Sports Extra ya Clouds Fm: Golikipa mpya wa Yanga amefungwa goli 50 kwa msimu mmoja

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Mambo ni mengi muda hautoshi, golikipa mpya wa Yanga amefungwa goli 50 kwa msimu mmoja, hayo sio maneno yangu bali ni maneno kutoka kwa wachambuzi wa kipindi cha Sports Extra ya Clouds Fm.

Ni nani anawatumia Clouds kutuhujumu sisi Yanga? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bongo atatunguliwa 100 kwa msimu
 
Kwani Yanga wameshasajili golikipa mwingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…