PreGE2025 Spika Tulia: Mwaka huu wa Uchaguzi hatuko tayari kwenda mbinguni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwa vile wanajua kuwa wataiba kura, watateka na kuua wapinzani ndiyo maana dhamira zao zinawahukumu.
 
Mbona ndio utaratibu wao chaguzi zote, ni chawa tu ndie atakae pinga hili!! Mnapoambiwa hawa jamaa hawawez shinda uchaguz ukiwa huru na haki kamwe hawawez!!!
 
Ndio mjue tuna bunge gani kama spika anaweza toa naneno haya
 
Jehenamu inaanzia hapa hapa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…