Spika Tulia: Wanaopinga mkataba wa bandari wana mdomo. Msiwasikilize wanaohubiri ubaguzi

Nadhani amepanic, haya si maneno ya kusemwa/kutamkwa na mtu mwenye cheo cha Uspika wa Bunge la Tanzania. Ni mashambulizi ya watu binafsi zaidi badala ya kujibu hoja zinazoulizwa mara kwa mara.
Spika wa Bunge Dkt.Tulia awashukia vikali wanaopinga Mkataba wa Uwekezaji Bandarini "wana mdomo sana lakini hawajawahi kuagiza hata tisheti moja ikapita Bandarini"

Watu wamesema sana na mimi huwa nakaa kimya nawasikiliza tu

Huwezi kuwa unabisha kila kitu, weww kila kitu hutaki, unataka nini?

Kuna mtu aliwahi kusema, huyo anafikiri tutamchagua kwa bodaboda, bajaj anazowapa watu, mimi nikauliza wewe umewahi kutoa hata sindano ya kushona nguo ikichanika?

Sasa huku mtaani kuna watu wana mdomo sana wakati hawajawahi kuagiza hata Tshirt moja ikapita bandarini. Halafu yeye ana maneno utadhani hata pale bandarini amewahi kufika hata akajua huo mzigo unachukua muda gani, huo wizi unatokea muda gani.

Sasa kuna watu wanasema kuwa hao wezi wamewekwa na nani? Hao wezi ni kama wewe tu, ukiwekwa pale ungekuwa hivyo hivyo. Kwa hiyo lazima tutafute namna ya kupata pesa zaidi ya kujenga na kurekebisha madarasa.

Wanambeya msidanganyike, Mheshimiwa Rais ana nia njema nasi.

Wapo watu ambao ni wataalam wa kuvuta mashati nyuma wenzao, na mimi niliahidi na nirudie... Mimi siyo mtu unayeweza kushika shati nyuma halafu ukafikiri utanirudisha hatua nyuma, navua shati utabaki na shati utanikuta mbele kule.

Nchi ya Tanzania iko salama na haitagawanyika eti kwasababu eti kuna mtu kajikalisha mahali anataka kutuweka vipande, hatutagawanyia muungano huu ni wa kudumu

Na usimsikilize mtu ambaye anakuhubiria ubaguzi ukafikiri unamwelewa vizuri, leo anabagua yule, kesho atakuja kwako akakuambia wewe siyo kabila langu.
Pumbavu.
 
Spika wa Bunge Dkt.Tulia awashukia vikali kama mwewe wanaopinga Mkataba wa Uwekezaji Bandarini. Hayo yamejili wakati wa ziara yake jimboni Mbeya kuelezea faida za uwekezaji wa DP world katika bandari nchini

Watu wamesema sana na mimi huwa nakaa kimya nawasikiliza tu, Huwezi kuwa unabisha kila kitu, wewe kila kitu hutaki, unataka nini?

Tulia,tulia na bunge lako dhaifu.
 
Jitu zima na ndevu kwenye miwani ana Waita wananchi wake ni wezi. Anawawaambia ati ingelikuwa wao nao wangeiba! Bora Mwarabu.

Aisee hii kitu inaniuma sana.
Kwa mara ya kwanza toka niingie hapa JF ninatia neno kuhusu huyu Spika. Aache kujidhalilisha, aache kutudhalilisha Watanzania. Nchii zingine huyu alitakiwa ayakane na kuomba radhi juu ya maneno yake haraka sana. Ni aibu kwangu sasa
 
Huyo Tulia sasa anapiga kelele kama chizi, hagusi chochote kwenye ule mkataba, anapiga umbea tu na hao wananchi.

Jambo la msingi ameligeuza la kisiasa, majibu mepesi kwenye maswali magumu, waache ujinga wao, mwisho wa siku tutaongea tu lugha moja.
 
Anatetea Tumbo lake huyo Hana lolote
Huyu spika ni mpumbavu tu kama wapumbavu wengine!....

Hakuna anaepinga uwekezaji, kinachopingwa ni aina ya vipengele vilivyomo Kwenye IGA makubaliano ya msingi yanayotekelezwa kwenye mkataba.

