Mwambieni aturudishie viwanda walivyojiuzia pengine ajira zitapatikana.Kutoka Dodoma.
"Tunatengeneza vijana wa kucheza Pool table, ambao wakikaa na simu wanaperuzi mitandaoni tu".
"Nafikiri labda tuongeze kodi labda itapunguza hata sijui, hivi tufanye kitu gani ili tuhakikishe kila mtu anafanya kazi, maafisa maendeleo ya jamii hawafanyi kazi" -Job Ndugai.
Nini maoni yako mdau?
Atoke Bungeni aje aonyeshe mifano mtaani wa kujiajiri kwanini kila muhula wanapigania Ubunge?
Wote wale Hakuna chaguo la wananchi pale Bali ni chaguo la jiwe kujiongezea muda.Ila Mungu ni mwema zaidi.Kama spika huu ndio upeo wake alafu eti mnategemea maendeleo, "Bunge ni dhaifu "
Kweli mkuu ila sasa nasema ila sasa.Vijana wanashinda mitandaoni huku wazee wakipiga pesa huku mashambani.
Wapinzani wametuchelewesha sana yaani khaaaa.Spika wa Bunge, Job Ndugai ametaja uvivu na ubovu wa timu kuwa sababu za Tanzania kushindwa katika mashindano ya kimataifa...