Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Per diem ni tofauti na sitting allowance. Per diem unalipwa hata kama uko hospitali. Per diem unalipwa hata siku zisizo za kazi. Daftari la mahudhurio linahusu sitting allowance. Aidha, utawadai vipi malipo ya siku ambazo hazijafika? Je wakija na barua kutoka kwa daktari ikisema kuwa ameamuru wakae karantini kwa kuhofia afya zao itakuwaje. Hili suala ni la kiutendaji na halikuwa na haja ya kulifanya la kisiasa.Kwani wanaenda kikazi au kulala hotelini? Usipoenda kaziini ina maana hauko dodoma kinachojulisha spika kuwa uko dodoma Ni.daftari la mahudhurio kazini bungeni
Mtu haendi kazini unataka alipwe?dogo acha utumwaAnatumia sheria/kanuni gani kukataa kuwapokea iwapo watarudi Bungeni?
Na kwanini wanawalipana in advance?
Je,ni wabunge wangapi watakuwa wamelipwa kwa style hii na baadae kutohudhuria Bungeni kwa siku za nyuma?
All in all,turudishe na yale mamilioni yaliyotumika kwa matibabu huko India.
Huyo jangili pia 2018 alikwepo kwenye list ya wabunge watoro ,alikuwa hahudhurii bunge .
Watoro watajirekebisha tuhangaike na jangili kwa sasa
Msigwa,Zitto na wenzao wapo Far unataka walipwe jiongeze dogo!Spika kiyazi sana yaani,mwanzo ulisema hawajavunja kanuni yoyote,leo unaibuka kuwadai pesa...sijui kesho utasemaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hy si ndio nilimsikia juzi akimdhalilisha mbunge mwenzie kua akajifunge shanga za almasi za akamburudishe mmeweCCM ni chaka la wahalifu!
HaaaKwa hiyo huwa wanalipana kabisa kabla ya kazi...
Hii nchi ina mambo ya kijinga sana...Sad indeed
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha wee CHADOMO WorkAnatumia sheria/kanuni gani kukataa kuwapokea iwapo watarudi Bungeni?
Na kwanini wanawalipana in advance?
Je,ni wabunge wangapi watakuwa wamelipwa kwa style hii na baadae kutohudhuria Bungeni kwa siku za nyuma?
All in all,turudishe na yale mamilioni yaliyotumika kwa matibabu huko India.
Inabidi warudishe hela ya bunge. Kumbe wamelipwa in advance halafu dj anawaambia waingie mitini bila kuwajibika. Kama hawarudishi cash lazima hela ya umma wakatwe kwe viinua mgongo. Na ile mijike yao inajidai mikakamavu kupigania hewa kutafuta kick za ubunge i hope hairudi hata mmoja..mungu ibariki tanzania.Spika Job Ndugai amesema wabunge wa CHADEMA ambao hawashiriki vikao vya bunge kwa madai kuwa wapo karantini wanahesabika kama watoro na wanatakiwa kurejesha fedha zote walizolipwa kwa kipindi ambacho hawatakuwepo bungeni.
Pia wamepaswa kufanya kipimo cha Covid19 kabla hawajaingia bungeni
==
TAARIFA ZAIDI
Spika wa bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai leo Mei 6, 2020 amewataka wabunge wa CHADEMA waliosusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona kurudi haraka bungeni
Spika Ndugai amesema endapo watakaidi agizo hilo la kurudi Bungeni basi itawalazimu siku watakayo rudi wawe na cheti kinachoonesha kuwa wamepima ugonjwa wa Corona na majibu yake na kurudisha pesa walizolipwa ambazo ni posho za vikao la sivyo hatua zaidi zitachukuliwa.
"Wabunge hawa ambao ni watoro walipokuwa wanaondoka walilipwa fedha za kuanzia Mei 1-17 Jumla ya zaidi Tsh. Milioni 110, nawaagiza kuanzia Freeman Mbowe kurudisha Tsh. Milioni 2 na elfu 40 na wenzake wote hao, huu ni utoro wa hiari kwa lugha rahisi huu ni wizi na wale wengine wamelipwa Milioni 3 warudishe" amesema Spika Ndugai.
Aidha Spika Ndugai ameongeza kuwa; "Nimeshangazwa na kusikitishwa sana na tangazo hilo kwa sababu Mbowe hana mamlaka ya kuitisha utoro wa wiki mbili kwa Wabunge, anajaribu kuwa kama Prefect wa Shule ya Sekondari, japo wameambiana kubaki Dodoma lakini wanazurura nchi nzima, wabunge hao popote walipo warudi bungeni haraka sana kuendelea na kazi zao".
