Spika Ndugai: TAMISEMI inaniudhi sana; kwanini inapora Madaraka ya Halmashauri?

shida halmashauri ikipewa madaraka inapanga kwa rushwa... za ngono na hela
ndio shida iliyopo tena, kuna maeneo ya miji utakuta masista du ndo wamejaa wanagwana hadi topic, wakati shule nyingine hakuna hata mmoja,
hapo suluhisho ni ktafuta viongozi wenye uchungu na hii nchi kama Magufuli wanaofanya kwa vitendo,,,
 
Mwache aisome namba mpaka atakapokumbuka shuka kumekucha
 
mkuu huna hoja na mifano dhahiri kabisa. tunachozungumza hapa ni kuhodhiwa bunge na mahakama,huo mfano wa panga boi hauna mantiki hapa , kwani bunge siku hizi ndo wanatangaza tenda za serikali? nakushauri ukae kimya hauto onekana mjinga
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖


shida halmashauri ikipewa madaraka inapanga kwa rushwa... za ngono na hela
,/
Je unao ushahidi? Usiongee kwa mambo usiokuwa na ushahidi, ukipigwa pingu hapo utaanza kulalama.
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
Inaelekea;
Ama unachanganya hoja au hujui unachokizungumza.
Msingi na chipuko la majibizano yangu name ni hapo juu.
Sasa wewe hukai kwenye hoja unaniletea habari nyingine.
Hakuna mahala nimegusia Bunge Wala Mahakama.
Na uelewe mini nawewe hatujadili Uzi mkuu.

Unayo shida kidogo kwenye kuelewa.
 
Hizi lawama ndio zinazoleta shida na kulifanya taifa letu kuwa nyuma.

Hivi Mh Ndugai hajui kuwa baada ya huo mgao ni jukumu sasa la mkoa wenyewe kufanya chekeche na kupeleka waalimu kwenye upungufu zaidi.

Mh Jafo aungwe mkono asikatishwe tamaa.

Mh Ndugai kamuone Ras uokoe hao vjana na wakati mwingine hushindwi kutafuta wadau wa kumlipa Mwl ili uwaokoe hao Form 3
 
sina muda wa kubishana na karai hata unayozungmza hujui hata ni sehemu gani uliongea uharo wako wa mtu kuhodhi bunge na mahajama. mim ndo nlikutuma udiscus mambo ambayo sio mada ya uzi. mimi nlikua nakupa taarifa tu
 
Mkuki mtamu kwa nguruwe,kwa binadamu......
Huyu Ndugu Gai kumbe anajua kile Wabunge wenzake wanacholiliaga? Yeye akiwa kwenye kiti anajua kusema: Lema Kaa chini! Askari, mtoweni huyu! Sasa yamemkuta. Akiwa kwenye kiti kuwa ANAJISAHAU kama naye ni Mbunge...
Namshauri aimbe kangh'wimbo kwa Eddy Sheggy: Yamenikuta miye, yamenikuta kijana mwenzenu nipeni pole miye....
 
Hakuona halimashauri zinanyanganywa kodi za majengo,na mabango?
 
Hakuna tatizo, TAMISEMI wana data zote

Hawa jamaa wa halmashauri ni wabaya kuliko tunavyodhania, wakiwaona watoto wa watu wao wanawaza ulaji tu! Rushwa! Pesa! Ngono

TAMISEMI endeleeni hivyo hivyo ikiwezekana pia fedha zao za kujikimu muwatumie moja kwa moja
 
Wanakaribia kumaliza kwetu....wakitoka kwetu kwenu...naona Speaker ndo wanaanzia kwake
 
Ndungai akae kimya hana research yeyote ile kuhusu hili, alitakiwa kuhoji nini ki,esababisha hadi walimu kupngwa moja kwa moja kutika wizarani, walimu wamejazana mijin huku shule za vijijini zikikosa walimu kwa sababu halmashauri zilikuwa zinakula rushwa na vimemo na maafisa wengine walipata mahawala kupitia deal hilo naunga mkono tamisemi kupanga moja kwa moja kama nduga ana ndugu yake kaoangwa kijijini huko avumilie tu maana nchi hii ni yetu sote na hakuna aliye andikiwa kushi katika mazingira magumu ya kazi.
 
Hatimaye Ndugai kafunguka baada ya Kongwa yake kuathirika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…