Spika Ndugai: Rais Samia naomba unisamehe kwa sintofahamu iliyotokana na kauli yangu🙏

Siasa za nchi hii very simple kuliko watu wanavyodhani ila kama hujui mchezo unavyochezwa inakupa taabu sana!.
 
Hakuna bingwa wa njaa; yani hata PolePole kamshindwa kukomaa
 
Anaomba msamaha kwa kukosa sana wakati anasema ni clip ya kutengenezewa! Zile siasa zake chafu zimekutana na uchafu ule ule, karma is a bitch.
 
Akimaliza mazungumzo yake na waandishi wa habari leo.
 
Aibu Gani Ndani Ya Ccm
Tumefika Hapa Sasa Hivi
Kweli Yaliyomo Yamo Ndani Ya Ccm
 
Wenye chama chao wameshinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…