Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kiuhalisia wa kuonekana kama kundi lililo na makao, sukumagang hailipo,Hakunaga kundi hilo la Sukuma Gang ni just an imaginary group made up by yule mzushi wa twitter, but in reality, Sukuma doesn't exist anywhere!.
P
Acha chuki wewe mwanamke, kaa utunze watoto hapo home. CHUKI ZA KIWAKI HAZIKUSAIDII. WE KILA MCHANGO WAKO NI CHUKI KWA RAIS.Huyu jamaa aache uoga, maana tukichekeana hapa tutakuja kupigwa mnada kama alivyosema mwanzo, huwezi kukopa trillion 10 ndani ya miezi 9 kwa miradi isiyo ya kimkakati tena bila idhini ya bunge halafu tukabaki salama, no way!!
Na ndio maana China inaendelea. hakuna kuombana msamaha, unakula shaba tunaanua matanga.Siku hizi unarusha jiwe gizani halafu unasikilizia. Kelele zikizidi unaitisha press na kuzuga uliteleza au ulinukuliwa vibaya but mwisho wa siku the message has been sent.
So the bottomline is hoja ijibiwe kwa hoja.
Mkuu usiwaze! Ujumbe wa Ndugai umeshafika kunako!Huyu jamaa aache uoga, maana tukichekeana hapa tutakuja kupigwa mnada kama alivyosema mwanzo, huwezi kukopa trillion 10 ndani ya miezi 9 kwa miradi isiyo ya kimkakati tena bila idhini ya bunge halafu tukabaki salama, no way!!
Lakini ujumbe wa Ndugai si umefika?Anaomba raisi amsamehe sana. Amuonee huruma maana amekosa sana na haikuwa dhamira yake kuleta taharuki bali janja janja tu za watu kutaka kumchafua.
Wewe ulitaka afanyaje? Aache mshahara, rupurupu, aingie kwenye vita na amiri jeshi mkuu?
Pasco naona umefurahi sanaRekebisha kidogo heading ni
"Nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana "
Spika kawa mdogo kama piriton!
P
Spot On!!!Ndugai ni coward, atatumia huo mkutano kujitetea, kuwa alieleweka vibaya. Hakumaanisha....na kadhalika.
Unajifariji!!!Mkuu usiwaze! Ujumbe wa Ndugai umeshafika kunako!
Ila ujumbe wake si umefika?Unajifariji!!!
Mtu kamuungamia mungu wake Hangaya...
"Nimekosa mimi, nimekosa sana"
👌😂Labda ungeuliza ARV gani?