Spika Tulia: Tusichanganye Maadili ya Mtanzania na Imani za kidini. Lipi kosa la walimu waliosimamishwa kazi Kwa kucheza muziki? Warudisheni kazini

Spika Tulia: Tusichanganye Maadili ya Mtanzania na Imani za kidini. Lipi kosa la walimu waliosimamishwa kazi Kwa kucheza muziki? Warudisheni kazini

Hawa walimu ingekuwa mimi ningewafukuza kabisa kazi. Ningekuwa tayari kupoteza uwaziri kwa sababu yao
Unawaza kupoteza kitu ambacho huna! Halafu ukishapoteza huo uwaziri (ambao huna) walimu wakarudishwa. Waziri alikurupuka nakuona katika viatu vyake kwamba nawe ungekurupuka halafu ukashindwa kujibu hoja/ maswali kama aliyoulizwa. Wizara ya Elimu na elimu kwa ujumla Ina matatizo mengi sana hivyo sikuona sababu ya mihemko ya namna hiyo kwenye jambo hilo.
 
Unaweza kuyaweka hapa?
Ntakuwekea nyimbo za hichi kitoto zote zimekuwa nyimbo ya matusi sana...
Kwa msaada wa mwanangu

Nyimbo ya kwanza ni Hii ya honey

Nampenzi wangu honey
Simuoni, tafrani
Namwita honey haonekani
Honey honey
Honey honey
Honey honey
Honey aah honey

Nakupendaa
Honey we unanitesa
Honey honey
Honey honey
Honey honey
Honey aah honey

Polo polo polo (polo)
Kuch nehi polo (polo)
Tumsye pyare polo (polo)
Polo kina polo (polo)
Japo kua n’namchuna
Kangangana humo humo
Honey wangu akinuna
Namkatia viuno
Vya vibuno vibuno vibuno vibuno vibuno
Vibuno vibuno vibuno vibuno


Honey honey
Honey honey
Honey honey
Honey aah honey

Popolo pompo polopompo polopompo
(Popolo pompo polopompo polopompo)
Popolo pompo polopompo polopompo
(Popolo pompo polopompo polopompo)

Dj
Ongeza mdundiko
Zimwage kama mafuliko angusha moja moja
Dj we ongeza mdundiko
Msumbue jirani akome makasiriko

Nampenzi wangu honey
Simuoni, tafrani
Namwita honey haonekani
Honey......


Maneno niliyoyabold Tafsir
Yake kwa Sisi watu wa Pwani hasa zanzibar Neno Buno au Kibuno,Vibuno maana yake ni makalio..

Kwahyo bwana wake akinuna anampa makalio ndo tafsiri yake
 
Ntakuwekea nyimbo za hichi kitoto zote zimekuwa nyimbo ya matusi sana...
Kwa msaada wa mwanangu

Nyimbo ya kwanza ni Hii ya honey

Nampenzi wangu honey
Simuoni, tafrani
Namwita honey haonekani
Honey honey
Honey honey
Honey honey
Honey aah honey

Nakupendaa
Honey we unanitesa
Honey honey
Honey honey
Honey honey
Honey aah honey

Polo polo polo (polo)
Kuch nehi polo (polo)
Tumsye pyare polo (polo)
Polo kina polo (polo)
Japo kua n’namchuna
Kangangana humo humo
Honey wangu akinuna
Namkatia viuno
Vya vibuno vibuno vibuno vibuno vibuno
Vibuno vibuno vibuno vibuno


Honey honey
Honey honey
Honey honey
Honey aah honey

Popolo pompo polopompo polopompo
(Popolo pompo polopompo polopompo)
Popolo pompo polopompo polopompo
(Popolo pompo polopompo polopompo)

Dj
Ongeza mdundiko
Zimwage kama mafuliko angusha moja moja
Dj we ongeza mdundiko
Msumbue jirani akome makasiriko

Nampenzi wangu honey
Simuoni, tafrani
Namwita honey haonekani
Honey......


Maneno niliyoyabold Tafsir
Yake kwa Sisi watu wa Pwani hasa zanzibar Neno Buno au Kibuno,Vibuno maana yake ni makalio..

Kwahyo bwana wake akinuna anampa makalio ndo tafsiri yake
Sioni matusi hapo!

Sioni maneno yoyote yenye ukakasi.
 
