Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi ni fan wa JPM nashangaa unavyomweka Ndugai kwenye kambi ya JPM. Ndugai huyu aliyepigia debe bandari ya Bagamoyo kwa wachina atakuwaje kwenye kambi ya Magufuli?Wakuu
Hii press ya Job leo unaichambuaje?
Je, Ndugai & The Gang walikuwa wanaupima upepo?
Je, wananchi ama wanaharakati wangeonesha kumuunga mkono angefanya hii submission press ya leo?
Thinkers wa JF, mnaiangaliaje hii move ya Ndugai kuomba radhi hadharani leo akiwa kama mkuu wa Mhimili huru wa Bunge? Jambo hili limekaaje
Kisiasa
Kiusalama
Kidemokrasia
Pascal Mayalla
Mshana Jr
figganigga
Mzito Kabwela
Mchambuzi87
CDF haingilii mambo yao ya siasa aisee hii malumbano huwa hahusiki kabisa anakaaga pembeni kama hawaoni Ila akiona wamezidi yeye hupeleka kikosi ikulu kwamba Sasa naona nchi inawashinda kuendesha wacha niwasaidie.Japo sijaalikwa kuchangia ngoja nimwage kapumba kangu kiduchu...
Bwana Job hakuwa na nia ya kuomba msamaha. Angekuwa na nia hiyo asingechukua muda mrefu hivyo. Siamini pia kama ni ushauri wa maswahiba zake wala presha ya maadui zake....
Naamini kapigiwa simu moja kutoka mamlaka za juu (labda za ulinzi na usalama) na kumshauri afanye hivyo au aachie ngazi
CDF akimpigia simu na kumwambia sijafurahi namna unavyolumbana na bosi wangu... Amiri Jeshi Mkuu wangu.... sidhani kama Job angekuwa na namna tena.
Maana ukubwa bado anautaka na kuupenda.
Hii kwa mama imemjenga sana kisiasa. Hivi sasa anasubiria awe hai 2025 achapishiwe form yake pekee ajaze akagombee muhula wa pili.
Hamna wa kumzuia tena
Binafsi hata mimi nimeshangaa kwanini wameuunganishaHahahaha
Nimeanzisha mada inayolenga uchambuzi kwq mlengo mwingine lakini moderators wanaiunganisha na ya press release.
Wazeeiya hizi hasira kazini si nzuri.
Je unaweza kufafanua wapi nimemtaja Ndugai kama JPM follower au team?Mi ni fan wa JPM nashangaa unavyomweka Ndugai kwenye kambi ya JPM. Ndugai huyu aliyepigia debe bandari ya Bagamoyo kwa wachina atakuwaje kwenye kambi ya Magufuli?
Ndugai, Nape, na wale jamaa wote wa aina zao ni opportunists tu watakaofanya lolote ili mkono uende kinywani. Rais awe makini sana na hawa watu.
na ndio kilichotokeaAtaikana Ile clip kuwa hakusema hivyo
Kuna watu mna maono aisee keshaikana kuwa kalishwa manenoAtaikana Ile clip kuwa hakusema hivyo
Ninyi mna maono gani? Aisee imeenda vile ulivyoandika hapaNdugai ni coward, atatumia huo mkutano kujitetea, kuwa alieleweka vibaya. Hakumaanisha....na kadhalika.
WananikomeshaBinafsi hata mimi nimeshangaa kwanini wameuunganisha
Kweli kabisa katia aibu afadhali angebaki na msimamo wake.Naanza kuamini kwamba mgogo haaminiki hata kidogo. Huyu mzee anawaaibisha sana wenzake
Hata mie nimemfuatilia Ndungai, hakika hajaomba msamaha kwa rais kwa sababu radhi hiyo haipo kimaandishi tena haikufanyika ktk ofisi ya rais.Nimeifuatilia Press ya Ndugai leo nimeona mada zilikuwa tatu
1. Kutangaza siku ya Maombi ya Bunge tarehe 29 Jan
2. Kuanza kwa kamati za bunge ambapo tarehe 09 Jan ni kamati ya ukimwi na kamati nyingine ni tarehe 16 Jan na
3. Kumuomba radhi Rais japo wakati wa kuomba radhi yametumika maneno ambayo msamaha kaombwa Mungu tena kwa lugha ya kanisani na Watanzania sijasikia akiombwa Rais.
Swali ni Je lengo Mahsusi la Press ilikuwa nini? Msamaha au ratiba ya Bunge? Je siku za nyuma kulikuwa na Press za kutupa ratiba ya Bunge au la?
Kama ni msamaha mbona umechelewa kuombwa na kuunganishwa na matukio mengine? Kama mkutano wa Bunge ni tarehe 6 kwanini ratiba tusingepewa siku nyingine au tupewe hata press release ili msamaha usimame peke yake?
Hata humu wapo wengi tuu, you can readWananchi gani umezingumza nao wewe?