Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Wanatafuta mada za kujifariji humu jukwaani.Kwanza Kiinglishi hukijui. Umejuaje hakujibu?.
Chadema watu wa ajabu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatafuta mada za kujifariji humu jukwaani.Kwanza Kiinglishi hukijui. Umejuaje hakujibu?.
Chadema watu wa ajabu sana
Point yako ni ya pili kwa majibu ya swali hilo la mandate, alijibu kwanza vizuri.Who mandated you to vist Russia? Hili swali limeulizwa na Mbunge kutoka Lithuania.
Angetakiwa kujibu tu kama alivyojibu Mwakilishi kutoka Iraq and it was enough.
Swala la kusema sijui wame mcrucify inaonesha ana dhana mbaya dhidi ya wauliza maswali.
Hisia zake zilikuja baadae, kwanza alijibu maswali yao.It was just a simple question.
Angejibu kama Rais Wa IPU na sheria na kanuni zinavyotaka... Wenzetu wanataka reference na sio hisia.
Hiyo ndio shida......kudhani rais Wa IPU ameiwakilisha CCM.Point yako ni ya pili kwa majibu ya swali hilo la mandate, alijibu kwanza vizuri.
Dr Tulia anachukiwa kwa sababu ni spika wa bunge lililojaa CCM, hakuna kitu huu uzi utaipunguza heshima yake kimataifa.
Shida inaanza na chuki za yeye kuwa mwana CCM kwanza, angekuwa anatoka CHADEMA hata huu uzi usingekuja kwa namna hii unavyosomeka.Hiyo ndio shida......kudhani rais Wa IPU ameiwakilisha CCM.
Nimeona alijibu maswali kwenye maelezo ya awali akijibu Mjumbe wa Iraq.Hisia zake zilikuja baadae, kwanza alijibu maswali yao.
Wewe unawaza kama yeye. Sasa huko IPU kuna Chadema?Shida inaanza na chuki za yeye kuwa mwana CCM kwanza, angekuwa anatoka CHADEMA hata huu uzi usingekuja kwa namna hii unavyosomeka.
Maswali yanaweza kufanana lakini yasihitaji majibu yenye kufanana, mantiki za maswali hutofautiana kati ya muuliza mmoja na mwingine.Nimeona alijibu maswali kwenye maelezo ya awali akijibu Mjumbe wa Iraq.
Sasa kama unavyojua wabunge wanataka kutest msimamo wako. Mbunge wa Lithuania akamuuliza tena swali linalofanana na la Iraq.
Ili kuonesha msimamo na Ukweli( intergrity) alitakiwa kutoa majibu yale yale na kuendelea na hoja nyingine.
Mkuu kumbe hata wewe umeona? Mtu akikosa majibu sahihi kwa maswali uliyoulizwa lazima ahemke tu ili kuwaogofya wailiza maswali. Hiyo ndiyo defensive mechanism ya madebe tupu.....lazima atike tu!Ukiacha ushabiki na mihemko ya uchawa ukweli ni kuwa spika ameshindwa kujibu moja kwa moja maswali aliyoulizwa badala yake aka[anoc na kuhemka na kuanza kunibu maswali kwa maswali badala ya majibu.
Hakukuwa na haja ya kuunda dhana zisizo kuwepo kwamba wanaomuuliza kwamba labda wanamdharau au kunafikra za kikoloni au wanadhani kwakuwa anatoka nchi ya chini kabisa hivuo hawezi kuongoza nk.
Spika kajibu na kuongea vitu vingi visivyokuwa na maana kuonesha kuwa anauwezo na kwamba waulizaji wanamdharau.
Yeye alitakiwa kutoa ufafanuzi wa moja kwa moja kukingana na swali na siyo kuanza kulalama na kufoka. Kwa sisi linguists na sychologists tathmini yetu ni kuwa spika alikasirika bila kukasirishwa akidhani wanamdharau.
Spika tayari alikuwa na inferiority complex akataka kuwaonesha kuwa yeye ni strong wakati waulizaji hawakutaka na hawakuwa na mawazo havyo. Spika ajitahidi kuwa mtulivu na kuto kujibu kwa makelele kulalamika na kufoka lile siyo bunge la CCM kama alivyozoea kuwafurusha akina Mpina.
Wengi wanaomsifia ni kuwa hawana uelewa wao ni kama mashabiki wa Simba na Yangu they are not analytical.
Pia soma
- Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin
CHADEMA hao wameshindwa kuandamana sasa hasira zote wanazimalizia kwa Dr Tulia.Hujui kingereza au ni wivu tu
Angekuwa ni debe tupu asingekuwa Rais wa bunge la CPU, kuonana ana kwa ana na Putin au kiongozi wa ngazi hiyo sio mchezo.Mkuu kumbe hata wewe umeona? Mtu akikosa majibu sahihi kwa maswali uliyoulizwa lazima ahemke tu ili kuwaogofya wailiza maswali. Hiyo ndiyo defensive mechanism ya madebe tupu.....lazima atike tu!
Waulizaji au muulizaji??spika alikasirika bila kukasirishwa akidhani wanamdharau. Spika tayari alikuwa na inferiority complex akataka kuwaonesha kuwa yeye ni strong wakati waulizaji hawakutaka na hawakuwa na mawazo havyo.Wewe umejuaje kuwa hawakuwa wanamdharau?pia umejuaje kuwa hawakutaka na hawakuwa na mawazo hayo? kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa unavyoona wewe ni sawa na alivyoona spika haikuwa sawa...?
Ameonesha dunia kuwa kiasi gani ni mjinga, msomi hawezi kuzungumza upuuzi kama huu alizungumza
View: https://www.facebook.com/JamiiForums/videos/1650206085542956/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
Wivu na roho mbaya zinawasumbua watanzania hawa.Lakini ameshangiliwa sana sana! Yale makofi ni ishara wale wazungu wamekunwa vilivyo na majibu yake.
Sio kweli mkuu, punguza haya mawazo ya kimaskini na roho mbaya. Huyo kapigiwa kura na wote hao wanaompigia makofi.Si kila anayeshangilia anakusifu mwingine anakukejeli
Boss usitufanye wajinga kama vile wote ni UVCCMAnavyo vigezo vya kuzuia mijadala ya aina hiyo, anafanya kazi kwa kanuni na miongozo.
Nimeiona hiyo clip,nadhani kama taifa kuna sehemu moja tunakwama.Ukiacha ushabiki na mihemko ya uchawa ukweli ni kuwa spika ameshindwa kujibu moja kwa moja maswali aliyoulizwa badala yake aka[anoc na kuhemka na kuanza kunibu maswali kwa maswali badala ya majibu.
Hakukuwa na haja ya kuunda dhana zisizo kuwepo kwamba wanaomuuliza kwamba labda wanamdharau au kunafikra za kikoloni au wanadhani kwakuwa anatoka nchi ya chini kabisa hivuo hawezi kuongoza nk.
Spika kajibu na kuongea vitu vingi visivyokuwa na maana kuonesha kuwa anauwezo na kwamba waulizaji wanamdharau.
Yeye alitakiwa kutoa ufafanuzi wa moja kwa moja kukingana na swali na siyo kuanza kulalama na kufoka. Kwa sisi linguists na sychologists tathmini yetu ni kuwa spika alikasirika bila kukasirishwa akidhani wanamdharau.
Spika tayari alikuwa na inferiority complex akataka kuwaonesha kuwa yeye ni strong wakati waulizaji hawakutaka na hawakuwa na mawazo havyo. Spika ajitahidi kuwa mtulivu na kuto kujibu kwa makelele kulalamika na kufoka lile siyo bunge la CCM kama alivyozoea kuwafurusha akina Mpina.
Wengi wanaomsifia ni kuwa hawana uelewa wao ni kama mashabiki wa Simba na Yangu they are not analytical.
Pia soma
- Tulia Ackson awataka viongozi wa magharibi kumheshimu. Ni baada ya kushambuliwa kuhusu kukutana na Vladmir Putin
Kujiona mjinga ni matatizo yako binafsi, anavyo vigezo vya kukubali au kukataa mada zisijadiliwe mle bungeni.Boss usitufanye wajinga kama vile wote ni UVCCM
Sijawahi kuona bunge la kijinga kama hili tangu nizaliweKujiona mjinga ni matatizo yako binafsi, anavyo vigezo vya kukubali au kukataa mada zisijadiliwe mle bungeni.