Spika Tulia: Wanaopinga mkataba wa bandari wana mdomo. Msiwasikilize wanaohubiri ubaguzi

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,067
Reaction score
10,938
Spika wa Bunge Dkt.Tulia awashukia vikali kama mwewe wanaopinga Mkataba wa Uwekezaji Bandarini. Hayo yamejili wakati wa ziara yake jimboni Mbeya kuelezea faida za uwekezaji wa DP world katika bandari nchini

Watu wamesema sana na mimi huwa nakaa kimya nawasikiliza tu, Huwezi kuwa unabisha kila kitu, wewe kila kitu hutaki, unataka nini?

Kuna mtu aliwahi kusema, huyo anafikiri tutamchagua kwa bodaboda, bajaj anazowapa watu, mimi nikauliza wewe umewahi kutoa hata sindano ya kushona nguo ikichanika?

Sasa huku mtaani kuna watu wana mdomo sana wakati hawajawahi kuagiza hata Tshirt moja ikapita bandarini. Halafu yeye ana maneno utadhani hata pale bandarini amewahi kufika hata akajua huo mzigo unachukua muda gani, huo wizi unatokea muda gani.

Sasa kuna watu wanasema kuwa hao wezi wamewekwa na nani? Hao wezi ni kama wewe tu, ukiwekwa pale ungekuwa hivyo hivyo. Kwa hiyo lazima tutafute namna ya kupata pesa zaidi ya kujenga na kurekebisha madarasa.

Wanambeya msidanganyike, Mheshimiwa Rais ana nia njema nasi.

Wapo watu ambao ni wataalam wa kuvuta mashati nyuma wenzao, na mimi niliahidi na nirudie... Mimi siyo mtu unayeweza kushika shati nyuma halafu ukafikiri utanirudisha hatua nyuma, navua shati utabaki na shati utanikuta mbele kule.

Nchi ya Tanzania iko salama na haitagawanyika eti kwasababu eti kuna mtu kajikalisha mahali anataka kutuweka vipande, hatutagawanyia muungano huu ni wa kudumu

Na usimsikilize mtu ambaye anakuhubiria ubaguzi ukafikiri unamwelewa vizuri, leo anabagua yule, kesho atakuja kwako akakuambia wewe siyo kabila langu.
 
Hakuna Binadamu anayeagiza Tshirt moja kutoka Bandarini !!!!; Huo ni Uchizi kwanini asitumie Courier / Door to Door (Express) ?!!!

By the way hii sentensi inaonyesha vipi huyu mtu yupo out of touch; Kwahio Bandari ni kwa ajili ya watu wanaoagiza pekee ?!! Hicho wanachoagiza watu wasingekitumia kingeagizwa ?!!!
 
Spika wa Bunge Dkt.Tulia awashukia vikali wanaopinga Mkataba wa Uwekezaji Bandarini "wana mdomo sana lakini hawajawahi kuagiza hata tisheti moja ikapita Bandarini"

View attachment 2686804

Watu wamesema sana na mimi huwa nakaa kimya nawasikiliza tu

Huwezi kuwa unabisha kila kitu, weww kila kitu hutaki, unataka nini?

Kuna mtu aliwahi kusema, huyo anafikiri tutamchagua kwa bodaboda, bajaj anazowapa watu, mimi nikauliza wewe umewahi kutoa hata sindano ya kushona nguo ikichanika?

Sasa huku mtaani kuna watu wana mdomo sana wakati hawajawahi kuagiza hata Tshirt moja ikapita bandarini. Halafu yeye ana maneno utadhani hata pale bandarini amewahi kufika hata akajua huo mzigo unachukua muda gani, huo wizi unatokea muda gani.

Sasa kuna watu wanasema kuwa hao wezi wamewekwa na nani? Hao wezi ni kama wewe tu, ukiwekwa pale ungekuwa hivyo hivyo. Kwa hiyo lazima tutafute namna ya kupata pesa zaidi ya kujenga na kurekebisha madarasa.

Wanambeya msidanganyike, Mheshimiwa Rais ana nia njema nasi.

Wapo watu ambao ni wataalam wa kuvuta mashati nyuma wenzao, na mimi niliahidi na nirudie... Mimi siyo mtu unayeweza kushika shati nyuma halafu ukafikiri utanirudisha hatua nyuma, navua shati utabaki na shati utanikuta mbele kule.
Hayo ni matusi kwa watanzania so wenye kupinga ushoga nao walishafanya mara moja wakajua madhara yake ndio wanapinga
 
Spika wa Bunge Dkt.Tulia awashukia vikali wanaopinga Mkataba wa Uwekezaji Bandarini "wana mdomo sana lakini hawajawahi kuagiza hata tisheti moja ikapita Bandarini"

View attachment 2686804

Watu wamesema sana na mimi huwa nakaa kimya nawasikiliza tu

Huwezi kuwa unabisha kila kitu, weww kila kitu hutaki, unataka nini?

Kuna mtu aliwahi kusema, huyo anafikiri tutamchagua kwa bodaboda, bajaj anazowapa watu, mimi nikauliza wewe umewahi kutoa hata sindano ya kushona nguo ikichanika?

Sasa huku mtaani kuna watu wana mdomo sana wakati hawajawahi kuagiza hata Tshirt moja ikapita bandarini. Halafu yeye ana maneno utadhani hata pale bandarini amewahi kufika hata akajua huo mzigo unachukua muda gani, huo wizi unatokea muda gani.

Sasa kuna watu wanasema kuwa hao wezi wamewekwa na nani? Hao wezi ni kama wewe tu, ukiwekwa pale ungekuwa hivyo hivyo. Kwa hiyo lazima tutafute namna ya kupata pesa zaidi ya kujenga na kurekebisha madarasa.

Wanambeya msidanganyike, Mheshimiwa Rais ana nia njema nasi.

Wapo watu ambao ni wataalam wa kuvuta mashati nyuma wenzao, na mimi niliahidi na nirudie... Mimi siyo mtu unayeweza kushika shati nyuma halafu ukafikiri utanirudisha hatua nyuma, navua shati utabaki na shati utanikuta mbele kule.

Nchi ya Tanzania iko salama na haitagawanyika eti kwasababu eti kuna mtu kajikalisha mahali anataka kutuweka vipande, hatutagawanyia muungano huu ni wa kudumu

Na usimsikilize mtu ambaye anakuhubiria ubaguzi ukafikiri unamwelewa vizuri, leo anabagua yule, kesho atakuja kwako akakuambia wewe siyo kabila langu.
Shule za Mbeya hazina vyoo , mbunge anapiga porojo
 
Back
Top Bottom