Uchafu mtupu na Mabajaj. Mpaka Mbeya inachekwa inaitwa kijiji kikubwa. Takataka tuKuna walioweza kumaliza mikataba na Bajaj wamebaki nazo je maisha yao hajabadilika na je sugu kawafanyia nini wanambeya mpaka wampe kura?
Wewe utakuwa unakula ya shemeji yako watu wanajishughulisha wewe unaita uchafu?Uchafu mtupu na Mabajaj. Mpaka Mbeya inachekwa inaitwa kijiji kikubwa. Takataka tu
Ulitaka Sugu afanye nini 2015-20 wakati Magufuli alisema "sipeleki maendeleo kwenye majimbo yaliyo chini ya upinzani"?Wewe utakuwa unakula ya shemeji yako watu wanajishughulisha wewe unaita uchafu?
Mbeya kuitwa kijiji kikubwa ni toka enzi za sugu je suga alifanya nini?
Mpaka sasa wewe chawa wa sugu hujajibu sugu kawafanyia nini wanambeya lakini unataka tu apewe ubunge
Boniface hatogombea mwaka huu, atabaki kuwa rais wa tlsSpika Vs Kanjunjumele kule Sugu kwenye kinyang'anyiro cha ubunge Jimbo la Ubunge Mbeya (M) 2025. Patawaka
Wewe ndo pimbi kwani sugu ubunge alianza 2015? Sawa kalishindwa kuwafanyia jambo lolote wanambeya wakati wa JPM kwa kisingizio kuwa JPM alimzuia cha ajabu alijijengea hoteli mbona hakuzuiwa?Ulitaka Sugu afanye nini 2015-20 wakati Magufuli alisema "sipeleki maendeleo kwenye majimbo yaliyo chini ya upinzani"?
Wewe pimbi umekaa tu kumuabudu huyo kigagula
Mimi siyo chawa wa Sugu na simkubali pia. Lakini kati ya Sugu na huyo kigagula Tulia atakayeshinda ni Sugu. Kimsingi wote hawafai ila kwa kura za wajinga wa Mbeya Sugu atashindaWewe ndo pimbi kwani sugu ubunge alianza 2015? Sawa kalishindwa kuwafanyia jambo lolote wanambeya wakati wa JPM kwa kisingizio kuwa JPM alimzuia cha ajabu alijijengea hoteli mbona hakuzuiwa?
Tueleze sugu alifanya nini 2010-2015 mpaka nyie chawa wake mnataka arudi bungeni maana 2015-2020 Magufuli alimkataza kufanya maendeleo ya jamii ila afanye yake tu.
Ashinde kwa jambo lipi alilowafanyia wanambeya? Acha uchawaMimi siyo chawa wa Sugu na simkubali pia. Lakini kati ya Sugu na huyo kigagula Tulia atakayeshinda ni Sugu. Kimsingi wote hawafai ila kwa kura za wajinga wa Mbeya Sugu atashinda
Spika Vs Kanjunjumele kule Sugu kwenye kinyang'anyiro cha ubunge Jimbo la Ubunge Mbeya (M) 2025. Patawa
Spika Vs Kanjunjumele kule Sugu kwenye kinyang'anyiro cha ubunge Jimbo la Ubunge Mbeya (M) 2025. Patawa
Alipewa ubunge wa uwizi...nani atantaka mtu ambae hujui ni wakike auSpika Vs Kanjunjumele kule Sugu kwenye kinyang'anyiro cha ubunge Jimbo la Ubunge Mbeya (M) 2025. Patawaka
Yani copy kabisa yani ubaya ubwela
Afande Awadh ameshamtengenezea njia mbaya wake sasa hivi Sugu anapumulia mashineSpika Vs Kanjunjumele kule Sugu kwenye kinyang'anyiro cha ubunge Jimbo la Ubunge Mbeya (M) 2025. Patawaka