The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
"Leo tunajivunia Uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambao umeakisi utawala bora, weledi, uwajibikaji, uaminifu na ujumuishi, umekuwa kiongozi wa mfano, katika kuimarisha mifumo ya sheria, haki za binadamu, na uwazi unaozingatia usawa, na maendeleo ya kila mwananchi"
"Kwa nafasi yetu wabunge tumeshughudia historia ya mafanikio na mabadiliko yaliyoleta tija na ustawi kwa jamii nzima, leo Mheshimiwa Rais tunapokusanyika hapa tunaadhimisha na kutambua mchango wako, kupitia tuzo hii maalum" - Tulia Ackson, Spika wa Bunge la Tanzania akizungumza wakati Bunge likikabidhi tuzo maalum kwa Rais wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan