PreGE2025 Spika Tulia: Mwaka huu wa Uchaguzi hatuko tayari kwenda mbinguni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Surat Al-Ma’ida (5:8):
Kwenye pepo ya Allah mkiwa wachache si itakuwa raha sana? Au mimi ndiyo sielewi?
kWA NINI MNATAKA WANADAMU WOTE WAWE WAISLAM ILI WAENDE KWA ALLAH? KUNA USPECIAL GANI HUKO PEPONI?
KAMA MTU HATAKI NA YUKO TAYARI KWA HASARA KUNA SHIDA?
 
Kaongea kauli mbaya sana,Mungu hadhiakiwi, Pride in this woman is very Higher, may almighty God whom She mocks fasten Her fall sooner than later,
"Stop mouth diarrhea,Power comes and Goes,But Humanity remains forever.
Nebukadnezer Mfalme wa Babel naye alikuwa na Kiburi kama ya huyu madam,
Kilichomtokea mpaka leo ni fundisho kwa Viongozi wengi wenye viburi vya uzima na Tamaa ya Macho.
 
Viongozi wetu wamefikia ukomo wa kufikiri!
Kibri ni hatari sana. Juzi juzi tu katoka kusema watu hawatekwi ila hawaonekani. Wenzetu wako salama sana hadi kesho yao wanaijua yaani.
 
Vile Vin
Wana
Kwa kuwa Wanajilipa fedha nyingi, wanaenda kinyume cha KATIBA, Wamejiwekea KINGA ya Kushtakiwa, Wanalindwa, na Wanaendeshwa VERY STRONG SECURITY Wanajiona KAMA WAO NI SEHEMU YA MUNGU....Naomba uwakumbushe Kufa ni LAZIMA.....
 
Surat Al-Ma’ida (5:8):


Duuh , kumbe na kwenye Korani kuna aya inayohimiza Haki .

Niliwaona wale mashehe wakubwa kabisa wakiongea kwa kejeli na furaha kabisa kuwa Wanachofanya CCM na watawala ni sawa alimradi wahakikishe amani kwa kuwamaliza wale wote wanaokosoa au kuhamasisha Uchaguzi wa Haki .
Mimi nilijua wale mashehe akiwemo Shehe Mwaipopo na Sule wanasimamia Maandiko ya Mwanyezi Mungu kumbe wanafurahia Ubwabwa wanaopewa na watawala.

Walinishangaza sana nikajua ndio uislamu .
 
Kila mtu atachanganyikiwa kwa muda wake....ni hilo tu
 
madaraka ni kitu kingine
Naamini siyo madaraka, ni pesa.
Huyu mama alijikuta anapata pesa nyingi bila kutegemea. Kutoka chuo kikuu akiwa bado chini, ghafla ofisi ya mwanasheria wa serikali, kidogo Naibu Spika. Akamvuta na mumewe EWURA, wizi ukapamba moto. Anajiona ana bahati.

Ni kosa la Migiro aliyembeba. Huyu alitumika kama housegirl wa Migiro akiwa chuoni, akadhani ana nidhamu kumbe busara ni hovyo kabisa, na bahati mbaya eti waliogombea na JPM walipewa nafasi ili kuua makundi. .
 
Huyu k civil war ikianza sijui atakimbilia wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…