Spika wa Bunge Tulia Ackson ashitakiwa Kwa Wananchi , namba yake ya simu yawekwa hadharani

Mpaka mtu atoe namba yake,kuwa apigiwe mda wowote,kama hakutoa namba yake na ukampigia ni kosa kisheria
 
Duh
Yaani kama chama ndo kimeshashindwa kuwatoa
 
Yeye ni mbobevu wa SHERIA, afungue kesi mahakamani
 
Kwanza ni mtu yeyote ataamini ni hila tu za speaker ndugae na kurithiwa na tulia. Ni mfumo gani huu unaweza kumwacha mbunge aliefukuzwa na chama chake kuendelea kubaki mbunge kwa miaka mitatu baada ya kutimuliwa uanachama. Hadi sasa bado wapo na huenda wakamaliza miaka mitano. Saa hizi na mahakama wanashiriki maana kesi ltaendelea hadi wamalize ubunge. Tulia si chochote ila ufisadi mtupu.
 

..Mnyika ameweka namba ya simu ya Spika wa Bunge.

..hajaweka namba simu ya Dr.Tulia Ackson.

..mawasiliano ya watumishi wa umma yanatakiwa yajulikane kwa wananchi ili waweze kuwafikia na kueleza shida zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…