TONY MTAKAYOTE
Senior Member
- Jan 24, 2013
- 150
- 69
Hilo lipo wazi, elimu yetu haimwandai mtu kuwa mzalendo au mwenye kutumia taaluma yake.Bado niko kwenye utafiti! kuna wasomi waliohujumiwa kiakili na kihisia miaka fulani! Nimefuatilia miaka ya tulia UDSM na South Africa. Nimegundua kuna viazi fulani walizalishwa hawana hisia yoyote ya uzalendo au umakini wa kitaaluma. Wamejazwa ubinafsi kupita kiasi PHD ni makaratasi tu.
Eti tuangalie dhamira?.Kipengele kimojawapo cha mkataba wa bandari kinasema hivi
View attachment 2649785
yaani maana yake ni kwamba, haturuhusiwi kwa namna yoyote ile KUJITOA katika mkataba huo hata kama tutagundua BAYA la UKUBWA wa kiwango chochote ambao Mwekezaji atakuwa anefanya.
Yaani hata ikitokea Mwekezaji akatumika kumsaidia adui yetu ambaye tuko naye Vitani iwe ni adui wa ndani, au wa nje, tumepigwa pini kuvunja mkataba.
Hata kama tutagundua mwekezaji halipi kodi stahiki kwa makusudi, haturuhusiwi kuvunja mkataba.
Hata kama mwekezaji atahusika kufanya kitu ambacho kiko nje ya mkataba haturuhusiwi kuvunja mkataba.
Yaani TUKISHAINGIA HATUTOKI!
Je, msomi mkubwa, PhD, Dr Tulia Ackson, Mwalimu wa chuo kikuu, anataka bunge lipitishe Uwendawazimu kama huu?
Yaani Kwa Tulia, Uspika kwake una maana kuliko nchi kuuzwa mchana kweupe!
Tunakwenda wapi?
Tunawaondoaje wakati wameshika dola? Balozi tu mtaani lazima awe CCM, mkuu wa wilaya lazima awe CCM, Mkuu wa mkoa Lazima awe CCM. Tutawezaje kuiondoa?Tulisha waambia ccm ni janga la taifa na viongozi wake hamuelewi tu,tunatakiwa tuwaondoe kwa namna moja au nyingine,kazi kuangalia tu matumbo yao kwa sasa yaani hawaoni madhara ya baadaye kwa watoto wetu na taifa kwa ujumla
Siyo kweli,Nchi hii itapona siku lile jitu la kuchekachrka likitoweka duniani
Siyo lazima kuwa mwanasheria kujua sheria. Elimu ya sheria tujitahidini wote tuijue, itatusaidia sana kwenye kujenga taifa letu. Siyo ngumu. Naombeni mtupe mwongozo tuanze module za sheria hapahapa jamii forum kwanza baada ya hapo tuingie mtaani kutoa elimu. Taratibu tu mwisho tutafika.Mimi sio mwanasheria, humu wamo wenye taaluma yao.
Elimu ya Sheria na Uchumi, ni ya lazima kwa kila mwananchi kama tunataka kuendelea kama taifa.Mimi sio mwanasheria, humu wamo wenye taaluma yao.
Tatizo siyo Mwafrika, tatizo ni mfumo wa elimu usioendana na mazingira yetu. Elimu ni kwa ajili ya kutatua matatizo na kurahisisha maisha, si kwa ajili ya kujibia mitihani na kuajiriwa.PhD ya mwafrika isikuchanganye wewe, usomi wa mwafrika upo connected na utumbo wake.
Tulia hana IQ yoyote kwa muonekano tu wa nje.
kwani wewe hujaona huo mkataba mbona umewekwa humu ndani.pitia ili uweze kutoa comments zako bila kudandia vya wengine.Leta vipengele vingi ili tuupime kuliko kuchagua kipengele kinachomgombanisha Tulia na wananchi.
Hujausaidia umma kwa kuja na habari robo.
Nadhani ndipo shida ilipo. Tulia anaagizwa tuShida siyo spika wakuu!
Shida ni lile jitu pale juu!
Mtu wa TPA kaeleza Hilo vizuri tu asubuhi,tofauti na unachoaminiHujui sababu ya bunge kutakiwa kufanya ratification?
Unahisi kwa nini mkataba huu tu ndio umerudi bungeni kwa ajili ya ratification na sio mikataba mingine? Au unahisi Hawa ndio wawekezaji pekee tuliowapata baada ya ile sheria?
Muwe na staha basi. Sasa mama yake mzazi ameingiaje kwenye mapishano yenu. Mtakuja kupata laana msijue zimetoka wapi kwa kuwahusisha hata wasiokuwepo kwenye ugomvi wenu!Mama yako mzazi ana la ng'ombe!?
Aa wapi hicho kidude kidogo kibaya hakiwezi jivua! Tuna uzoefu na Speed and Standard Sita RIP. Huyu aliamua kusimamia alipopataka penye haki. Nakukumbuka kipindi cha richmond walimvaa waccm wenzake akawajibu "niambieni kama sera yetu ni ufisadi" yakanywea na mamvi akasepa!Shida siyo spika wakuu!
Shida ni lile jitu pale juu!