Spika Tulia: Tusichanganye Maadili ya Mtanzania na Imani za kidini. Lipi kosa la walimu waliosimamishwa kazi Kwa kucheza muziki? Warudisheni kazini

Hopeless. Viongozi ndo chsnzo cha kuporomoka maadili ya watoto na vijana wetu. A PhD holder unaanzisha motion isiyo na mashiko. Kwa undani naona ni sababu ya Ukanda and nothing more. Waziri wa Elimu ndiye mwenye dhamana ya kusimamia Wizara,. Hivi kipindi Magufuli anaachisha kazi watumishi kwenye mikutano ya hadhara, Spika alikuwepo akakaa kimya. Leo anahoji the same scenario.
 
Siyo kila nyimbo inapigwa kila mahali, watoto wanapaswa kufundishwa maadili mema, Maudhui ya ile nyimbo yanafaa watu walioko kwenye ma-bar na magenge mengine ya wahuni
Acha ushamba wewe..
 
ccm inajikoroga sana.. hao hao wasanii wa hizo nyimbo zinazopingwa ndo wale wale wanaotumika kwenye shuguli za ccm wakiimba nyimbo zile zile!
Ni laana!
 
Hapaswi kuingilia majukumu ya serikali kwanza waziri amesema wamesimamishwa hii maana yake uchunguzi unafanyika na hatua stahiki zitachukuliwa uchunguzi utakapokamilika ,hivyo aache kiherehere na kutafuta sifa za kijinga.
Waziri alimuagiza mkurugenzi awavue madaraka, hakuna uchunguzi
 
Kwahiyo unachotetea wewe hapo ni kipi na huko kushangaa kwako mkuu? [emoji848]
Sioni kama wana kosa lolote kama wanaohusika kwenye wizara wameshindwa kuufungia wimbo pamoja na video yake isionekane wala isisikike kwa watu kwasababu ya maadili.
 
Tutajie hizo shule za mabilioni ambazo unadhani haziwezi kupiga nyimbo kama hizo.
 
Kwa hiyo mtoto anayeimba wimbo wa Zuchu ameharibika? πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Shule gani hizo
 
Kwa hiyo mtoto anayeimba wimbo wa Zuchu ameharibika? πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Mkuu, humu mitandaoni tupo watu wengi na tuna malezi tofauti tofauti sana. Kuna ambao tangu kuzaliwa kwao hawakuwahi kuwa na utaratibu wa kula mezani kama familia, Baba anajipakulia mwenyewe anaenda kula anapoona panafaa kulia hata nje kwa jirani. Mtoto anachota humo humo pengine hata kabla ya baba au mama na anaenda kulia chumbani. Ni vigumu sana kuanza kujadili kuhusu maadili na tukaelewana.

Labda tu nikuache na mtazamo wako, wewe endelea kuwafundisha watoto wako kukata viuno na kuwakaririsha nyimbo za Zuchu.
 
Zama hubadilika, watu huwa wema na kutubu...
 
Spika Tulia lazima atetee ujinga. Ni huyu huyu aliyeshiriki ngoma moja kwao Mbeya ikiwa na jeneza lenye kudhihaki siasa za upinzani!.

Ni lazima aunge mkono vitu vya ajabu vyenye usichana mwingi ndani yake.
 
Mkuu umeongea kitu kikubwa sana kinafanya mpka nione aibu
 
Kwani watoto zao wanasoma
Hizo shule za kukatishwa mauno
Na kuimba kusifiana kunyanduana

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…