Hivi huyu si ndio aliyempa sumu kada wao wa chama?Hushangazi kwani ndio zako hizo kuwasukumiza usiowapenda kuzimu! Hivi unapata furaha ya moyo kabisa kuwatendea binadamu hivyo?
Na nakuhakikishia atajuta! Maana ndani ya wiki hii simu ya Spika itavunja rekodi ya kupokea sms nyingi kuliko simu yeyote Tanzania...wampigie simu.
..kama hapokei wamuachie ujumbe.
..jambo la msingi ni kumfikishia kilio cha wananchi.
Umeelewa nilichokiandika.?Soma kwenye tovuti yao;
Sasa hapo utasema kafanya kosa kuisoma hadharani? Kwani kuingia kwenye tovuti ya bunge kunahitaji password?View attachment 2905503
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
UONGO..Kumpigia mtu simu,bila ridhaa yake ni kosa kisheria
Bora ungekaa kimya kuficha upumbavu wako!Chama Cha viroja na viroba.
Hopeless kabisa
No ya kiongozi wa nchi? Hakuna kosa ila ni ushamba wa viongozi kudhani no zao hazitakiwi kuwa hadharaniMnyika anajua Sheria vizuri, kutoa namba ya mtu tena kwenye Public bila ridhaa yake ni kosa kisheria. Mtu anaweza kwenda lodge au gesti akafanya uhalifu kwenye kitabu Cha wageni akajaza namba ya spika. Sio Kila mnayemuona hapo ni mtu mwema.
NB: Sipo upande wa Dr. Tulia.
Wananchi noma!Aise
Ova