polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,361
- 5,842
Aisee nisaidie hilo andikoLipo andiko Hilo, sijatoa kichwani,
Linaendelea kusema,
Mungu akiruhusu mtoto,au mwanamke awe kiongozi wataifa Hilo,
Huwa dhamira, ni kuliadhibu Taifa Hilo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee nisaidie hilo andikoLipo andiko Hilo, sijatoa kichwani,
Linaendelea kusema,
Mungu akiruhusu mtoto,au mwanamke awe kiongozi wataifa Hilo,
Huwa dhamira, ni kuliadhibu Taifa Hilo.
Subiri akae miaka 10 ndiyo uulizeSasa Tulie ajenge ili tujue kuwa Sugu hakuwa na kazi.
Hamna shida mbunge wa mwendazakeSubiri akae miaka 10 ndiyo uulize
Na kabla ya Sugu alikuwepo MPESHA kwa miaka mingi kwa tiketi ya mbogamboga alifanya nini?Subiri akae miaka 10 ndiyo uulize
Nitakurudia🙏🙏Aisee nisaidie hilo andiko
Hawa wabunge hawajui walipitisha kitu gani,wao pia ni maamuma tu Kama sisi wanavyotuona.
Watanganyika wakisema kuhusu utanganyika wao, na Tanganyika yao Kwa ccm wengi ni ubaguzi lakini wazanzbari wakisema juu ya uzanzbari wao siyo ubaguzi ni haki yao. Leo umekuwa ubaguzi watu kusema Ras ni mzanzbari,waziri ni mzanzbari, wakati wao wenyewe wanakiri ni wazanzbari na vitambulisho vya ukaazi wanavyo. Swala la kuligawa Taifa , tulia ujue maamuzi yeyote mabaya huligawa Taifa au jamii. Tulia usiwaone hawana akili watanzania Kwa vile wanaopinga yasiyo sawa.Spika wa Bunge Dkt.Tulia awashukia vikali kama mwewe wanaopinga Mkataba wa Uwekezaji Bandarini. Hayo yamejili wakati wa ziara yake jimboni Mbeya kuelezea faida za uwekezaji wa DP world katika bandari nchini
Watu wamesema sana na mimi huwa nakaa kimya nawasikiliza tu, Huwezi kuwa unabisha kila kitu, wewe kila kitu hutaki, unataka nini?
Kuna mtu aliwahi kusema, huyo anafikiri tutamchagua kwa bodaboda, bajaj anazowapa watu, mimi nikauliza wewe umewahi kutoa hata sindano ya kushona nguo ikichanika?
Sasa huku mtaani kuna watu wana mdomo sana wakati hawajawahi kuagiza hata Tshirt moja ikapita bandarini. Halafu yeye ana maneno utadhani hata pale bandarini amewahi kufika hata akajua huo mzigo unachukua muda gani, huo wizi unatokea muda gani.
Sasa kuna watu wanasema kuwa hao wezi wamewekwa na nani? Hao wezi ni kama wewe tu, ukiwekwa pale ungekuwa hivyo hivyo. Kwa hiyo lazima tutafute namna ya kupata pesa zaidi ya kujenga na kurekebisha madarasa.
Wanambeya msidanganyike, Mheshimiwa Rais ana nia njema nasi.
Wapo watu ambao ni wataalam wa kuvuta mashati nyuma wenzao, na mimi niliahidi na nirudie... Mimi siyo mtu unayeweza kushika shati nyuma halafu ukafikiri utanirudisha hatua nyuma, navua shati utabaki na shati utanikuta mbele kule.
Nchi ya Tanzania iko salama na haitagawanyika eti kwasababu eti kuna mtu kajikalisha mahali anataka kutuweka vipande, hatutagawanyia muungano huu ni wa kudumu
Na usimsikilize mtu ambaye anakuhubiria ubaguzi ukafikiri unamwelewa vizuri, leo anabagua yule, kesho atakuja kwako akakuambia wewe siyo kabila langu.
Hajajibu hata hoja moja au kutolea ufafanuzi wa vifungu vinavyolalamikiwa zaid ya kuleta ngonjela kama kawaSpika wa Bunge Dkt.Tulia awashukia vikali kama mwewe wanaopinga Mkataba wa Uwekezaji Bandarini. Hayo yamejili wakati wa ziara yake jimboni Mbeya kuelezea faida za uwekezaji wa DP world katika bandari nchini
Watu wamesema sana na mimi huwa nakaa kimya nawasikiliza tu, Huwezi kuwa unabisha kila kitu, wewe kila kitu hutaki, unataka nini?
Kuna mtu aliwahi kusema, huyo anafikiri tutamchagua kwa bodaboda, bajaj anazowapa watu, mimi nikauliza wewe umewahi kutoa hata sindano ya kushona nguo ikichanika?
Sasa huku mtaani kuna watu wana mdomo sana wakati hawajawahi kuagiza hata Tshirt moja ikapita bandarini. Halafu yeye ana maneno utadhani hata pale bandarini amewahi kufika hata akajua huo mzigo unachukua muda gani, huo wizi unatokea muda gani.
Sasa kuna watu wanasema kuwa hao wezi wamewekwa na nani? Hao wezi ni kama wewe tu, ukiwekwa pale ungekuwa hivyo hivyo. Kwa hiyo lazima tutafute namna ya kupata pesa zaidi ya kujenga na kurekebisha madarasa.
Wanambeya msidanganyike, Mheshimiwa Rais ana nia njema nasi.
Wapo watu ambao ni wataalam wa kuvuta mashati nyuma wenzao, na mimi niliahidi na nirudie... Mimi siyo mtu unayeweza kushika shati nyuma halafu ukafikiri utanirudisha hatua nyuma, navua shati utabaki na shati utanikuta mbele kule.
Nchi ya Tanzania iko salama na haitagawanyika eti kwasababu eti kuna mtu kajikalisha mahali anataka kutuweka vipande, hatutagawanyia muungano huu ni wa kudumu
Na usimsikilize mtu ambaye anakuhubiria ubaguzi ukafikiri unamwelewa vizuri, leo anabagua yule, kesho atakuja kwako akakuambia wewe siyo kabila langu.
Ningekua Tulia, leo ningepanga siku 3,za kuchambua Ile document ya Dp world kifungu kwa kifungu jijini Mbeya, tena ningeruhusu maswali siku nzima nikiuchambua ule mkataba kisheria mpaka wanambeya na Nchi yangu waelemike, leo ningedifend nchi na serikali yangu, ningejibu sintofahamu zote japo by 90%. Lakini maajabu yake amenda kulopoka lopoka kama wafanyavyo wenzake. Usomi Africa mashaka mashaka, tumbo tumbo shiba lalalalaaa. Maweee!!Spika wa Bunge Dkt.Tulia awashukia vikali kama mwewe wanaopinga Mkataba wa Uwekezaji Bandarini. Hayo yamejili wakati wa ziara yake jimboni Mbeya kuelezea faida za uwekezaji wa DP world katika bandari nchini