
- 7,218
Gap kati yamaskini na matajiri limeongezeka.Bakhresa tajiri mkubwa Tanzania ndani ya kipindi cha Magufuli investment portfolio zake zimeongezeka
Mo Dowji kajitanua zaidi kwa kuongeza hisa za umiliki wa Simba na kawa dollar billionaire ndani ya Magufuli
Makampuni ya simu yameongeza network zao ndani ya Tanzania maana yake biashara ni nzuri.
Vijana wadogo kama akina Majjizo na Diamond utajiri wao umekuwa maradufu kipindi cha Magufuli.
Wapiga deal wenye kuelewa PEST analysis mazingira ya nje yanapobadilika na wewe inabidi ubadilike the likes of Rostam Aziz (wamerudisha media za CCM kwa wenyewe) na GSM JK alipotoka walibadili biashara na kujikita kwenye consumer market badala ya serikali wapo poa.
Kasheshe kwa wamatumbi ambao wamekariri lazima biashara wafanye na serikali tuu, hawa ndio wanaoshangalia kifo na wakosoaji wakubwa.
Kosa kubwa atakalofanya mama Samia ni kurudi nyuma hilo kundi la wamatumbi lazima wabadili attitude kuna opportunity nyingi sana za food processing industries ili kuongeza thamani ya mazao.
Kama wamatumbi ni wafanyabiashara kweli waende huko, lakini kurudi nyuma kufanya nao biashara ni kuwalemaza. Hizo shida watazoea tu baada ya muda uwezi kuanzisha biashara kwa malengo ya contract za serikali tu that is just pathetic.
Wafanyabiashara wakubwa wamezidi kuwa wakubwa! Mishahara ya wafanyakazi wa hawa wafanyabiashara wakubwa je, ime reflect ukuaji wa biashara za matajiri??
Shift 12hours mshahara 3,500.
Kipato cha kati kimepotea, wadogo wamezidi kuwa wadogo.
Wamatumbi ndiyo 80% ya sisi tuliobakia huku vijijini. Tunalima tule na ziada tuuze! Tupate hela ya sabuni!
Wenzetu mliozaliwa kwenye asali na maziwa, siku zote mmejifunza kanuni za kututawala, demoralize, terrorize & make them poor. Give them wages that demoralize the poor!
Mnatambua an educated, confident, rich majority is difficult to rule.
Mama Samiah rudisha INVESTORS confidence, waje wawekeze kwa wingi, dhibiti unyanyasaji wa TRA, peleka ukaguzi HESLB, rudisha ajira serikalini, simamisha miradi ya Chattle.
Everyday is Saturday............................... 😎