PreGE2025 Spika Tulia: Mwaka huu wa Uchaguzi hatuko tayari kwenda mbinguni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
tangu lini shetani anaweza kwenda mbinguni
 
Watu jeuri,wajivuni hawanipagi pressure.....

Ova
 
Amelewa damu ya wazalendo ndomana anaongea chochote
 
Amesahau hivi vyeo ni vya kupita tuu, Ndugai aliishia wapi? hana tofauti na Nape aliyelewa madaraka na kukiri wizi wanaoufanya, mwisho wao mmoja
 
Mara kadhaa amenukuliwa akisema anakiogopa sana kifo cha ajabu hataki bunge lijadili wanaotekwa na kuuwawa kila kuchwao.Huyu Tulia na Ndugai ni maspika wa hovyo kabisa kuwahi kuliongoza bunge letu tukufu.
Sidhani kama bunge hili Lina utukufu
 
Kama hampo tayari nyinyi msiwatangulize wenzenu
 
Kwenye pepo ya Allah mkiwa wachache si itakuwa raha sana? Au mimi ndiyo sielewi?
kWA NINI MNATAKA WANADAMU WOTE WAWE WAISLAM ILI WAENDE KWA ALLAH? KUNA USPECIAL GANI HUKO PEPONI?
KAMA MTU HATAKI NA YUKO TAYARI KWA HASARA KUNA SHIDA?
Nyie waislamu nendeni kwa Allah sisi wengine tunaishi na Muumba hatumtaki huyo Allah wenu
 
Uroho utawatokea puani
 
Sasa ataenda ht hiko kiti hatakifaidi
 


Mungu ni jamaa yao wanapanganae nani afe nani aishi na aishi muda gani. Hongereni bwana mnatawala pamoja na Mungu, na hana la kuwafanya.
 
Kwani nani yuko tayari kufa. Madaraka watayaacha na kama hutendi haki kifo ni siri ya mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…