Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna hiyo jeuri ya kushindana na Rais wewe,ndugaye na wote mnaotumana.
Tunaweza kuwafyeka ndani ya sekunde mkapotea.
IBaada ya matamko kutoka viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi na serikali dhidi ya kauli ya Spika Job Ndugai kuhusu mikopo, leo Jumatatu saa 5:00 asubuhi, Ndugai anazungumza na waandishi wa habari, jijini Dodoma.
NDUGAI: NIMEUMIA KUOENEKANA NAPINGA MKOPO WA SERIKALI WA TSH. TRILIONI 1.3
Spika Job Ndugai amesema kauli yake aliyoitoa Desemba 26, 2021 alipoalikwa kwenye tukio la makumbusho ya wagogo kuwa imechukuliwa vibaya na kuleta mkanganyiko
Amesema alikuwa anazungumza kuhusu sababu iliyoifanya bunge kukubali na kuipitisha tozo na sio kuwa alikuwa akizungumzia taasisi nyingine yoyote
Ndugai amesema video iliyosambaa ilikatwa bila kuleta ujumbe kamili aliokuwa amekusudia. Ameumia kuonekana anapinga mkopo wa serikali
NDUGAI: TUTENGENEZE MAKUMBUSHO YA BUNGE
Spika wa Bunge Job Ndugai, amesema ni muhimu kwa Bunge kuwa na makumbusho yake ili wanaotembelea ofisi hizo wajue historia ya bunge kwa namna ilivyokuwa
Jambo hilo amesema ni muhimu hata kwa taasisi nyingine kuwa na makumbusho yake ili watu waweze kujua kuhusu historia ya taasisi husika
Amesema hayo alipokuwa anaongea na waandishi wa habari ofisi za Bunge Dodoma
NDUGAI: NAMUOMBA RADHI RAIS NA WANANCHI WOTE
Spika wa Bunge Job Ndugai amemuomba radhi Rais Samia Suluhu na wananchi wote kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yake
Amesema yeye ni CCM ambao lengo lao ni moja hawawezi kutofautiana. Kuna watu wanaojaribu kuwafarakanisha lakini hawatafanikiwa
Ndugai amesema Rais anafanya vizuri lakini peke yake hawezi kwa hiyo ni jukumu la watu wote kumsaidia
Vipi mzee gwajingo....Ukiwa ndani ya CCM kaa kimya, huna room ya kumkosoa aliye juu yako kimamlaka..utaumia. Na hili liwe findisho kwa wana CCM wote popote walipo.
Bado na yule mzee wa ati kuchochea kuni kwenye tanuru ili WAHUNI watokemo...zake zinahesabika za kuomba msamaha.
Hakunaga kundi hilo la Sukuma Gang ni just an imaginary group made up by yule mzushi wa twitter, but in reality, Sukuma doesn't exist anywhere!.Kwa Press hii ya Ndugai tukubaliane kwa pamoja Sukuma gang ndio imezikwa rasmi leo.
R.I.P Sukuma gang mwendo mmeumaliza.
Watu wa aina yake huwa hawana misimamo inayoeleweka. Siku zote hufuata upepo unakoelekea. Mtu aliye na msimamo anaamini katika hayo ambayo anayasema na habadiriki kufuatia maneno ya watu wengine au kwa kuogopa kukosa cheo alicho nacho. Mifano ya watu hao ni CAG aliyepita. Pia mtu aliye na msimamo yupo radhi apoteze nafasi yake kwa kutetea hayo anayoyaamini. Anaweza akajiuzulu hata cheo chake badala ya kubadili msimamo aliyojiwekea. Zumbe Mkuu anaogopa tonge kudondoka toka mdomoni na sasa kayala matapishi yake.Ndugai ni coward, atatumia huo mkutano kujitetea, kuwa alieleweka vibaya. Hakumaanisha....na kadhalika.
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai bwashee
Ndugai kaboa, mbona kaongea ukweli anaomba radhi ya nini? Kwa ile kauli mm hajanikosea ila kosa la Ndugai ni kuendelea kuwakumbatia Wabunge 19 wasio na chama, huo ni wizi wa pesa za WatanzanjaBaada ya matamko kutoka viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi na serikali dhidi ya kauli ya Spika Job Ndugai kuhusu mikopo, leo Jumatatu saa 5:00 asubuhi, Ndugai anazungumza na waandishi wa habari, jijini Dodoma.
