Spika wa Bunge Tulia Ackson ashitakiwa Kwa Wananchi , namba yake ya simu yawekwa hadharani

Kama wabunge 19 sio halali hawapo kisheria maana yake hata ruzuku mnayochukua siyo halali ! Mkitaka wabunge watoke madarakani basi hata posho zikataeni ni haramu !
 
Chama Cha viroja na viroba.

Hopeless kabisa
Namba ngeni Hata Mimi ambayo haiko kwenye phone book sipokei sembuse Spika

Chadema wasanii Spika aweza pokea au kujibu meseji ya Simu ambayo haiko kwenye contacts phone book yake? Kweli Chadema wasanii
 
Kwahy namba ya simu ya spika wa bunge ndio linasajiliwa kwa kitambulisho cha spika aliyepo.?

..kwenye nchi za wenzetu hata mishahara ya watumishi wa taasisi za umma inawekwa wazi. Yaani unakuta jina la mhusika na alicholipwa ktk mwaka husika.
 
Sawa.
Turudi kwenye pointi yangu sasa
 
Namba ngeni Hata Mimi ambayo haiko kwenye phone book sipokei sembuse Spika

Chadema wasanii Spika aweza pokea au kujibu meseji ya Simu ambayo haiko kwenye contacts phone book yake? Kweli Chadema wasanii

..wampigie simu.

..kama hapokei wamuachie ujumbe.

..jambo la msingi ni kumfikishia kilio cha wananchi.
 
Kama wabunge 19 sio halali hawapo kisheria maana yake hata ruzuku mnayochukua siyo halali ! Mkitaka wabunge watoke madarakani basi hata posho zikataeni ni haramu !
Nani kakudanganya kwamba ruzuku zinaletwa na wabunge wa viti maalum ?
 
Duh sim si itakuwa bize sana na kupigiwa na kupokea sms [emoji1]

Ova
Kuna watakaojichanganya na kumtukana au kumkashifu Spika... watajikuta wako nyuma ya nondo saa hiyo Mnyika yuko Ikulu anafakamia asali. Wanasiasa watawaponza hao wafuasi wao.
 
Kwahy namba ya simu ya spika wa bunge ndio linasajiliwa kwa kitambulisho cha spika aliyepo.?
Soma kwenye tovuti yao;
Sasa hapo utasema kafanya kosa kuisoma hadharani? Kwani kuingia kwenye tovuti ya bunge kunahitaji password?
Screenshot_20240215-205902_Adobe%20Acrobat.jpg

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Kama wabunge 19 sio halali hawapo kisheria maana yake hata ruzuku mnayochukua siyo halali ! Mkitaka wabunge watoke madarakani basi hata posho zikataeni ni haramu !
Hizi ndio akili za kichwa cha kuku!
Mbona jambo hili mmeelimishwa sana kuwa viti maalum havina uhusiano na ruzuku za vyama lakini huelewi? We ni punguani?
Mnatuchosha bana!

Back
Top Bottom