Spika Ndugai: Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem

Spika Ndugai: Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem

Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem kuhesabiwa na wakakosa mahali pa kulala, kutoka Jerusalem mpaka Bethlehem alipozaliwa Yesu, distance zote nazijua na umbali wake na jinsi ilivyokuwa" - JOB NDUGAI

Duuuh 😥😥😥😥
Huyu ni yeye kama yeye wala sio side effects za chanjo
Hehehehe! Jamani mbavu zangu! Kumbe nchi hii tunaongozwa na walevi!
 
1630489846245.png
 
Hii siyo bure, ubongo wa Ndugai umeoza. Ni hatari kwa taifa kuendelea kuwa na spika kama huyu. Ataleta laana kwa taifa. cc Mshana. Kilangila.
 
Yesu alitembea na mke wake kutoka Nazareth kwenda mpaka Jerusalem kuhesabiwa na wakakosa mahali pa kulala, kutoka Jerusalem mpaka Bethlehem alipozaliwa Yesu, distance zote nazijua na umbali wake na jinsi ilivyokuwa" - JOB NDUGAI

Duuuh 😥😥😥😥
Huyu ni yeye kama yeye wala sio side effects za chanjo

Mgogo wa Kongwa, Mihanyenye? Hii story mbona ni wewe tu ndio unaijua. Unatumia biblia yako peke yako? Au wale tour guides wa kiyahudi walikuuzia habari za kufikirika?
They never accepted Chris..pengine mpaka kesho
 
Kazi kweli kweli.

Rose Muhando naye anajinadi AMEONJA UTAMU WA YESU
 
Hmm something is wrong with you Mr Speaker
 
Ukihubiri neno la Mungu chunga ulimi, angalia alivyohalalisha kuwa Yesu alioa.
 
Back
Top Bottom