Spika Tulia na usomi wake wa kiwango cha PhD anataka bunge libariki kitu kama hiki?

Yaani uingie mikataba na kampuni/shirika ya nje halafu usuluhishi utumie Sheria zako tu!?..akili za wapi hizo!!..wekezeni hela zenu basi!!
Kwani wawekezaji wanaokuja hapa huwa tunatumia Sheria za wapi? Kuwa shirika la nje haimaanishi ndio utumie sheria za nje

Unasema weka hela? Wapo waliokubali ku-comply na hili, Hawa dp world kama wameshindwa kukubali hili tafsiri yake wana nia ovu
 
Kwa kilichomkuta Ndugai unadhani atapingana na serikali kwa lolote?
 
Kwani wawekezaji wanaokuja hapa huwa tunatumia Sheria za wapi? Kuwa shirika la nje haimaanishi ndio utumie sheria za nje

Unasema weka hela? Wapo waliokubali ku-comply na hili, Hawa dp world kama wameshindwa kukubali hili tafsiri yake wana nia ovu
Nani aliye-comply na Hilo!?..yaani u-risk hela zako kuwekeza akitokea rais mwehu Kama yule akuambie uondoke bila kufuata mkataba basi usiende mahakama ya usuluhishi kimataifa!?..mkuu ulishawahi fanya walau biashara yoyote ukaonja jakamoyo la kuwekeza!?
 
Wakishalamba asali akili inapotea. Hawana hata haya kuwaletea uchafu kama huu wananchi eti watoe mawazo yao.
 
Dp world anakuja na wafanyakazi kutoka Dubai au watatumika hawa Hawa watanzania? Naomba kujua hili
Ataajiri wachache wa hapa kwetu. Tukumbuke hawa wanakuwa na digital port, bandari ya kisasa sana na yenye utendaji wa wafanyakazi wachache lakini tija inakuwa kubwa.
 
Kumbuka Eva alimsaliti Adam kule Eden,hizi haki sawa zitatuuua.
 
Key word hapo ni “Notwithstanding” hiyo ni legal jargon inapotumika katika sentensi za mikataba; inamaanisha ili kuvunja mkataba zitatumika taratibu walizojiwekea. Taratibu ambazo zipo kwenye article 20

View attachment 2649836
Sisi tumeona hao wawekezaji wanataka kutufanya kitu mbaya. Waende kuwaambia watanzania hawataki.
 
Ili kuwekakumbukumbu sawa Spika Tulia aliwahi kuwa bodi member wa TPA.
Sasa anataka TPA ipewe mwarabu.

Ili kuweka kumbukumbu sawa Awamu ya pili babu yule aliuza eneo lote la LOLIONDO kwa Waarabu.

Awamu hii inarudi tena kwa waarabu wale wale!!!

Hujui sababu ya bunge kutakiwa kufanya ratification?
Unahisi kwa nini mkataba huu tu ndio umerudi bungeni kwa ajili ya ratification na sio mikataba mingine? Au unahisi Hawa ndio wawekezaji pekee tuliowapata baada ya ile sheria?
 
PhD haina maana ndan ya strategies za CCM mzee 😂🤣🤣🤣🤣
 
Ataajiri wachache wa hapa kwetu. Tukumbuke hawa wanakuwa na digital port, bandari ya kisasa sana na yenye utendaji wa wafanyakazi wachache lakini tija inakuwa kubwa.
Hao wachache unaowasema ni hao hao watanzania uliosema ni wezi, wazembe na wala rushwa? Yeye atafanyaje kazi na watanzania ambao wewe umesema hawafai?
 
Huo mkataba uko wapi?
 
NB; PhD haina thamani mbele ya mikakat ya CCM!!
 
Hao wachache unaowasema ni hao hao watanzania uliosema ni wezi, wazembe na wala rushwa? Yeye atafanyaje kazi na watanzania ambao wewe umesema hawafai?
Tija haiji kwa kuendekeza siasa za kujuana eti umuajiri mtoto wa mjomba au wa shangazi. Hiyo ni kampuni inayoendesha bandari za Southampton na London na USA wapo pia.

Huko ameajiri watu gani wanaoweza kuleta tija?. Cha muhimu ni tija ya bandari suala la ajira ni baadae sana, kwanza mpaka aingie mkataba wa uendeshaji ndio tunaweza kuangalia nani na nani wanaomfaa kazini.
 
Sisi tumeona hao wawekezaji wanataka kutufanya kitu mbaya. Waende kuwaambia watanzania hawataki.
Unatakiwa useme ubaya ulipo on merit, kama upo kwanini tuingie mkataba wa ovyo.

Lakini mpaka sasa sijaona huo ubaya, labda uelezee kwa upande wako; sio kwa kutumia hoja potofu za wengine.

Personal baada ya kumsikiliza huyo mkurugenzi wa TPA kama wana akili timamu wakati wanapoanza majadiliano ya HGA wanamuhitaji Kakoko katika hiyo team ya majadiliano.

Huyu mkurugenzi wa sasa awe kama pambo tu hamna kitu pale hivi hawa watu wa ovyo huwa wanawatoa wapi. Unaweza kwenda kwenye interview ujajipanga unakuja na majibu mepesi halafu eti mwanasheria.
 
Hivi huu mkataba umeandaliwa na Muwekezaji au umeandaliwa na Serikali ya Tanzania?
 
PhD ya mwafrika isikuchanganye wewe, usomi wa mwafrika upo connected na utumbo wake.

Tulia hana IQ yoyote kwa muonekano tu wa nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…