NDUGAI: NIMEUMIA KUOENEKANA NAPINGA MKOPO WA SERIKALI WA TSH. TRILIONI 1.3
Spika Job Ndugai amesema kauli yake aliyoitoa Desemba 26, 2021 alipoalikwa kwenye tukio la makumbusho ya wagogo kuwa imechukuliwa vibaya na kuleta mkanganyiko
Amesema alikuwa anazungumza kuhusu sababu iliyoifanya bunge kukubali na kuipitisha tozo na sio kuwa alikuwa akizungumzia taasisi nyingine yoyote
Ndugai amesema video iliyosambaa ilikatwa bila kuleta ujumbe kamili aliokuwa amekusudia. Ameumia kuonekana anapinga mkopo wa serikali
NDUGAI: TUTENGENEZE MAKUMBUSHO YA BUNGE
Spika wa Bunge Job Ndugai, amesema ni muhimu kwa Bunge kuwa na makumbusho yake ili wanaotembelea ofisi hizo wajue historia ya bunge kwa namna ilivyokuwa
Jambo hilo amesema ni muhimu hata kwa taasisi nyingine kuwa na makumbusho yake ili watu waweze kujua kuhusu historia ya taasisi husika
Amesema hayo alipokuwa anaongea na waandishi wa habari ofisi za Bunge Dodoma
NDUGAI: NAMUOMBA RADHI RAIS NA WANANCHI WOTE
Spika wa Bunge Job Ndugai amemuomba radhi Rais Samia Suluhu na wananchi wote kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yake
Amesema yeye ni CCM ambao lengo lao ni moja hawawezi kutofautiana. Kuna watu wanaojaribu kuwafarakanisha lakini hawatafanikiwa
Ndugai amesema Rais anafanya vizuri lakini peke yake hawezi kwa hiyo ni jukumu la watu wote kumsaidia
Itisha press utamke hayo.Katuaibisha wanaume huyu jamaa!!!unaomba radhi ya nini!!???
Kuna Wapumbavu wa Sukuma gang humu niliwaambia, kama mlikuwa hamumtaki mama mlikuwa na mambo mawili tu ya kufanya.
1. Mngezuia asiapishwe
2. Kama ameapishwa kuwa Rais mngekiteka Chama kwamba mwenyekiti lazima ashindanishwe kwenye uchaguzi, ungefanyika uchaguzi na Sukuma gang wangeweka mwenyekiti wao ambao Rais lazima acompromise nao.
Yote mawili wameshindwa Samia ndio Rais, ndio Amiri jeshi mkuu na ndio mwenyekiti wa chama.
Ni kichaa peke yake ndio unaweza kupingana na mtu mwenye status hii.
Mama ajiombee afya tu, Mungu akimpa kibali yupo ikulu mpaka 2030 loud n clear.
Sina uhakika na hilo la dialysis. Lakini kama ni kweli basi irudishwe pale BM Hospital isaidie watu wengi zaidi.Kama siyo Uspika huyu kichaa angekuwa ameshafukiwa kabulini siku nyingi tu.
Hana jeuri hiyo, hata kuropoka kwake ni sababu ya kunyimwa mgao na mama.
Alivyopewa dollar laki moja alikuwa akimsifu mama, leo za Covid hajapewa mgao ndio hasira zake.
Kinachonikera mimi ni Magufuli kutumia pesa za umma kumnunulia mashine ya dayalisis mtu mmoja tena ipo nyumbani kwake, hii ndio siri ya Ndugai kuwa house boy wa Meko.
Picha na unyekevu anaouonesha Ndugai ni wa uchu wa madaraka, yaani kama vile yuko mbele ya mamamkwe!Baada ya matamko kutoka viongozi mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi na serikali dhidi ya kauli ya Spika Job Ndugai kuhusu mikopo, leo Jumatatu saa 5:00 asubuhi, Ndugai anazungumza na waandishi wa habari, jijini Dodoma.
NDUGAI: NIMEUMIA KUOENEKANA NAPINGA MKOPO WA SERIKALI WA TSH. TRILIONI 1.3
Spika Job Ndugai amesema kauli yake aliyoitoa Desemba 26, 2021 alipoalikwa kwenye tukio la makumbusho ya wagogo kuwa imechukuliwa vibaya na kuleta mkanganyiko
Amesema alikuwa anazungumza kuhusu sababu iliyoifanya bunge kukubali na kuipitisha tozo na sio kuwa alikuwa akizungumzia taasisi nyingine yoyote
Ndugai amesema video iliyosambaa ilikatwa bila kuleta ujumbe kamili aliokuwa amekusudia. Ameumia kuonekana anapinga mkopo wa serikali
NDUGAI: TUTENGENEZE MAKUMBUSHO YA BUNGE
Spika wa Bunge Job Ndugai, amesema ni muhimu kwa Bunge kuwa na makumbusho yake ili wanaotembelea ofisi hizo wajue historia ya bunge kwa namna ilivyokuwa
Jambo hilo amesema ni muhimu hata kwa taasisi nyingine kuwa na makumbusho yake ili watu waweze kujua kuhusu historia ya taasisi husika
Amesema hayo alipokuwa anaongea na waandishi wa habari ofisi za Bunge Dodoma
NDUGAI: NAMUOMBA RADHI RAIS NA WANANCHI WOTE
Spika wa Bunge Job Ndugai amemuomba radhi Rais Samia Suluhu na wananchi wote kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yake
Amesema yeye ni CCM ambao lengo lao ni moja hawawezi kutofautiana. Kuna watu wanaojaribu kuwafarakanisha lakini hawatafanikiwa
Ndugai amesema Rais anafanya vizuri lakini peke yake hawezi kwa hiyo ni jukumu la watu wote kumsaidia
Kashatema NDOANO