Sawa, mifano iko wapi?
Nyimbo ya Pili inaitwa Kitu!
ya Huyo hyo mtoto


Eeh! Ayayaya, hee
Kuna kitu kimoja
Kwa jina nisitokitaja
Ah kipo kidude hiko
Kwa jina nisichokitaja

Kuna kitu kimoja
Kwa jina nisitokitaja
Ah kipo kidude hiko
Kwa jina nisichokitaja

Ukiona chasimama jua kinataka kinyama
Ukiona kimelala lala hakikuachi salama
Ukiona chasimama jua kinataka kinyama
Ukiona kimelala lala hakikuachi salama


Eh mama, kitu kitu iyee kitu kitu
Mama kitu kitu kituu, kitu
Eh mama, kitu kitu iyee kitu kitu
Mama kitu kitu kituu, kitu
 
Watu wanaleta Ulokole wao kazini ,Tulia alikuwa sahihi sana na Tayari wamerudisha mpira kwa Kipa
 
Nyimbo ya Pili inaitwa Kitu!
ya Huyo hyo mtoto


Eeh! Ayayaya, hee
Kuna kitu kimoja
Kwa jina nisitokitaja
Ah kipo kidude hiko
Kwa jina nisichokitaja

Kuna kitu kimoja
Kwa jina nisitokitaja
Ah kipo kidude hiko
Kwa jina nisichokitaja

Ukiona chasimama jua kinataka kinyama
Ukiona kimelala lala hakikuachi salama
Ukiona chasimama jua kinataka kinyama
Ukiona kimelala lala hakikuachi salama


Eh mama, kitu kitu iyee kitu kitu
Mama kitu kitu kituu, kitu
Eh mama, kitu kitu iyee kitu kitu
Mama kitu kitu kituu, kitu
Matusi yaliyo wazi sijayaona hapo!
 
Unajua maana ya mibuno au vibuno hata na hiyo nyimbo nyingine umeiona au niendelee kukuwekea zote maana zote mbaya hakuna yenye unafuu
Umesema mibuno/ vibuno ni makalio.

Nini ubaya wa neno makalio? Makalio si ndo haya tunayatumia kukalia?

Makalio lini limekuwa ni tusi?
 
Umesema mibuno/ vibuno ni makalio.

Nini ubaya wa neno makalio? Makalio si ndo haya tunayatumia kukalia?

Makalio lini limekuwa ni tusi?
Mibuno ni Matako sio makalio...
Kuna tofauti kubwa kati ya matako na makalio
 
Maudhui ya ile nyimbo yanafaa watu walioko kwenye ma-bar na magenge mengine ya wahuni
Jibu ni hili ule wimbo kwa Marekani ulikua categorized kwenye kitu wanaita "Parental Advisory Explicit Contents" wanatoa warning kabisa watoto wakalale PGA hio inaandikwa hata kwenye kanda za video hii ni 13+ hii ni 15+ hii ni 18+ Ila bongo yote inawekwa kwenye kapu moja, ile ilibidi ipigwe kwenye madanguro wanakouziana nyeti huko na makasino ya ndani ndani huko wanakocheza uchi huko, mtoto asisikilize bila uangalizi wa wazazi

Color-Parental-Advisory-Logo.jpg


Kilichoimbwa mule ni Mambo ya ngono Mambo ya chumbani Mambo ya kugongwa na Mwanaume Mwanamke anamsifia Mwanaume, sasa unamsikilishaje mtoto unamjengea picha gani? Unataka na mwanao nae aanze kugongwa huku anaimba Hani au sio?
 
Mibuno ni Matako sio makalio...
Kuna tofauti kubwa kati ya matako na makalio
Inahamasisha ngono ukiwakuta watoto wanavyocheza ndio utagundua maadili yanapotea watoto wanapoteza bikra zote 2 mapema sana sababu ya nyimbo za kiduanzi km hizo ndio maana wanazuia watoto wasisikilizishwe nyimbo hizo zinawaaribu watoto hawana limits wanajaribu kila kitu wadadisi,
 
Mwenyewe nimeshangaa alafu nyimbo inapigwa daily , waufungie mziki ndo tutawaelewa, sio kuwaadhibisha watu kwa chuki binafsi wakati ngoma inapigwa daily na watoto wakiimba na kusikiliza kwenye televisheni na maredioni.

Waalimu warudishwe kazini.
Hata kwenye mahafali ya shule, hizo ndo nyimbo watoto wanacheza kila mara. Waziri Mkenda kachemka sana nadhani ana akili za kushikiwa, uwezo wake wa kufikiri ni mdogo.
 
Back
Top Bottom