Ccm ni majangili na majizWapiga kura tuko njia panda huku tumeambiwa wabunge watoro waliojiweka kwenye karantini ndani ya saa ishirini na nne wawe Dodoma halafu tukaskia tena warudishe fedha na wakapimwe kama hawana virusi vya corona ndio watakanyaga bungeni!! Hatuja kaa sawa mwingine kakamatwa na na bunduki 16 na risasi mia tano !! Naona kama mzee Ndugai sasa anachanganyikiwa ashugulike na jangili au watoro?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule mbunge jangili ni kama ana kakikosi ka jeshi kabisa na zile silaha zake!Wapiga kura tuko njia panda huku tumeambiwa wabunge watoro waliojiweka kwenye karantini ndani ya saa ishirini na nne wawe Dodoma halafu tukaskia tena warudishe fedha na wakapimwe kama hawana virusi vya corona ndio watakanyaga bungeni!! Hatuja kaa sawa mwingine kakamatwa na na bunduki 16 na risasi mia tano !! Naona kama mzee Ndugai sasa anachanganyikiwa ashugulike na jangili au watoro?
Sent using Jamii Forums mobile app
Fedha ni za wananch walipa kodi na cc tumeamua wasirudishe kwa hyoSpika Job Ndugai amesema wabunge wa CHADEMA ambao hawashiriki vikao vya bunge kwa madai kuwa wapo karantini wanahesabika kama watoro na wanatakiwa kurejesha fedha zote walizolipwa kwa kipindi ambacho hawatakuwepo bungeni.
Pia wamepaswa kufanya kipimo cha Covid19 kabla hawajaingia bungeni
==
TAARIFA ZAIDI
Spika wa bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai leo Mei 6, 2020 amewataka wabunge wa CHADEMA waliosusia vikao vya bunge kwa kisingizio cha Corona kurudi haraka bungeni
Spika Ndugai amesema endapo watakaidi agizo hilo la kurudi Bungeni basi itawalazimu siku watakayo rudi wawe na cheti kinachoonesha kuwa wamepima ugonjwa wa Corona na majibu yake na kurudisha pesa walizolipwa ambazo ni posho za vikao la sivyo hatua zaidi zitachukuliwa.
"Wabunge hawa ambao ni watoro walipokuwa wanaondoka walilipwa fedha za kuanzia Mei 1-17 Jumla ya zaidi Tsh. Milioni 110, nawaagiza kuanzia Freeman Mbowe kurudisha Tsh. Milioni 2 na elfu 40 na wenzake wote hao, huu ni utoro wa hiari kwa lugha rahisi huu ni wizi na wale wengine wamelipwa Milioni 3 warudishe" amesema Spika Ndugai.
Aidha Spika Ndugai ameongeza kuwa; "Nimeshangazwa na kusikitishwa sana na tangazo hilo kwa sababu Mbowe hana mamlaka ya kuitisha utoro wa wiki mbili kwa Wabunge, anajaribu kuwa kama Prefect wa Shule ya Sekondari, japo wameambiana kubaki Dodoma lakini wanazurura nchi nzima, wabunge hao popote walipo warudi bungeni haraka sana kuendelea na kazi zao".
Naona green color mmesimamia kucha hii issue, hoja zenye akili hamuonekani kabisaaa.Nimesikitika sana tena sana maana miaka yote wamekuwa wakijinasibu kuwa wanapinga ubadhirifu na matumizi mabaya ya pesa za umma.
Hivi kwa nini hawa
kuanza huu mgomo kabla ya kuchukua pesa za wapiga kula wao ambao ni wengi wao ni maskini?
Fikiria mbunge anachukua mil mbili na laki arobaini alafu anasema yupo Dodoma anaenda kujiweka karantini kumbe anaingia mjini Dar es salaam kula bata na familia yake. Huu sio uungwana kabisa.Mbaya zaidi wengine ni wachungaji sasa mchungaji gani unadanganya?
Wabunge wa Chadema na Act wazalendo mmejiabisha maana mmetuibia pesa zetu sisi wanyonge.
Hii inatupa fundisho kuwa October hamtakiwi kurudi tena bungeni.
Natoa wito wote kwa aibu ya kutuibia mjiudhuru. Maana huo ni wizi.