Hivi wanatuona wajinga sana KWA kutetea matumbo yao!?

Wanashindwa kujibu hoja...wamekalia kusema tunapinga uwekezaji....

Hagusii kuhusu vipengele vya hovyo! Kupata kushuhudiwa...!

Hakuna state yoyote duniani inaweza saini makubaliano ya hovyo namna hii!
 
Hao wezi ni kama wewe tu, ukiwekwa pale ungekuwa hivyo hivyo. Kwa hiyo lazima tutafute namna ya kupata pesa zaidi ya kujenga na kurekebisha madarasa.
Yaani hizi nguvu zote ni pesa ya kujenga na kurekebisha madarasa? Yaani Watu wa Mbeya ni wapumbavu sana kuamini haya? Huyu Mdada angewacha kununuliwa V8 zake kila mwaka kwa miaka aliopo madarakani pesa zinazoweza kupatikanan kwa kubana matumizi hayo angeweza kujenga madarasa mengi tu.

Kweli I am ashamed, siamini kiongozi wangu ndie anayeweza kunidhalilisha. Sasa tusubiri wale watakaokuja kusema hata Spika amewaita nyie ni wezi! Ndio nasema hata huu uwekezaji basi sasa, hawa DPW waondoke au waondolewe. Wabunge mnakazi sana. Ondoeni hawa watu.

Ni hitimishe tu Wewe Spika umeona Domo lako?
 
Natamani hili lingekuwa andiko kwenye vitabu vitakatifu
Lipo andiko Hilo, sijatoa kichwani,

Linaendelea kusema,

Mungu akiruhusu mtoto,au mwanamke awe kiongozi wataifa Hilo,

Huwa dhamira, ni kuliadhibu Taifa Hilo.
 
Spika wa Bunge Dkt.Tulia awashukia vikali kama mwewe wanaopinga Mkataba wa Uwekezaji Bandarini. Hayo yamejili wakati wa ziara yake jimboni Mbeya kuelezea faida za uwekezaji wa DP world katika bandari nchini

Watu wamesema sana na mimi huwa nakaa kimya nawasikiliza tu, Huwezi kuwa unabisha kila kitu, wewe kila kitu hutaki, unataka nini?

Kuna mtu aliwahi kusema, huyo anafikiri tutamchagua kwa bodaboda, bajaj anazowapa watu, mimi nikauliza wewe umewahi kutoa hata sindano ya kushona nguo ikichanika?

Sasa huku mtaani kuna watu wana mdomo sana wakati hawajawahi kuagiza hata Tshirt moja ikapita bandarini. Halafu yeye ana maneno utadhani hata pale bandarini amewahi kufika hata akajua huo mzigo unachukua muda gani, huo wizi unatokea muda gani.

Sasa kuna watu wanasema kuwa hao wezi wamewekwa na nani? Hao wezi ni kama wewe tu, ukiwekwa pale ungekuwa hivyo hivyo. Kwa hiyo lazima tutafute namna ya kupata pesa zaidi ya kujenga na kurekebisha madarasa.

Wanambeya msidanganyike, Mheshimiwa Rais ana nia njema nasi.

Wapo watu ambao ni wataalam wa kuvuta mashati nyuma wenzao, na mimi niliahidi na nirudie... Mimi siyo mtu unayeweza kushika shati nyuma halafu ukafikiri utanirudisha hatua nyuma, navua shati utabaki na shati utanikuta mbele kule.

Nchi ya Tanzania iko salama na haitagawanyika eti kwasababu eti kuna mtu kajikalisha mahali anataka kutuweka vipande, hatutagawanyia muungano huu ni wa kudumu

Na usimsikilize mtu ambaye anakuhubiria ubaguzi ukafikiri unamwelewa vizuri, leo anabagua yule, kesho atakuja kwako akakuambia wewe siyo kabila langu.
Sasa nasema hivi kwa kauli hii yenye busara bi Tulia A. Mwansasu atapita bila kupingwa mbeya mjini na wewe sugu ukikosea ukagombea mbeya mjini utadhalilika sana.
 
Back
Top Bottom