DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
- Thread starter
-
- #261
Nyimbo zote za zuchu ni matusi sana mkuu nyimbo zoteUnaweza kuyaweka hapa?
Unawaza kupoteza kitu ambacho huna! Halafu ukishapoteza huo uwaziri (ambao huna) walimu wakarudishwa. Waziri alikurupuka nakuona katika viatu vyake kwamba nawe ungekurupuka halafu ukashindwa kujibu hoja/ maswali kama aliyoulizwa. Wizara ya Elimu na elimu kwa ujumla Ina matatizo mengi sana hivyo sikuona sababu ya mihemko ya namna hiyo kwenye jambo hilo.Hawa walimu ingekuwa mimi ningewafukuza kabisa kazi. Ningekuwa tayari kupoteza uwaziri kwa sababu yao
Sawa, mifano iko wapi?Nyimbo zote za zuchu ni matusi sana mkuu nyimbo zote
Ntakuwekea nyimbo za hichi kitoto zote zimekuwa nyimbo ya matusi sana...Unaweza kuyaweka hapa?
Sioni matusi hapo!Ntakuwekea nyimbo za hichi kitoto zote zimekuwa nyimbo ya matusi sana...
Kwa msaada wa mwanangu
Nyimbo ya kwanza ni Hii ya honey
Nampenzi wangu honey
Simuoni, tafrani
Namwita honey haonekani
Honey honey
Honey honey
Honey honey
Honey aah honey
Nakupendaa
Honey we unanitesa
Honey honey
Honey honey
Honey honey
Honey aah honey
Polo polo polo (polo)
Kuch nehi polo (polo)
Tumsye pyare polo (polo)
Polo kina polo (polo)
Japo kua n’namchuna
Kangangana humo humo
Honey wangu akinuna
Namkatia viuno
Vya vibuno vibuno vibuno vibuno vibuno
Vibuno vibuno vibuno vibuno
Honey honey
Honey honey
Honey honey
Honey aah honey
Popolo pompo polopompo polopompo
(Popolo pompo polopompo polopompo)
Popolo pompo polopompo polopompo
(Popolo pompo polopompo polopompo)
Dj
Ongeza mdundiko
Zimwage kama mafuliko angusha moja moja
Dj we ongeza mdundiko
Msumbue jirani akome makasiriko
Nampenzi wangu honey
Simuoni, tafrani
Namwita honey haonekani
Honey......
Maneno niliyoyabold Tafsir
Yake kwa Sisi watu wa Pwani hasa zanzibar Neno Buno au Kibuno,Vibuno maana yake ni makalio..
Kwahyo bwana wake akinuna anampa makalio ndo tafsiri yake
Nyimbo ya Pili inaitwa Kitu!Sawa, mifano iko wapi?
Unajua maana ya mibuno au vibuno hata na hiyo nyimbo nyingine umeiona au niendelee kukuwekea zote maana zote mbaya hakuna yenye unafuuSioni matusi hapo!
Sioni maneno yoyote yenye ukakasi.
Matusi yaliyo wazi sijayaona hapo!Nyimbo ya Pili inaitwa Kitu!
ya Huyo hyo mtoto
Eeh! Ayayaya, hee
Kuna kitu kimoja
Kwa jina nisitokitaja
Ah kipo kidude hiko
Kwa jina nisichokitaja
Kuna kitu kimoja
Kwa jina nisitokitaja
Ah kipo kidude hiko
Kwa jina nisichokitaja
Ukiona chasimama jua kinataka kinyama
Ukiona kimelala lala hakikuachi salama
Ukiona chasimama jua kinataka kinyama
Ukiona kimelala lala hakikuachi salama
Eh mama, kitu kitu iyee kitu kitu
Mama kitu kitu kituu, kitu
Eh mama, kitu kitu iyee kitu kitu
Mama kitu kitu kituu, kitu
Umesema mibuno/ vibuno ni makalio.Unajua maana ya mibuno au vibuno hata na hiyo nyimbo nyingine umeiona au niendelee kukuwekea zote maana zote mbaya hakuna yenye unafuu
Kama hata hiyo hujaona matusi mkuu me naomba nikuache tu Maana kama hiyo ya zuchu umeona ni kaswida au Nyimbo ya injili sina cha kukuongezea tenaMatusi yaliyo wazi sijayaona hapo!
Mibuno ni Matako sio makalio...Umesema mibuno/ vibuno ni makalio.
Nini ubaya wa neno makalio? Makalio si ndo haya tunayatumia kukalia?
Makalio lini limekuwa ni tusi?
Jibu ni hili ule wimbo kwa Marekani ulikua categorized kwenye kitu wanaita "Parental Advisory Explicit Contents" wanatoa warning kabisa watoto wakalale PGA hio inaandikwa hata kwenye kanda za video hii ni 13+ hii ni 15+ hii ni 18+ Ila bongo yote inawekwa kwenye kapu moja, ile ilibidi ipigwe kwenye madanguro wanakouziana nyeti huko na makasino ya ndani ndani huko wanakocheza uchi huko, mtoto asisikilize bila uangalizi wa wazaziMaudhui ya ile nyimbo yanafaa watu walioko kwenye ma-bar na magenge mengine ya wahuni
Inahamasisha ngono ukiwakuta watoto wanavyocheza ndio utagundua maadili yanapotea watoto wanapoteza bikra zote 2 mapema sana sababu ya nyimbo za kiduanzi km hizo ndio maana wanazuia watoto wasisikilizishwe nyimbo hizo zinawaaribu watoto hawana limits wanajaribu kila kitu wadadisi,Mibuno ni Matako sio makalio...
Kuna tofauti kubwa kati ya matako na makalio
Wewe ndo umesema mibuno ni makalio.Mibuno ni Matako sio makalio...
Kuna tofauti kubwa kati ya matako na makalio
Haha haya bhnaWewe ndo umesema mibuno ni makalio.
Makalio ndo matako hayo hayo.
Hakuna tofauti yoyote kati ya makalio na matako.
Jaribu kwanza kwa mama yako nione kama kweli we siyo braza du!Mlete mama yako nimpige miti atakupa majibu ya kweli
Hata kwenye mahafali ya shule, hizo ndo nyimbo watoto wanacheza kila mara. Waziri Mkenda kachemka sana nadhani ana akili za kushikiwa, uwezo wake wa kufikiri ni mdogo.Mwenyewe nimeshangaa alafu nyimbo inapigwa daily , waufungie mziki ndo tutawaelewa, sio kuwaadhibisha watu kwa chuki binafsi wakati ngoma inapigwa daily na watoto wakiimba na kusikiliza kwenye televisheni na maredioni.
Waalimu warudishwe kazini.
Hakuna lolote baya basi tu viongozi wa aina hii utafuta kiki za kotokea kwenye mediaSioni matusi hapo!
Sioni maneno yoyote yenye ukakasi.