Spika wa Bunge Tulia Ackson ashitakiwa Kwa Wananchi , namba yake ya simu yawekwa hadharani

Spika wa Bunge Tulia Ackson ashitakiwa Kwa Wananchi , namba yake ya simu yawekwa hadharani

Hushangazi kwani ndio zako hizo kuwasukumiza usiowapenda kuzimu! Hivi unapata furaha ya moyo kabisa kuwatendea binadamu hivyo?
Hivi huyu si ndio aliyempa sumu kada wao wa chama?
Roho ya kuua ikikukaa hata mama yako akijipindua hovyo unakula kichwa! Fisi kabisa.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
..wampigie simu.

..kama hapokei wamuachie ujumbe.

..jambo la msingi ni kumfikishia kilio cha wananchi.
Na nakuhakikishia atajuta! Maana ndani ya wiki hii simu ya Spika itavunja rekodi ya kupokea sms nyingi kuliko simu yeyote Tanzania.
Na naamini hiyo ndio dawa kwa viongozi wenye dharau, kuweka wazi namba zao ili raia waseme nao mojakwamoja

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Soma kwenye tovuti yao;
Sasa hapo utasema kafanya kosa kuisoma hadharani? Kwani kuingia kwenye tovuti ya bunge kunahitaji password?View attachment 2905503

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Umeelewa nilichokiandika.?
Sizungumzii namba ya ofisi ya spika wa bunge nazungumzia namba binafsi ya spika wa bunge ambacho ndicho mtoa mada amesema kuwa imesajiliwa kwa jina lake.
 
Namba ya tulia itasaidia nini, maisha yatakuwa mepesi au kuna chochote kitabadilika? Sasa wanaonyesha DHAHIRI wanawashwa, wameshindwa kutumia uhuru wa maandamano vizuri. Habari ya covid 19, wamefuata taratibu zote ikiwamo za kisheria lakini wameangua pia, wasiwaingize wananchi mkenge.
Vyama vya siasa tumieni akili kufikiri badala ya makalio.
 
Mnyika anajua Sheria vizuri, kutoa namba ya mtu tena kwenye Public bila ridhaa yake ni kosa kisheria. Mtu anaweza kwenda lodge au gesti akafanya uhalifu kwenye kitabu Cha wageni akajaza namba ya spika. Sio Kila mnayemuona hapo ni mtu mwema.
NB: Sipo upande wa Dr. Tulia.
No ya kiongozi wa nchi? Hakuna kosa ila ni ushamba wa viongozi kudhani no zao hazitakiwi kuwa hadharani
 
Back
Top Bottom